m.s.a.k.i retweeted
ROZARI TAKATIFU - MATENDO YA UCHUNGU (Jumanne na Ijumaa)
1. Yesu anatoka jasho la damu kwa ajili yetu.Tumwombe Mungu atujalie sikitiko la dhambi.
2. Yesu anapigwa kwa mijeledi kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuacha dhambi za uchafu.
3. Yesu anatiwa miiba kichwani kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kushinda kiburi.
4. Yesu anachukua Msalaba kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuvumilia taabu.
5. Yesu anakufa Msalabani. Tumwombe Mungu atujalie kuwapenda Yesu na Maria.
m.s.a.k.i retweeted
Kuna watu wakiona logo ya brand fulani tayari wanaamini kiatu ni kizuri.
Wewe unaweza kuamini ubora wa kiatu bila kujua kimetoka brand gani?
Hii miezi inayokuja ni miezi migumu sana kibiashara. Watu pekee wanao enjoy no wale wanaouza misosi na wanyama pamoja na Bar na clubs.
m.s.a.k.i retweeted
Dada Josephine ni moja kati ya watumiaji wazuri wa Intaneti, akizungumza na #MkulimaWaKidigitali ameeleza ni kwa namna gani anatumia intaneti
Tuambie intaneti imebadilisha maisha yako kwa kiasi gani?
#TDC2026 #MIL #TMC
m.s.a.k.i retweeted
Kila kitu unachofanya mtandaoni kinaacha Alama/Nyayo kwenye majukwaa ya kdigitali, hivo kuna mambo muhimu ya kuzingatia kabla huajashiriki maudhui yoyote katika jukwaa husika.
Sikiliza hii kutoka Shamba Fm kwenye kipindi cha #MkulimaWaKidigitali
#TDC2026 #MIL #TMC
m.s.a.k.i retweeted
Good morning wakubwa...Dinnerset ya mambele🔥🔥
📌Sahani kubwa 4
📌Sahani ndogo 4
📌 Bakuli 4
📌Vikombe 4
Tsh 85,000
0755693113
📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma
📌Kulipa kidogo kidogo✅
@Sativa255
m.s.a.k.i retweeted
Size 40-45 : bei : 110,000 /=
.
Njoo WhatsApp Chap ☎️ : 0743931620
.
📌 Kariakoo mtaa wa Congo na narung'ombe brotherhood tower sec floor Shop S6 ✅
m.s.a.k.i retweeted
Kama umepoteza au kuharibu charger ya Smart Watch tuko kwaajili ya ku hakikisha unapata kilicho bora karibu ofisini kwetu
Iringa Town 📍
m.s.a.k.i retweeted
👟👟 Mguuni uweke hii @TommyHilfiger OG njoo hapa @StreetSoulTZ
m.s.a.k.i retweeted
Tuongee kuhusu viatu vyeupe.
Vinapendeza karibu na outfit yoyote, lakini vinahitaji uangalizi wa ziada.
Kwako, muonekano wake unastahili hiyo kazi ya kuvisafisha mara kwa mara?
m.s.a.k.i retweeted
Hii cargo pants 👖 Ina rangi 5 na ipo Dukani 🙌
.
Size 30, 32,34,36,38,40
.
Bei : 45,0000/= badala ya 50,000 /=
.
Njoo WhatsApp Chap ☎️ : 0743931620
.
📌Kariakoo mtaa wa Congo na narung'ombe brotherhood tower sec floor Shop S6 ✅.
@Sincerelyrahma7 @MiriamMkanaka



















































