Chazy Ahmed retweeted
#TajiriLaKihaya
Nlikua napiga Story na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo NYANSAHO (Mb)โฆ
Anasema kwa sasa Fursa za uwekezaji ipo Nyumbani kwao MUGUMU SERENGETIโฆ kuna Bonge la Airport linajengwa huko haipo Kanda ya ziwa yote!
Ngoja nkajionee
Chazy Ahmed retweeted
Hivi hii Agent Kim nikienda sehemu ya kubadilisha lugha iwe English badala ya Korean hamna .
Meaning niishi na subtitles tu ..? ๐ค๐ค
Chazy Ahmed retweeted
๐ @Cristiano
Chazy Ahmed retweeted
๐ซ๐ต๐น Lamine Yamal went to hug Cristiano Ronaldo after the game. ๐ช๐ธ
Chazy Ahmed retweeted
Ulifanya watu waamini kuwa kila ndoto Ina maana na inaweza kutimia, haijalishi umezaliwa wapi au umekulia wapi. Uliwafanya mamilioni wapende football na waamini kwamba, kwenye juhudi na kufanya kazi kwa kujituma kuna mafanikio. Respect CR7, hakuna kombe lolote lenye thamani yako
Chazy Ahmed retweeted
Kukosa kombe la dunia hakukufanyi uondoke kwenye historia ya kuwa miongoni mwa wachezaji bora kuwahi kucheza football hapa duniani. Wewe ni GOAT na daima utabaki kuwa GOAT. Thank you CR7
Chazy Ahmed retweeted
Tupo kwaajili ya kusapotiana baadhi yetu bila sapoti safari ya maisha ni ngumu sana, Thus why we are Chando Laptop Family tutatekeleza tulicho ahidi๐
Cc @chandolaptops
Chazy Ahmed retweeted
#TajiriLaKihaya
Naogopa kutumia namba yake ya Simuโฆ
Nimewapa Ushauri wa Kufungua Account ya MSIKITIโฆ
Wakishafungua nitashare ACCOUNT namba hapaโฆ
wote Tuchangie IN SHA Allah๐๐ฝ
#TajiriLaKihaya
Humu ndani Vijana wa Kiislamu hampo tukalimaliza hili Jambo????
Chazy Ahmed retweeted
Usikate tamaa kamwe na rehema za Mwenyezi Mungu. Silaha yako ni duaโmuombe Mwenyezi Mungu kwa moyo wa dhati, kwani Yeye husikia na hujibu. ๐คฒ
Chazy Ahmed retweeted
Yani Mtu Kakuonyeshea Upendo, Thamani, Heshima Anaku-Tag alafu wewe hutaki Ku-comment, Ku-repost, wala Ku-like post yake.
Dah watu mna myoyo sana.
Chazy Ahmed retweeted
Wakuuuu dm nachelewaga kupata text kwa wakati napatikana humu. 0754022496 Whatsapp pekee๐
Chazy Ahmed retweeted
Kwa yeyote amjuae huyu mama au ana mawasiliano yake au watu wa karibu wanaoweza kumpata naomba utusaidie. Mtoto wake aliuawa October 29, mama alihudhuria graduation ya mtoto na hiyo picha. Wapo wanaopendezwa kumjulia hali na kusaidia na kuwa wanae wapya. Tafadhali Retweet ๐๐ฝ
Chazy Ahmed retweeted
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini.
Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu.
Lakini ukweli usioepukika ni huu
hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA.
Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe.
Hatuna budi kuchukua jukumu.
Hatuna budi kusimama.
Hatuna budi kuchangia.
Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA.
Usione mchango wako ni mdogo.
Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki.
Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji.
Mimi nipo, na nimeanza.
Na wewe pia ni wakati wako sasa.
Chukua hatua.
Anza kuchangia.
Simama na CHADEMA.
Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI.
Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara.
Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza.
Asanteni.
Chazy Ahmed retweeted
Simama kidogo USIPITE โ ๏ธ๐จ
Huyu ni Adam Nsekule ๐โโ๏ธ Tangu 2018 anapambana na madhara ya spinal cord injury ๐๐ Kila siku ni vita ya kuishi.
Kwa sasa amepata pampers za miezi 5 ๐ lakini bado ana mahitaji mengi:
๐ฅ Mfuko wa haja kubwa (colostomy)
๐ Vyakula
๐ Bajaji ya kumsaidia kupata kipato
Hii si huruma ya maneno ni msaada wa kweli unahitajika sasa ๐๐ธ
Kiasi kidogo chako kinaweza kubadilisha maisha yake ๐โค๏ธ
Ukiwa ndani au nje ya nchi unaweza kuchangia ๐๐คฒ
Usipoweza kumchangia SHARE ๐๐ข
Tuendelee kumsaidia kwa chochote ulicho nacho kwa kadiri utakavyoguswa na Mungu ๐โค๏ธ
๐ M-Pesa: 0760749231 โ Adam Nsekule
๐ฆ CRDB: 0152709244900 โ Adam Nsekule
@nyuki_malkia @MkulimaKante @kigogo2014 @fbuyobe @LarryMadowo @JamiiForums @Eng_Matarra @HildaNewton21 @abdulnondo2 @babalao__ @McinikaWaLamar @sugarbabe_255 @Britanicca0 @MariaSTsehai @incrediboss @BobWangwe @HecheJohn @MsigwaGerson @asiliasali @MiriamMkanaka @Sativa255 @Thereal_taivina @Twaha_Mwaipaya @BrendaRupia
#doktamathew #fypใทใ #highlights
Chazy Ahmed retweeted
Unatimiza mwaka jela. Aliyekutupa jela, akazuia CDM kufanya siasa, akateka na kupoteza wakosoaji akidhani itakuwa rahisi kuwa rais, alikataliwa na umma hadi akauwa maelfu ya watu. Ananuka damu za watu. Anasubiri hukumu ya haki. Stay stronger, see U soon, Tundu Lissu!
































