Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila) header
Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila) profile picture

National Chairperson-CHADEMA Youth Wing. Advocate of High Court| Notary Public and Commissioner for Oaths.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2015
Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)Photo by Deogratias Mahinyila (@AdvMahinyila)
Anaitwa Amani Sam Golugwa. Amepiga Chenga Kulia akatema Mate kushoto. Iko hivyo. Kuhusu Uchochezi kuwa ni kosa dogo la Uhaini. Ni kweli mimi ni Wakili lakini sijui. Sitaweza kukufafanulia ukanielewa kwasababu hata mimi sielewi. Lissu sio Muhaini ila Majaji wamesema Mchochezi.
13
106
1
623
21,003
Upumbavu kabisa huu. Msimamo wa Lissu na Msimamo wa CHADEMA kama Lissu ametenda Uhaini Mnyongeni na kama hajatenda Uhaini muachieni kazi ya Siasa iendelee kufanyika. Haya Mengine hayasaidii lolote. Hakuna wa kumtorosha Lissu ni either mtamuachia wenyewe au Mnyongeni. Shida nini?
53
83
4
447
33,539
Wakili @PMadeleka unaelewa wanachosema Jamhuri? Nimemjibu Sielewi wanasema nini? Akadai kumbe hatuelewi wote. Tusubiri Hukumu tu. Amenyanyuka na kusepa. Angalau Uhakika nilionao Jamhuri haiwezi kushinda kesi yoyote nje ya mipaka yetu kwa Akili hizi. Huko Kitaa mnaelewa au kavu?
26
132
3
529
12,099
Lissu: Jana, "Mkiona Uhaini umethibitishwa msiogope kuninyonga." Katuga: Leo anasema "sio Lazima hata mkimkuta na hatia mumnyonge. Adhabu ni kuanzia 0 hadi kifungo cha kunyongwa hadi kufa." NB: Jamhuri wanaogopa kumnyonga Muhaini wao. Tulishtuka kitambo nia ni nini? UENYEKITI.
22
150
5
818
29,929
"Wanaosema nifungwe waambieni Katika historia hakuna shujaa yeyote anayeitwa shujaa ambae hajaonja kifungo au mambo tunayopitia. Hilo sio taji la miba ni taji la dhahabu. It is only reserved to kwa watu wa maana." Ujumbe wa Mwenyekiti Tundu Lissu leo Tar. 23/09/2026.
7
176
2
731
16,759
Deogratias Mahinyila retweeted
Tusitishane: Tuheshimiane: Tuheshimu Taasisi: Tusipendane Kinafiki na Tuwajibishane itakapohitajika: Mwisho wa Yote: Tukomae na Mapambano ya Kweli ndio Hitaji la Watanzania. Taifa linaumwa, Daktari awe mzima sio kuwa Mgonjwa pia. CHADEMA ni Tumaini la Nchi. Code kwa BAVICHA.
35
151
2
866
13,711
Tusitishane: Tuheshimiane: Tuheshimu Taasisi: Tusipendane Kinafiki na Tuwajibishane itakapohitajika: Mwisho wa Yote: Tukomae na Mapambano ya Kweli ndio Hitaji la Watanzania. Taifa linaumwa, Daktari awe mzima sio kuwa Mgonjwa pia. CHADEMA ni Tumaini la Nchi. Code kwa BAVICHA.
35
151
2
866
13,711
"I'm very Comfortable. Msinililie Mimi, Jililieni nyie na watoto wenu. Msiogope." Ujumbe wa Mwenyekiti Tundu Lissu leo Tar. 14/09/2026 anaousisitiza Vijana tuutambue na kuuishi Siku Zote.
4
114
2
672
9,925
Busara Kubwa sana hii inayopaswa kufuatwa na kila Binadamu mwenye Imani ya kweli na Ubinadamu wa kweli.
21
32
7
330
23,286
Mwenyekiti Lissu ameniambia leo, Siasa za Udalali zinapaswa kupingwa sirini na hadharani. Anasema yeyote anayezifanya hawezi kuwa rafiki yake. Amenionya mimi na Vijana wote wa CHADEMA kuwa tusiwe Madalali kwenye Siasa. Nimemuelewa na BAVICHA tutasimama hilo kwa wivu Mkubwa.
10
236
1,209
23,627
Courage. Resilience. Aluta. Happy Birthday Brother.
53
117
11
893
22,311
Deogratias Mahinyila retweeted
Kilombero wako tayari kushiriki maadhimisho ya siku ya vijana Duniani. 12 August tukutane Dodoma
28
140
1,547
Deogratias Mahinyila retweeted
"changieni chama nisiwakute nilipowaacha, tutagombana" Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akimwambia Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wakili Deogratius Mahinyila leo mahakamani. Lissu ameupongeza uongozi wa chama hicho kwa kuendelea kufanya kazi bila ya uwepo wake huku akiwataka kuongeza juhudi bila kumsubiri yeye atoke gerezani.
7
100
3
573
17,999
Ujumbe wa Mwenyekiti TUNDU LISSU kwenu Watanzania. "Wambie Mwenyekiti amesema Changieni Chama Kiende. Msinisubiri Mimi. Endeleeni. Nitawakuta Nitakapowakuta, Nisiwakute nilipowaacha. Tutagombana. Watu waendelee, Fanyeni Kazi, Kazi, Kazi."
6
114
3
498
6,101
Nani alikwambia kuwa MWANAHARAKATI ni Dhambi? BAVICHA hatuna Ugomvi na MWANAHARAKATI yeyote. Msingi wa Harakati ni UHAI. Yeyote anayepambana kutafuta Mabadiliko ndani ya Taifa hili ni MWENZETU haswaa.
5
52
2
229
6,504
Kijana na Katiba. Tukutane Dodoma Tar. 12/08 Siku ya Vijana Duniani.
5
70
2
347
5,084
Hatujakusikia Hatukuhukumu. BAVICHA tutalinda Chama kwa nidhamu na Ujasiri Mkubwa. Hatutakuhukumu kwa tuhuma za sirini. Ukinyanyua mdomo na nia yako ikathibitika hadharani, Tutakukatalia. Kwa sasa tunathamini kila aliyeweka tofali katika ujenzi wa CHADEMA. Subirini Tamko la CC.
22
136
787
16,291
Deogratias Mahinyila retweeted
Kwa maana imeandikwa, "nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika". Ukiona mapigo yamezidi jua bado unachunga kundi. So be very strong. Yoshua 1:6-9, "Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa".
20
102
4
560
12,306
Chadema ya wapi inadai Amani kabla ya Haki? Vijana wa CHASO wa 4 huko Mbeya wako korokoroni kwa tuhuma za Uongo. (Noah, Gwamaka, Agustino na Rojas) BAVICHA inapinga kamatakamata za kihuni kwa CHASO na Vijana. AMANI haihitaji madalali wa kuihubiri. Inahitaji watu wakusimamia Haki.
18
50
3
262
23,070
Tuko Msibani. Acheni Tuzike. CHADEMA ni moja. Lissu & Heche ndio walikabidhiwa Jahazi. Tutawalinda kwa wivu mkubwa kwa maslahi ya Taasisi yetu. Matumaini ya Vijana ndani ya Taifa letu yapo CHADEMA, Tutakilinda Chama hiki na Viongozi wake. Puuzeni UMBEA. BAVICHA tukutane DODOMA.
26
158
4
843
37,399