Comrade Mokiwa (@stevpm) header
Comrade Mokiwa (@stevpm) profile picture

ishi. furahi. maisha ni haya haya. | Creative, PR & Marketing

EAST AFRICA
Joined November 2007
Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)Photo by Comrade Mokiwa (@stevpm)
"Jambo ambalo si sahihi, si sahihi tuu ata kama watu wote wanalifanya....." #Word.
5
54
2
255
Watu wa tiketi Tamisemi kuna kitu. Week gari halijatoka bill imekuja. Wanazipiga picha for future use nini wale wakata ticket
4
287
Walionormalize tunawajua, sio madereva. 😀
Naona tumenormalize mishkaki kwenye bodaboda, kama kawaida yetu hadi watu wafe ndo muanze kuchukua hatua.
267
Sio kila mkarimu na mtu mwema kitaa ana uprofessionalism kwenye maisha yake ya kazi.
Naomba kuuliza., Watanzania tunasifika kwa ukarimu na kuwa watu wema. But why tuna "customer service" mbya kwenye maofisi/biashara??
134
Selcom coming after Bolt and Twende…
1
299
well said
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
166
wewe umeongeza wangapi kwenye hii idadi?
Hii population naona mtaani ni uthibitisho hii nchi tupo wengi, aisee watoto ni wengi mno 😆
1
2
340
🤣🤣🤣😂
But you people Ai is doing too much now whats this😭😭😂🙌
1
1
298
Comrade Mokiwa retweeted
Vipicha viko The Guardian
Yesterday at #COP31 we celebrated and said our goodbyes to UN Secretary General Antonio. I had a rare privilege of serving on his advisory panel for EW4All and informal CSO advisory group on climate for years. Learned a lot. Thank You
11
8
2
71
3,129
Top notch 🔥
whoever made this is a cinematic genius
220
Comrade Mokiwa retweeted
CRDB bank spent about TZS 10 Billion every year for on Marketing & Advertising
10
9
3
180
10,405
AI inazalisha jokes nyingi sana
I'm dead !!!! 😂😂😂😂😂😂
139
Comrade Mokiwa retweeted
Hollywood tem tudo para temer Inteligência artificial
🤖 Made with AI
1,284
8,103
760
70,666
4,472,026
Content is 5/5
This is content 🤣🤣🤣
447
Marekani hana adui wala rafiki wa kudumu….. ni mwendo wa interests tu
164
Dah
President Barack Obama's armored limousine gets stuck on a ramp as it tries to leave the US embassy in Dublin, 2011.
1
1
364
Comrade Mokiwa retweeted
Tenacism
59
2,055
89
9,074
285,853
Still relevant hadi leo
EWURA watching chaotic developments in the Middle East with keen interest 🛢
1
440
Comrade Mokiwa retweeted
This is why GPUs cost $6,000
609
3,213
592
21,748
2,763,330
Comrade Mokiwa retweeted
We need more GPUs 😂
135
564
171
5,103
555,190