Software Engineer by profession. ๐Ÿ’ผ Currently building https://xitter.cf/t.co/oustBheeEn Available to freelance & collaboration. More on my portfolio ๐Ÿ‘‡

Tanzania
Joined April 2020
Patrick Paul retweeted
brutal (but true?)
128
126
39
2,159
586,206
Usidhani ukifika unapotaka kufika utaridhika. Kuna siku uliomba maisha uliyonayo leo, lakini leo unayaona ya kawaida. Sali Zaidi ๐Ÿ™๐Ÿฝโœ๏ธ
32
206
3
1,005
15,392
#TajiriLaKihaya Balaaa๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Tumezindua BetaFund. Kama umewahi kuwa kwenye kamati ya harusi, msiba, send-off, ada ya shule, matibabu au mchango wowote wa kijamii, unajua kazi ilivyo. Mtu mmoja anapewa jukumu la kusimamia michango yote. ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Watu wanatuma pesa kwa simu, wengine wanatoa cash, na screenshot zinatumwa WhatsAppโ€ฆ Halafu kila siku mtu anakaa ku-update majina, tiki, kiasi kilicholipwa, salio na jumla mpya. Kisha anaweka list tena kwenye group la WhatsApp. Na watu huwa wakuja uliza: โ€œMchango wangu umeingia?โ€ BetaFund ni platform tuliyoitengeneza kufanya hiyo kazi kwa niaba yako. Unafungua mchango ndani ya dakika chache, unapata link moja ya kushare, na watu wanaweza kuchangia kupitia: โ€ข M-Pesa โ€ข Mixx by Yas โ€ข Airtel Money โ€ข HaloPesa Kwa wanao toa mchango, hakuna app ya kudownload. Hakuna account ya kufungua. Malipo yakithibitishwa: โœ… Mchango unaingizwa moja kwa moja kwenye rekodi โœ… Status ya mchangiaji ina-update โœ… Jumla inaongezeka yenyewe โœ… Kama umeunganisha WhatsApp group, BetaFund inaweza kutuma updated list moja kwa moja kwenye group lako Michango ya simu (digital payments) inaingizwa baada ya malipo kuthibitishwa. Kila mchango pia una Event ID fupi ya public, ili mtu aweze kuhakiki link aliyotumiwa kabla ya kuchangia. Waandaaji wanaweza pia kuomba event yao ihakikiwe na BetaFund. โœ… (verification) Ukifika muda wa kutoa fedha, organizer anaweza kuwithdraw kwenda kwenye mobile money wallet au akaunti ya benki yoyote hapa Tanzania. BetaFund imejengwa kwa namna ambayo Watanzania tayari tunachangishana: ๐Ÿ’ Harusi & send-off ๐Ÿ•Š๏ธ Misiba ๐ŸŽ“ Ada za shule ๐Ÿฅ Matibabu ๐Ÿ—๏ธ Miradi โ›ช Kanisa & Msikiti ๐Ÿค Harambee na mengine mengi Hatukujaribu kuwaondoa watu WhatsApp. Tumechukua tu kazi ambayo organizers walikuwa wanaifanya kwa mkono, na kuifanya iwe automatic. BetaFund iko both kwa Kiswahili na Kingereza. Kutengeneza mchango ni bure. Nenda ๐Ÿ”— betafund.co.tz Ndio tunaanza. Tunaendelea kufanya kazi kubwa kuhakikisha BetaFund inakuwa rahisi zaidi, salama zaidi na ya kuaminika zaidi kadri tunavyokua. Kama unataka kuijaribu na pia ku-support tunachojenga, tuna fundraiser yetu ya BetaFund ambayo tayari imehakikiwa โœ… ๐Ÿ”— lnkd.in/eqnUDXnm Kwa maoni, maswali na criticism zote tunazikaribisha. Karibu BetaFund. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Req->Repost ๐Ÿงต @0x0256 @99Zaburi @anon_codex @gabyconscious @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @ignasxv @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @iamdastani @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu @Benji_Fernandes @StanleyMasinde_ #BetaFund #Tanzania #Fintech #MobileMoney #MadeInTanzania
1
2
14
1,803

For the past 2 months, I have been working on something new: a platform built for anyone who values their time and wants to automate the manual back-and-forth we've all just accepted as normal. And NO, this has nothing to do with AI. Wrapping up the final technical work now. Big announcement coming soon. ๐Ÿ™‚
8
36
3
75
6,511
Patrick Paul retweeted
Creators ๐Ÿ—ฃ๏ธ @hadithi_zetu_
1
2
1
4
341
Patrick Paul retweeted
iPhone Duo Review: Folding Has a Price
185
652
179
7,388
1,047,318
Patrick Paul retweeted
Spent the whole day updating my portfolio with new projects I've been working on recently. Then a thought came to mind: what if I add a roadster at the top? Damn, it took me 2 extra hours to perfect everything, but the result is beautiful.
1
7
232
Patrick Paul retweeted
Ukiwa na duka lenye bidhaa nyingi, lazima unajua hii: mteja anauliza bei, mfanyakazi wako anakupigia simu, wewe uko busy, mteja anaondoka. So nimetengeneza beibook ๐Ÿ“’: daftari la bei kwenye simu yako na ya kila mfanyakazi wako. Ukibadilisha bei mara moja, kila mtu anaiona papo hapo. Ni bure kwa sasa โ†’ beibook.app @gabyconscious boss, hii itakufaa sana kwenye kazi zako coz najua unauza electronics, na una bidhaa nyingi na bei zinabadilika kila siku. Ningependa kusikia maoni yako mkuu ๐Ÿ™ Request Repost ๐Ÿงต @0x0256 @99Zaburi @anon_codex @StanleyMasinde_ @Issa_Ally_Mdoe @revaycolizer @DadyUtenga @TOTTechs @NjiwaFLow @kimjisena @mafolebaraka @makeleletech @iamdastani @Kibali02 @ankkala @salymdev @Neville983 @Abuumaryami_008 @j_kalebu @gregootz_ @Lonerx_znz @elisha_bulalu @Benji_Fernandes @EsirEid
5
9
1
12
1,066
Patrick Paul retweeted
this is coming out nicely and sparked really good interest and traction. got some really cool activation pipelines coming up shortly. will be opening a pre order/waitlist by next week i guess as the initial batch is pretty much sold out atp. got some maaad ideas man, weโ€™re sooo on.
8
18
382
AI is down๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
1
1
7
469
Patrick Paul retweeted
Name one underrated/generous free tier service. Iโ€™ll start: @Cloudflare
624
172
115
4,948
428,609
Patrick Paul retweeted
distributed systems are hard
22
16
17
1,098
312,822
Patrick Paul retweeted
Weโ€™re introducing Claude Fable 5.1 and Claude Mythos 5.1. They're the worldโ€™s most advanced models for coding and knowledge work.
2,864
7,282
4,817
65,343
21,101,891
Patrick Paul retweeted
Do a flip for no reason
425
1,797
241
29,987
2,159,029
Patrick Paul retweeted
Stop this hate on Omarchy.
109
32
23
692
55,311
Patrick Paul retweeted
i made a game where you literally have to find a missing semicolon in a codebase of 187,421 lines the catch is the entire codebase is printed out and taped to the walls of an office and you have to inspect it line by line Play it here: semicolon.trm.sh/
312
397
312
9,092
4,415,439
Patrick Paul retweeted
Good evening Sir @moodewji. My name is John, Co-Founder of @SwahiliesPay , a Central Bank licensed payments company in Tanzania. I had love to connect, learn from your journey of growing a multi-million dollar business in the 1990s into a multi-billion dollar group today and explore where we could collaborate. At @SwahiliesPay we already move billions of shillings in payments for businesses every month and I saw your interview with The Citizen about watching fintech as a potential next bet. Iโ€™d be glad to meet and see where there may be opportunities to work together!๐Ÿ™๐Ÿพ
If you want to build a great business, start by understanding the everyday consumerโ€”where they spend their money, and how technology can help them get more value from it. Solve real problems. #BuildforAfrica #MoBusiness
8
43
1
137
12,074
Patrick Paul retweeted
The TMOG.org beta coming tomorrow supports all the classic display modes of the DEC VT220, including green, amber, and white phosphor modes with realistic screen decay!
33
20
321
11,095