mkoleni retweeted
Wakili wangu msomi @TitoMagoti pamoja na wakili @KumbushoDawson wameshinda kesi yao ya kikatiba dhidi ya Serikali na sasa Serikali imeamriwa kuufungulia mtandao huu wa X (zamani Twitter) uliokuwa umezuiwa tangu Mei 20, 2025
Hongereni sana kwa ushindi huu mkubwa. Mmeonesha weledi, ujasiri na dhamira ya dhati katika kutetea haki na uhuru wa wananchi. Hakika mmeitendea haki taaluma ya uwakili 💪
mkoleni retweeted
🤔🤔🤔🤔NIKA MLALE MAMA YANGU MZAZI🙌🏾🙌🏾Hivii mnaelewa gharama ya hiki kiapo cha huyu Gen Z Hii ndio hali halisi na ndio ukweli! Uliopo 🔥🔥🔥🔥🙌🏾
mkoleni retweeted
F1 kwa laki mbili na 50 unapata Sato fresh ,ndoo ya Lita 20
F2 kwa laki na 50 unapata Sato fresh ,ndoo ya Lita kumi
📍Mwanza
🚚Mikoa yote natuma ,kwa bus na ndege
📞0756195726
Karibuni sana wakuu🤸
mkoleni retweeted
Dressing table 250,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
mkoleni retweeted
Kabati la nguo milango minne
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏
mkoleni retweeted
Samaki fresh kabisa kutoka Mwanza
📍Mwanza
🚚Mikoa yote natuma
📞0756195726
Jumatatu dagaa watakuwepo ,karibuni sana wakuu
mkoleni retweeted
L-shape 650,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏
mkoleni retweeted
Sato na sangara wapo wa kutosha wakuu 🔥🤸
📍Mwanza
🚚Mikoa yote natuma ,kwa bus na ndege pia
📞0756195726
Jumatatu dagaa watakuwepo ,weka oda yako mapema
Karibuni sana wakuu🙏🏿
mkoleni retweeted
KUHUSU UWAKILI WA VITI MAALUM:
Leo tarehe 26 November 2026 tayari tumefika MAHAKAMA KUU YA TANZANIA-DAR ES SALAAM, kwa ajili ya KUPINGA UWAKILI WA VITI MAALUM dhidi ya AHMAD ABDULRAHMAN MAKELE, mbele ya BARAZA LA ELIMU YA SHERIA (Council For Legal Education). Njooni muone LIGI😂
mkoleni retweeted
Good morning 🙏
Kabati la nguo milango mitatu 380,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏
mkoleni retweeted
Polepole aliyasema haya kabla uchaguzi. Wakati huo Chadema tunataka maridhiano kabla ya uchaguzi kwa kauli mbiu yetu ya #NoReformsNoElection
Nasoma comments zenu





























