ciao retweeted
Sema dada yetu Christina Shusho alikuwa anafyatua nyimbo kali sana zenye mguso wa kipekee🙌🏾
ciao retweeted
Replying to @mangekimambi @mackphason
🔥💪🏽💪🏽 Tupo pazuri na tusivurugwe na watu wenye tamaa za pesa!
ciao retweeted
Maradona never won the Copa America
Pele never played in Europe
Brazilian Ronaldo (R9) never won the Champions League
Cryuff never won the World Cup
Cristiano Ronaldo never won the World Cup
Mbappe never won the Champions League & Ballon D’Or
Neymar never won the World Cup or Copa America
Then there is Lionel Messi who has won it all.
Messi competed with the past, present, future and ancient of days and won every single debate
ciao retweeted
Mchezaji wa zamani wa Hispania, Santi Cazorla, ametangaza rasmi kustaafu kucheza soka la kulipwa, akihitimisha safari yake ya zaidi ya miaka 20 katika mchezo huo.
Cazorla amehitimisha maisha yake ya soka akiwa katika klabu ya utotoni ya Real Oviedo.
Kabla ya hapo, alicheza katika vilabu mbalimbali ikiwemo Villarreal CF, Málaga CF, Arsenal FC na Al Sadd SC.
Akiwa Mchezaji aliyekuwa maarufu kwa uwezo wake wa kutumia miguu yote miwili kwa ufanisi mkubwa, Cazorla aliiwezesha Hispania kutwaa kombe la mataifa ya Ulaya mara mbili, mwaka 2008 na 2012.
Ameacha historia kubwa katika soka kutokana na kipaji chake, uzoefu na mchango wake mkubwa katika mchezo wa soka duniani.
#KitengeSports
ciao retweeted
This has got to be the best photo of 2026 so far.
🤖 Made with AI
Readers added context they thought people might want to know
This image is AI-generated. The real flag the couple flew had letters made with duct tape, with instances of the 'h' and the 'r' being lowercase. The flag in this image does not match.
cbc.ca/news/world/emp…
ciao retweeted
Kwa mtu anayeanza safari ya kujitambua unamshauri asome vitabu gani kwa kuanza navyo?
PS: RT ili tupate ushauri kutoka kwa wadau.
ciao retweeted
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/K2YRryx62B…






























