Modolgal 🦋 retweeted
Kwa mnaosubiria video kutoka kwangu leo, msisubiri.
Nimeona nijipe muda, moyo wangu upoe kidogo na maumivu yaliyo rohoni mwangu yastahamilike kidogo la sivyo hakuna la maana nitakaloongea zaidi ya kuwamwagia machozi mwanzo hadi mwisho wa video…..
Modolgal 🦋 retweeted
Unfollow huyu msenge kama umemfollow mtu anapost usenge na bado mnamfollow 🚮
Modolgal 🦋 retweeted
Ukishakua chawa either ni male or female wewe kulinda mgongo wako ni ngumu lazima uliwe ndogo 🚮. #YBWYB
Modolgal 🦋 retweeted
Hata mkifurahia nyie ni watu wakushindwa tu kwasababu mpo kwenye dhulma, look mlitaka anyongwe kawachomoka, si mlikua mnamuita mhaini? Leo mchochezi nyie hamjashinda popote.
Modolgal 🦋 retweeted
Bado tunaendelea kuona UDHAIFU wa Mihili yote mitatu Mahakama, Bunge na Serikali yenyewe linapokuja suala la HAKI na UWAJIBIKAJI..
Unafungwa kwa kosa ambalo hukushtakiwa nalo yote hiyo ni hili kutekeleza maagizo ya Mihimili mingine 💔🚮
Modolgal 🦋 retweeted
Replying to @HildaNewton21
Kwa ambao hamjaelewa ni hivi
"Umeshtakiwa kwa kesi ya wizi wa kuku,lakini mahakama haijakukuta na hatia ya kuiba kuku,ila inakuhukumu kwa kosa la uzurulaji karibu na banda la kuku".
😭😭😭😭
Modolgal 🦋 retweeted
Hata huo UCHOCHEZI dunia nzima inajua LISSU sio “Mchochezi”.
Tutashinda kesi zote za KIHUNI na nchi itakombolewa tuu.
Modolgal 🦋 retweeted
As long as tunategeana kwenye harakati hizi za ukombozi tujiandae kuumizwa wote kwa zamu!
Mungu ameshatuonyesha njia Oktoba 29 2025 - na anasema TUSIOGOPE!
Tukikubali Hofu itutawale tutaishi na mashetani!
Sina cha ziada kwa sasa! We all have to learn this lesson the hard way!
Mnakata umeme usiku kucha mpaka muda huu hamna dalili ya kuurudisha daah
Shida yenu Leo nisiuze barafu🚮🥺
Modolgal 🦋 retweeted
Niko hapa nna wenge la ajabu. Sijielewi yani. Alafu nakutana na hii posti, nabaki nalia kwa uchungu mkubwa.
I can’t believe Lissu ana nguvu hii
Huyu Lissu sio binadamu kama sisi, kuna kitu Mungu kaweka ndani ya Lissu.




















