Nikombo Tech (@nikombotech) header
Nikombo Tech (@nikombotech) profile picture

Computer Engineer |

Tanzania
Joined February 2022
Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)Photo by Nikombo Tech (@nikombotech)
This weekend, I developed a system that turns social media comments into purchase orders! Customers comment what they want + their phone number, and get a payment prompt to pay via mobile money. If you’re an entrepreneur drowning in comments, let’s test this together—DM me!
4
14
2
49
2,229
Nikombo Tech retweeted
Paid Course? I'm giving you access to 20+ FREE Courses 1. Social Media Marketing 2. Android App Development 3. Facebook Ads 4. SEO 5. Google Ads 6. Content Writing 7. Graphic Designing 8. Video Editing 9. Web Development 10. Hacking And Many More To get it, just: 1. Like & Retweet 2. Comment "ALL" 3. MUST be Following (so that I can dm)
202
117
5
214
37,566
Nikombo Tech retweeted
SHUJAA ALIYESAHAULIWA NA KIZAZI HIKI Thread 🧵 🧵 Vidokezo 12 vya Kuvutia kuhusu Kazi ya Kushangaza ya Paul Maldini ⚽🇮🇹 #MaldiniLegacy" Twende Sawa 🔥 🔥 @Sativa255
1
3
8
2,232
Kupitia gazeti la New York Times iliweza ku ripoti habari kuhusu Marekani, china na Israel kuweza kuunda ndege zisizo na rubani na silaha hatari ambazo zinatumia teknolijia ya Akili bandia kufanya maamuzi Kati ya kuua au kuacha huru binadamu inazidi kupamba moto
1
1
4
465
Huyu Pellegrino kama ni Mtanzania kweli naomba mtuletee huyu Kijana ni kipaji kweli kweli. @Tanfootball @MwanaFA
1
5
306
💨 Update mpya ya Whatsapp kwenye status utaona neno "see all" upande wa updates. 💨 Kuna "All" hii inakuonyesha status za watu wako wote waliopo kwenye Whatsapp. 💨 Kwenye "Recent" inakuonyesha zile status ambazo ni mpya Bado ujazifungua na kuangalia au kusikiliza.
1
1
11
1,787
💭 Waliovamia nchi hiyo na kundi la kigaidi la Urzik Al Qatala wakati wakitafuta shehena ya gasi ya klorini iliyoibiwa kwenye meli na Ndege. 💭 kwaiyo kikosi Cha watu watatu kinatumwa kuokoa jahazi kikiambatana na captain Price. Je utaweza? Kazi kwako.
2
3
14
656
Nikombo Tech retweeted
Nothing Chats: Daraja Lako la Kuingia kwenye iMessage! Fahamu kuhusu application ya Nothing chats! 🧵👇 Watumiaji wa Android, sasa kupitia app ya Nothing Chats itakayokuruhusu kuunganishwa kwa urahisi kwenye iMessage kwenye simu za iPhone,. Yes it's happening! Shuka nami 🧵👇
4
7
19
4,495
Nikombo Tech retweeted
Application hii inatarajiwa kuzinduliwa siku ya Ijumaa, Novemba 17. Ushirikiano huu wa kipekee kati ya kampun ya Nothing na Sunbird unavunja vizuizi vya mawasiliano kati ya vifaa vya Android na iOS, hukuruhusu kufurahia uzoefu kamili wa iMessage huku ukiwa na Android
1
2
5
514
𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘁𝗮𝗺𝗯𝘂𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗰𝗼𝗱𝗲 𝘇𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 Whatsapp mtandao maarufu ulimwenguni wameleta feature mpya inaitwa Secret code kwa watumiaji wa Whatsapp beta version ya 2.23.24.20 android. Inafanya Kazi gani ??
6
17
1
66
11,372
Nikombo Tech retweeted
Today is another historic day where we are going to witness the first Tanzanian 🇹🇿 to play in the UEFA women's champions League all the best to @MasakaAisha @bkhackenofcl @muan_sports @TzFootballers KO GRAPH WAS HERE 🎨
13
2
52
2,343
Nikombo Tech retweeted
Kila hatua Chache tunazopiga ni kwa sababu yenu.. Naendelea sana kuwashukuruni nyote kwa hizi hatua chache tunazosogea pamoja Ni kidogo lakini kina thamani kubwa sana Asanteni🙏 1900hrs 300 Followers – at Dar es Salaam, Tanzania
4
7
553
𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗺𝗮𝘁𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗼 Kama unakumbuka wiki kadhaa zilizopita niliwapa taarifa kuhusu kampuni ya meta kukanusha wakiwa nchini India kuwa Whatsapp hawataweza kuweka matangazo kwa watumiaji wake. Lakini sasa 😂unajua kinachotokea 👇
5
7
36
6,881
TV YA AJABU 😃😃 Aiseee Dunia inakwenda Kasi sana umeshawahi kuona Tv ambayo havunjiki Wala kuhalibika 😃.. Angalia hii video TV inauzwa millions 11
5
25
81
9,385
#UZI 💨 FILAMU ILIYO WAPONZA SONY WAKADUKULIWA NA North Korea. ✴ "Interview" ndio jina la movie yenyewe. Eti mbinu ya siri ya kumuua Kim Jong Un. ✴ Sony ndio alikua anaipigia promo iyo movie kabla haijatoka. ✴ Akaonywa alichofanywa 😨 😱 #FLowMaTaTa shuka nayo 👇
68
117
2
419
Nikombo Tech retweeted
Wangapi wamewahi kukiona hiki kifaa? "windsock" Shule ya msingi wengi tulifundishwa kuwa kifaa hiki kinapima uelekeo wa upepo. Lakin hizo rangi nyeupe na nyekundu huashiria makadirio ya kiasi cha spidi ya upepo unavyovyuma katika uelekeo husika.! Now you know.! 😅 📸 Mossimo
7
13
721
Nikombo Tech retweeted
Bard itatumia binadamu kusaidiana na Ai kuchakata majibu yatakayotolewa na Bard. Hii inamaanisha binadamu hao wataweza kusoma unachokiandika na kureview majibu yake kabla hujatumjwa majibu hayo Aidha Kwenye tahadhari hiyo Google kupitia AI chat bot yao wamewahasa watumiaji... 👇 – at Dar es Salaam, Tanzania
1
1
7
300
Nikombo Tech retweeted
Miongoni mwa application zinazotumiwa kwa uchache ni Application ya weather inayokuja na simu yako Mara ya mwisho kutumia application hii ilikua lini? Na kwa sasa application hiyo inakuonesha nini? Je inakupa majibu sahihi? Tuoneshe App Yako ya weather inakuonesha nn Yangu👇 – at Dar es Salaam, Tanzania
1
4
3
8
4,145
Nikombo Tech retweeted
Video ikionesha jinsi #AppleEvent ilivyo rekodiwa kwa kutumia iphone The set up and the execution 🙌🔥👌 Behind the scenes video setup 👇 – at Dar es Salaam, Tanzania
3
13
480
💨 Miezi miwili iliyopita mshkaji wangu alikuja kunitembelea akaniambia kuwa anapata hela ndogo ndogo za kujikimu kwa ku-edit picha! Yeye, sio - Graphic designer - Camera man Wala nini, ni kwamba tu alikua anapenda sana ku-edit picha zake kabla ya kuzipost FB kipindi...
25
305
2
617
112,386