KevSinjah retweeted
“Some of the most dangerous men are not the ones who have no fear of God, but men who believes God is on their side regardless of what they do.”
KevSinjah retweeted
BTW, hii tabia na belief ndio inafanya Dar boys wasimalize safari wakiwa highway waende Sayuni highway instead, lmao. 😂
Wanaleta hii tendency huku semi imeiva au Fuso na njia hawaijui thinking itavuta kushoto. Haha. Udereva wa mjini wanaleta highway.
KevSinjah retweeted
You ever been dead broke but God still supplied your every need ?😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
KevSinjah retweeted
“Toeni hukumu ambayo mmegizwa”
“Siombi msamaha sina kosa”
Hizi kauli zinahitaji mapumbu aisee 🙌🏼 especially ukiwa umeshakaa ndani siku 500 na kadhaa 🥺
I’M TRULY ON THE RIGHT SIDE OF THE HISTORY🥳
KevSinjah retweeted
"You will never find justice in a world where CRIMINALS make the law." — Bob Marley
KevSinjah retweeted
Tumshukuru Mungu sana kwa maisha ya Tundu Lissu. Mwaka na miezi nane iliyopita umekuwa wa kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi yetu. What a Man!!
KevSinjah retweeted
Ukichelewa unapokwenda, automatically hasira za your own failure utazipeleka kwa watu anaohisi wamekuchelewesha.
KevSinjah retweeted
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 498
Jaji Ndunguru anasema katika kutafisiri hicho kifungu cha 319(1-2) cha CPA Mahakama ya Rufani ilielezea kwa marefu na mapana kwenye kesi ya DPP vs Zombe kuhusu kifungu hicho kuwa sio automatic.
Kwakuwa mshtakiwa hakushtakiwa na kosa dogo, Mahakama pia haiwezi kutumia kifungu hicho bila kumpa mshtakiwa haki ya kusikilizwa au kumpa notice.
Kwa mujibu wa ushahidi uliopo kuwa maneno hayo yalirushwa live ili kuuhabarisha umma na video hizo video hazikutolewa mahakamani na kwa vile hajakanusha kutamka maneno hayo na upande wa jamhuri umesema kuwa alilenga kuchochea umma na mashahidi wa upande wa utetezi nao hawajakataa kuhusu mshtakiwa kutamka maneno hayo.
Tumeridhika kwamba mshtakiwa kutamka maneno hayo hadharani mbele ya umma alilenga kuchochea umma ili kuvuruga uchaguzi wa 2025 kwa njia isiyo ya amani kutokana na maneno yake hivyo basi tukiongozwa na maamuzi mbalimbali na kwa muktadha wa kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu kosa lililotengenezwa na kifungu cha 390 ni kosa dogo la uhaini, kifungu cha 390 kinalengo la kuzuia crime katika hatua ya mwanzo before public harm.
Kwa tafsiri yetu tunasema kifungu hiki kina prevent nia na present danger.
Upande wa mashtaka wanapaswa kuthibitisha kuwa maneno ambayo mshtakiwa aliyatamka kufanya instigation yalikuwa communicated, pia mshtakiwa alilenga kuwa mtu au watu watende kosa.
Tunaelewa kwamba kifungu cha 390 kinatumika kwenye kosa lolote hakijataja kosa lolote pale, tunaamini kwamba kufanya kosa la uchochezi kunaweza kupelekea present danger, tunaamini ni minor offence na ni cognate offence kwa mujibu wa 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu.
Ni kwa mtazamo wetu sasa kwamba ni common sense kwamba incitement ni component ya offence ya treason hivyo sio lazima mtu awe charged independently.
Kulingana na ushahidi uliotolewa mshtakiwa alichochea umma kuvuruga uchaguzi, kuzuia uchaguzi, kuhamasisha uasi na kukinukisha vibaya sana.
Upande wa utetezi haujaonyesha ni kwa namna gani walipanga kuzuia uchaguzi, kuhamasisha uasi, na mashahidi wa upande wa Jamhuri walieleza namna ambavyo walishawishika na maneno ya mshtakiwa mfano shahidi wa 4, 5,8 ,11, 13, 14 walishawishika na kujiunga na wale ambao walishawishika ili waweze kuvuruga uchaguzi.
Part 499 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.


















