แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_) header
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_) profile picture

๐Ÿ“ŠFootball data + tactical analysis + Swahili commentary.

Joined January 2014
Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)Photo by แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ (@latax_)
YANGA SC 4โ€“0 CFFA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโšฝ | MAMBO 7 YA MECHI 1. Mfumo wa washambuliaji wawili Yanga kuanza na Shalulile na Toure kuliongeza uwepo wa wachezaji ndani ya box. Walipata msaada wa wachezaji watatu waliokuwa nyuma yao, ingawa ufanisi wa nafasi ulipaswa kuwa mkubwa zaidi. ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
2
4
25
1,343
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ retweeted
YANGA SC 4โ€“0 CFFA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโšฝ | MAMBO 7 YA MECHI 1. Mfumo wa washambuliaji wawili Yanga kuanza na Shalulile na Toure kuliongeza uwepo wa wachezaji ndani ya box. Walipata msaada wa wachezaji watatu waliokuwa nyuma yao, ingawa ufanisi wa nafasi ulipaswa kuwa mkubwa zaidi. ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
2
4
25
1,343
โ€œIkiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.โ€ ~2 Mambo ya Nyakati 7:14 (SUV)
2
5
158
7. Ushindi mkubwa, lakini umaliziaji bado ni eneo la kuboresha Mwalimu alikosa nafasi mbili za wazi akiwa ana kwa ana na kipa. Kwa timu inayolenga hatua za juu za CAF, nafasi kama hizi lazima zitumike. Pia, jeraha la Kangwanda ni jambo la kufuatilia, huku tukitumaini si kubwa. ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
1
97
HITIMISHO: Sele, hizi nafasi za ana kwa ana na kipa โ€œmbona kama una laanaโ€ โ€” ni za kufunga! ๐Ÿ˜…๐Ÿ’›๐Ÿ’š
79
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ retweeted
Watu wanafikiri wanajadiliana nani apige free-kick, kumbe wana-calculate Wind Velocity, Wall Trajectory na Magnus Effect... ๐Ÿงฎโšฝ๏ธ โ€‹Hapa hesabu ikikataa kidogo tu, mpira unaenda juu kama umepigwa na Doumbia! ๐Ÿ˜‚ โ€‹Unampa nani apige hapo? ๐Ÿ‘‡
2
10
109
1,984
โธ๏ธ HALF-TIME: YANGA 1โ€“0 CFFA Yanga wametawala umiliki na kutengeneza nafasi, lakini umaliziaji bado ni tatizo. CFFA wamefunguka baada ya kufungwa. Kipindi cha pili kinahitaji umakini zaidi wa Yanga; bao la pili linaweza kuamua mwelekeo wa mchezo. NB: Ila Albert ni Bishoo sana
1
9
333
MGOTI GANIIII?๐Ÿ˜€
This quoted post is unavailable.
2
151
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ retweeted
Replying to @latax_
Neon Maema au Clatous Chota Chama mwamba kabisa
1
1
1
24
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ retweeted
Madai ya malipo Yanga: historia inazidi kujirudia? โ–ช๏ธ Gaรซl Bigirimana โ€” 2023 โ–ช๏ธ Hafiz Konkoni โ€” 2024 โ–ช๏ธ Lazarous Kambole โ€” 2024 โ–ช๏ธ Augustine Okrah โ€” 2024 โ–ช๏ธAziz adambwile โ€” 2025 โ–ช๏ธ Sure Boy โ€” 2026 Wote hawa wameshaishitaki yanga kwa kuwacheleweshea malipo kwa nyakati tofauti๐Ÿ˜ข
5
7
55
6,217
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ retweeted
Pamoja na ubora wake wote na jinsi anavyoimbwa na mashabiki wa Simba, huwezi kuamini kwamba Libasse Gueye hayupo hata kwenye 10 bora ya wafungaji bora! ๐Ÿ“‰โšฝ
19
6
2
104
11,679
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ retweeted
Makocha kutoka Afrika Kusini wanaitawala ligi ya Afrika! ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ”ฅ Rhulani Mokwena na Pyramids FC: mechi 6, ushindi 6. โœ… Steve Barker na Simba SC: mechi 8, ushindi 8. โœ… Wote wanaongoza ligi zao bila kupoteza pointi! ๐Ÿ’ชโšฝ Hawa makocha wamekuja na kitu tofauti. ๐Ÿ‘๐Ÿฝ
2
7
44
1,309
๐Ÿšจ15 de agosto mechi yao dhidi ya simba tarehe 20 October HAWATAKI MASHABIKI.
1
185
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ retweeted
Replying to @latax_
Lakini mwisho wa siku yakaisha
1
1
106
แ„‚ฮ›ฦฌฮ›๐’™ retweeted
Replying to @latax_
Bado Sele Gomez
1
1
100