Chazy Ahmed retweeted
#TajiriLaKihaya
Nlikua napiga Story na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo NYANSAHO (Mb)โฆ
Anasema kwa sasa Fursa za uwekezaji ipo Nyumbani kwao MUGUMU SERENGETIโฆ kuna Bonge la Airport linajengwa huko haipo Kanda ya ziwa yote!
Ngoja nkajionee
Huyu mchambuzi wa Azam nae msenge.
@azamtvtz kama mumetuchoka semeni hawa wachambuzi wenu wa field acheni mambo yenu
1
1
116
Chazy Ahmed retweeted
Hivi hii Agent Kim nikienda sehemu ya kubadilisha lugha iwe English badala ya Korean hamna .
Meaning niishi na subtitles tu ..? ๐ค๐ค
Chazy Ahmed retweeted
๐ @Cristiano
Chazy Ahmed retweeted
๐ซ๐ต๐น Lamine Yamal went to hug Cristiano Ronaldo after the game. ๐ช๐ธ
Chazy Ahmed retweeted
Ulifanya watu waamini kuwa kila ndoto Ina maana na inaweza kutimia, haijalishi umezaliwa wapi au umekulia wapi. Uliwafanya mamilioni wapende football na waamini kwamba, kwenye juhudi na kufanya kazi kwa kujituma kuna mafanikio. Respect CR7, hakuna kombe lolote lenye thamani yako
Chazy Ahmed retweeted
Kukosa kombe la dunia hakukufanyi uondoke kwenye historia ya kuwa miongoni mwa wachezaji bora kuwahi kucheza football hapa duniani. Wewe ni GOAT na daima utabaki kuwa GOAT. Thank you CR7
Chazy Ahmed retweeted
Tupo kwaajili ya kusapotiana baadhi yetu bila sapoti safari ya maisha ni ngumu sana, Thus why we are Chando Laptop Family tutatekeleza tulicho ahidi๐
Cc @chandolaptops
inabidi tufanye parade kwa ajili ya Bruno,maana aliyoyafanya msimu huu ni zaidi ya ubingwa ๐ค
1
54
Chazy Ahmed retweeted
#TajiriLaKihaya
Naogopa kutumia namba yake ya Simuโฆ
Nimewapa Ushauri wa Kufungua Account ya MSIKITIโฆ
Wakishafungua nitashare ACCOUNT namba hapaโฆ
wote Tuchangie IN SHA Allah๐๐ฝ
#TajiriLaKihaya
Humu ndani Vijana wa Kiislamu hampo tukalimaliza hili Jambo????
Chazy Ahmed retweeted
Usikate tamaa kamwe na rehema za Mwenyezi Mungu. Silaha yako ni duaโmuombe Mwenyezi Mungu kwa moyo wa dhati, kwani Yeye husikia na hujibu. ๐คฒ
Chazy Ahmed retweeted
Yani Mtu Kakuonyeshea Upendo, Thamani, Heshima Anaku-Tag alafu wewe hutaki Ku-comment, Ku-repost, wala Ku-like post yake.
Dah watu mna myoyo sana.






























