Software Engineer by profession. ๐Ÿ’ผ Currently building https://xitter.cf/t.co/oustBheeEn Available to freelance & collaboration. More on my portfolio ๐Ÿ‘‡

Tanzania
Joined April 2020
1 yr ago, I built cpage.co.tz to solve "university assignment" coverpage creation & "nearby stationery shops" printing issues. ๐Ÿ“„ Posted on TikTok & it blew up. ๐Ÿ“ˆ Been a wild, blessed ride so far and I am grateful! ๐Ÿ™ Devs, pls check it out & share! ๐Ÿ–ฅ๏ธ๐Ÿคœ๐Ÿ’ฅ๐Ÿค›
15
27
2
127
9,511
Patrick Paul retweeted
brutal (but true?)
128
126
39
2,159
586,152
Claude Code sasa ni $118 kwa plan ya $100. ๐Ÿ’€ $18 ni 18% VAT ya Tanzania. Na hii si Claude only, hata other international digital services zinaweza kutozwa hii VAT. The crazy part is, hii VAT haijaanza leo. Inaonekana baadhi ya services ndio zinaanza ku-apply tax kwenye subscriptions zetu right now. @gabyconscious tutatoboa kweli? ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚ Mimi nimewanyima hela yangu, haki ivi mmeshindwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
7
1
2
16
1,341
โ€œDonโ€™t let them know your next moveโ€ ahh tap ๐Ÿ’€๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ญ
3
179
Usidhani ukifika unapotaka kufika utaridhika. Kuna siku uliomba maisha uliyonayo leo, lakini leo unayaona ya kawaida. Sali Zaidi ๐Ÿ™๐Ÿฝโœ๏ธ
32
206
3
1,004
15,369
#TajiriLaKihaya Balaaa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tumezindua BetaFund. Kama umewahi kuwa kwenye kamati ya harusi, msiba, send-off, ada ya shule, matibabu au mchango wowote wa kijamii, unajua kazi ilivyo. Mtu mmoja anapewa jukumu la kusimamia michango yote. ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Watu wanatuma pesa kwa simu, wengine wanatoa cash, na screenshot zinatumwa WhatsAppโ€ฆ Halafu kila siku mtu anakaa ku-update majina, tiki, kiasi kilicholipwa, salio na jumla mpya. Kisha anaweka list tena kwenye group la WhatsApp. Na watu huwa wakuja uliza: โ€œMchango wangu umeingia?โ€ BetaFund ni platform tuliyoitengeneza kufanya hiyo kazi kwa niaba yako. Unafungua mchango ndani ya dakika chache, unapata link moja ya kushare, na watu wanaweza kuchangia kupitia: โ€ข M-Pesa โ€ข Mixx by Yas โ€ข Airtel Money โ€ข HaloPesa Kwa wanao toa mchango, hakuna app ya kudownload. Hakuna account ya kufungua. Malipo yakithibitishwa: โœ… Mchango unaingizwa moja kwa moja kwenye rekodi โœ… Status ya mchangiaji ina-update โœ… Jumla inaongezeka yenyewe โœ… Kama umeunganisha WhatsApp group, BetaFund inaweza kutuma updated list moja kwa moja kwenye group lako Michango ya simu (digital payments) inaingizwa baada ya malipo kuthibitishwa. Kila mchango pia una Event ID fupi ya public, ili mtu aweze kuhakiki link aliyotumiwa kabla ya kuchangia. Waandaaji wanaweza pia kuomba event yao ihakikiwe na BetaFund. โœ… (verification) Ukifika muda wa kutoa fedha, organizer anaweza kuwithdraw kwenda kwenye mobile money wallet au akaunti ya benki yoyote hapa Tanzania. BetaFund imejengwa kwa namna ambayo Watanzania tayari tunachangishana: ๐Ÿ’ Harusi & send-off ๐Ÿ•Š๏ธ Misiba ๐ŸŽ“ Ada za shule ๐Ÿฅ Matibabu ๐Ÿ—๏ธ Miradi โ›ช Kanisa & Msikiti ๐Ÿค Harambee na mengine mengi Hatukujaribu kuwaondoa watu WhatsApp. Tumechukua tu kazi ambayo organizers walikuwa wanaifanya kwa mkono, na kuifanya iwe automatic. BetaFund iko both kwa Kiswahili na Kingereza. Kutengeneza mchango ni bure. Nenda ๐Ÿ”— betafund.co.tz Ndio tunaanza. Tunaendelea kufanya kazi kubwa kuhakikisha BetaFund inakuwa rahisi zaidi, salama zaidi na ya kuaminika zaidi kadri tunavyokua. Kama unataka kuijaribu na pia ku-support tunachojenga, tuna fundraiser yetu ya BetaFund ambayo tayari imehakikiwa โœ… ๐Ÿ”— lnkd.in/eqnUDXnm Kwa maoni, maswali na criticism zote tunazikaribisha. Karibu BetaFund. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Req->Repost ๐Ÿงต @0x0256 @99Zaburi @anon_codex @gabyconscious @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @ignasxv @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @iamdastani @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu @Benji_Fernandes @StanleyMasinde_ #BetaFund #Tanzania #Fintech #MobileMoney #MadeInTanzania
1
2
14
1,802

For the past 2 months, I have been working on something new: a platform built for anyone who values their time and wants to automate the manual back-and-forth we've all just accepted as normal. And NO, this has nothing to do with AI. Wrapping up the final technical work now. Big announcement coming soon. ๐Ÿ™‚
8
36
3
75
6,510
Oooh Hell Naaah Man.... What the hell man ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
โ€ผ๏ธ BREAKING โ€ผ๏ธ PHP warns of another UNPATCHED REC vulnerability just 2 days after releasing emergency patches for critical PHP2Shell flaws. New "CVE-2026-115560" affects only unusual session configurations. PHP has issued urgent mitigation guidance. Full details โ†’ thehackernews.com/2026/10/urโ€ฆ
95
The article is ready for those interested to read the full technical details xitter.cf/patrick_forreal/statusโ€ฆ
The insane amount of engineering that went into this tiny thing on BetaFundโ€™s public website ๐Ÿ’€๐Ÿ”ฅ Iโ€™ll explain the madness later. For now, go play with it: betafund.co.tz/?site PS: Switch languages, change video quality, and open it on your phone, tablet, or computer. Different devices get different aspect ratios. Every detail in there is intentional. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ
5
239
Level ya u-engineer iliyotumika kwenye hiki kitu kidogo tu kwenye website ya BetaFund ๐Ÿ’€is insane ๐Ÿ”ฅ Nitakuja kueleza kila kitu baadaye. Kwa sasa, nendeni mkakicheki wenyewe: betafund.co.tz/?site PS: Badilisha lugha, badilisha quality ya video, na fungua kwenye simu, tablet au computer. Kila kifaa kinaonyeshwa aspect ratio tofauti. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
1
6
137
The insane amount of engineering that went into this tiny thing on BetaFundโ€™s public website ๐Ÿ’€๐Ÿ”ฅ Iโ€™ll explain the madness later. For now, go play with it: betafund.co.tz/?site PS: Switch languages, change video quality, and open it on your phone, tablet, or computer. Different devices get different aspect ratios. Every detail in there is intentional. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ
1
4
1
13
535
See what I mean?
This was the worst week to be a developer ๐Ÿ˜ตโ€๐Ÿ’ซ If you've deployed anything, read this ๐Ÿ‘‡ PHP2Shell (9.2): Unauth RCE in PHP. UK took 30+ govt services offline. Update to the latest patch NOW. Node.js: Brotli decoder RCE. Update to 22.23.4 / 24.22.1 / 26.12.1 and restart. GitLab: Max severity bug affecting installs since 2014. Patch it. LiteLLM 1.107.0 was malware for ~2 hours. Stole SSH + cloud keys. Pin 1.106.2 and rotate everything. Railway breach: Some customer secrets may have been decrypted. Rotate API keys + DB passwords. OpenCode Console: Linked OpenAI/Anthropic/Google keys leaked. Some people got $1000+ bills. PingCAP: 10.6 TB claimed stolen. The cause? Credentials committed to the repo ๐Ÿซ  Linux kernel: Two 9.0 RCE bugs leaked publicly on the mailing list before patches shipped. Lesson: Keep .env out of git, pin your dependencies, rotate your keys.
2
140
Bruh, left and right ni security vulnerabilities. Yoooh.... PHP GitLab NextJs NodeJs BunJs Ni acheni nipumzike ๐Ÿฅฒ
1
11
305
Bruh... Website nyingi za serikali, mashirika, taasisi na mavyuo ni PHP. ๐Ÿ’€๐Ÿ’€๐Ÿ’€ And I am sure, no one is around kufanya hizo updates. Should nothing be done, pretty soon tutaanza skia hits left and right.
8
2
35
2,164
Patrick Paul retweeted
Creators ๐Ÿ—ฃ๏ธ @hadithi_zetu_
1
2
1
4
341
Patrick Paul retweeted
iPhone Duo Review: Folding Has a Price
185
652
179
7,388
1,047,038
Review kali sana. Moja ya review nzuri nilizoziona for a while. Hii video imefanyika vizuri SANA! ๐Ÿ”ฅ Naweza kusema, kwa upande wa muonekano na jinsi ilivyowasilishwa, ni kali zaidi kuliko review ya MKBHD na Mrwhosetheboss ya iPhone Duo. ๐Ÿ“Œ youtu.be/o1qc29t04GI?si=qV4bโ€ฆ
4
214