Mkuujr5 (@mkuuJr5) header
Mkuujr5 (@mkuuJr5) profile picture

πŸ‘¨β€βš–οΈLawyer | πŸ§‘β€πŸ€β€πŸ§‘ Father of 2 | 🌾 Farmer | πŸ“š Reading Enthusiast | 🎡 Music Lover | πŸ’‘ Brainstorming Aficionado | 🚫 No Sugar Coating | πŸ—£οΈ Views Are Mine

Pwani, Tanzania
Joined January 2011
Replying to @airtel_tanzania
@airtel_tanzania na @sportybettz kuna kitu mnatufanyia wateja wenu kuhusu failed deposits . Kuna wateja zaidi ya 2,000 mko na hela zao huko kwenu halfu mnatupiana mipira . Rekebisheni hili . Nitarudi tena . RT ifike hadi kwa Waziri husika .
1
2
420
AILYONS SMART 4K TV INCH 55 850,000 YOUTUBE NETFLIX MIRROR CAST GOOGLE PLAY Ipo Dar 0784474751
5
10
572
Hii Nchi Ina vijana wa ajabu sana , no wonder kuona by 2029 kila nyumba kuna mkorosho . 😎
1
6
597
Nilikuwa sipo active siku mbili tatu hizi . Humu ndani kumechangamka kidogo . πŸ˜‚
2
470
Mtaani kwetu kila Jpili tunatoa pilau na biriani . Bureee kabisaaa . Asante Simba Sports Club kwa kuendeleza furaha yetu. ✍🏿
2
490
Kuna mwanangu anashida , Ana pair ya Bata Mzinga . Anataka 300k . 0784474751 WhatsApp Only Wapo mbagala .
1
4
640
Kagame effect.!πŸ˜‚πŸ˜‚
Fanyeni kumshukuru Steve … Sasha imebuma , na Xfactor ni kama alikuwa mzururaji au Ana matatizo ya kifamilia . Mlikosea kuifungia timu isiende kwa Kagame . Hizo ego zenu ndo zinawahukumu .Wengine mlikuwa mlishalowa .πŸ˜‚πŸ˜‚
1
12
622
Fanyeni kumshukuru Steve … Sasha imebuma , na Xfactor ni kama alikuwa mzururaji au Ana matatizo ya kifamilia . Mlikosea kuifungia timu isiende kwa Kagame . Hizo ego zenu ndo zinawahukumu .Wengine mlikuwa mlishalowa .πŸ˜‚πŸ˜‚
FT’| #CAFCL Gaborone United 1πŸ†š1 Young Africans SC #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
6
1
2
29
5,564
Usiumie ndo kazi tuliyomtuma Steve Barker .!!🫢🏿
Daah nimeumia sana nilijiandaa kupiga spana πŸ’”
4
755
Sele kazi ya Steve !!! Mpenzi maua yake .!!πŸ™πŸ™
Eti shalulile yupo leo?. Au ndo tunajenga ghorofa 12 .?πŸ˜‚
1
439
Eti shalulile yupo leo?. Au ndo tunajenga ghorofa 12 .?πŸ˜‚
2
1
1
15
1,023
πŸ˜‚πŸ˜‚
Kubet sio dhambi wanangu ni swala la makubaliano tu πŸ˜…
1
8
583
Mwambieni CHIRWA buku jero zitamponza.πŸ˜‚πŸ˜‚
12
504
Oya huyu dingi sio poa .!!πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
1
1
16
973
SKUDU in the making .!! πŸ˜‚
Licha ya SHALULILE kua mchezaji mwenye thamani kubwa katika ligi yetu lakin mpaka sasa hajaonesha utofauti wake na wachezaji aliowakuta Kiwanjani hana utofauti wowote na wachezaji wengine unaoonesha kama YANGA kaongeza kitu kwenye usajili Hivyo huu ni usajili wa kawaida sana
1
5
506
Hivi kuna mliofatilia hii code .? 😎
5M1ZZW Edit and Win .!! πŸ™
369
Water dispenser inataka 170k . Fridge inataka 370k . Kazi kwenu Wapwa . Upo interested njoo DM . Mzigo Upo Kijichi .
2
12
1
46
10,463
5M1ZZW Edit and Win .!! πŸ™
1
4
916
Sinunui gari sijui nifanye daladala , bolt, Basi la mikoani , sijui nilifanye Lori la kubeba mizigo . Hell NO , ni hasara tuu na unanufaisha wengine . Ndoto yangu gari za maji taka . Hii dereva haendi nayo kwa Demu wake , wala ukweni . GPS ikisoma Kurasini au TBT hela hioo.πŸ˜‚
3
5
77
5,339
Hata ukichagua kuwa mkorosho mjini bado kazi ni ngumu . Hakuna kazi rahisi labda uwe mtoto wa fisadi. πŸ˜‚
Tutafute kazi qmmke kubet sio kazi aiseeπŸ₯ΉπŸ’”
2
10
850