๐‰. ๐‰. (@JerryJamali) header
๐‰. ๐‰. (@JerryJamali) profile picture

Father and servant of my family. Human shortcomings should not be a reason to degrade one's dignity. I live by the mercy of Allah. Justice exalts the lowly.

Tanzania
Joined April 2020
Ndugu zangu (Salafi) waliokuwa wanazungumzia Dini nyema humu baadhi yao fitina ya siasa imewakomba. Allahu Ta'ala atunusuru na fitina ya siasa!
2
4
231
Je, inajuzu kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu kwa mwanamke kuwa mtawala? @abusumayyah_o @ihavetried2018 @Ibrahim
2
2
584
Nini hukmu ya Muislamu kujihusisha na saisa (demokrasia) na yanayofungamana nayo?
2
2
546
Uislamu unafundisha kuwatii Watawala na kuwanasihi faragha. Uislamu haufundishi Waislamu kuwa chawa wa watawala. Na kumtii mtawala haimaanishi unakubaliana naye kwa uovu wake au vinginevyo. Kumbuka: muongozo wowote nje ya Qur'an na Sunnah ni upotevu!
1
1
7
338
Celebrating MAWLID is BIDAH there's no ifs and buts !!
10
41
31
238
53,236
Assalamu 'Alaikum WarahmatuLLAHI WabarakatuH!
2
3
167
Ndio maana wengine tumechagua kukaa kimya maana humu magomvi ni mengi kuliko kheri! Pia hadithi hiyo imelipotiwa na Sunan Abi Dawud 4800.
Mtume Muhammad ๏ทบ amesema: "Ninamhakikishia nyumba peponi yule anayeacha kugombana/kubishana hata kama yuko sahihi." Mujum Al Kabeer 7488
1
1
139
๐‰. ๐‰. retweeted
Allah Mtukufu anasema: ููŽูƒูู„ููŠ ูˆูŽุงุดู’ุฑูŽุจููŠ ูˆูŽู‚ูŽุฑูู‘ูŠ ุนูŽูŠู’ู†ู‹ุง โ€œBasi zile hizo tende mbivu na unywe maji na ujifurahishe [tuliza macho yako] kwa huyo mtoto mwenye kuzaliwa.โ€ [Surah Maryam: 19:26]
2
4
6
309
Vijana Waislamu wa humu wanaizingatia hii hadithi? Mwenye kumuamini Allahu Ta'ala na Siku ya Mwisho, basi na aseme mema au anyamaze. Ibn Majah 3672
1
5
31
684
๐‰. ๐‰. retweeted
1. Kukosekana kwa adabu za kukhitilafiana katika masuala ya tanzu za kifiqhi 2. Uchaguzi mbovu wa kauli na namna ya kujibu hoja za watu 3. Kutofuata adabu za kufanya mijadala na nasaha 4. Kuwavika waislamu aya zilizoteremka makhsusi kwa ajili ya makafiri 5. Watu kuwa na msimamo ya kwamba kunapokuwa na ikhtilafu lazima iwe ni kati ya haqq na baatwil
Kulinganiana na kunasihiana kunafifia wakati kudharauliana na kutukanana kunatawala uwanajwa vijana.
1
2
174
Kulinganiana na kunasihiana kunafifia wakati kudharauliana na kutukanana kunatawala uwanajwa vijana.
2
2
1
10
648
The White Days Of Rajab ุงู„ู„ู‡ู… ุจู„ุบู†ุง ุฑู…ุถุงู† O Allah, Allow Us To Reach Ramadan!
13
496
8
1,610
176,727
๐‰. ๐‰. retweeted
#Muislam Tambua manhaj salafi ndio njia ya sawa ni vileutachukia au utapenda. Daa'wa salafiyya ndio daa'wa sahihi. Ni daa'wa inapiga vita uzushi wa aina yoyote ile na inasimamia misingi ile ya usilam aliokujana nao mtume ๏ทบ.
1
2
17
515
๐‰. ๐‰. retweeted
#Muislam tupo ndani ya mwezi wa Rajab Wezi huu hauna funga maalumu wa ibada maalumu. Funga za sunnah nizilezile na ibada ni zilezile kama za miezi mingine. Funga juu ya kisa na siku ya Israa na Miiraj ni uzushi. Muislam jirpushe na uzushi na wazushi.
1
6
31
1,433
๐‰. ๐‰. retweeted
#Muislam Tupo ndani ya mwezi Rajab ni miongoni mwa miezi mitukufu usiidhulumu nafsi yako ndani ya mwezi huu. Lakini pia hakuna ibada wala funga maalumu epuka wazushi na uzushi wao.
1
4
15
401
๐‰. ๐‰. retweeted
Sahihi Bukhari:2064 Amesimulia Jabir: Msafara ulifika (Madina) tukiwa tunaswali swala ya Jumaa pamoja na Mtume ๏ทบ. Watu walitoka nje kuelekea kwenye msafara huo, isipokuwa watu kumi na wawiliโ€ฆKisha ikashuka Aya hii:(62:11)
1
2
7
190
Shu'ayb bin Zurayq at-Ta'ifi amesema: Nilikaa na al-Hakam ibn Hazn al-Kulafi (ุฑุถู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู†ู‡ู…ุง) akatusimilia akisema:....... Tulikaa hapo (kwa Mtume ๏ทบ) kwa siku kadhaa na tukaswali Swalah ya Ijumaa pamoja na Mtume ๏ทบ Alisimama akiegemea fimbo au upinde. Abu Dawud 1096 Hasan
1
1
173
๐‰. ๐‰. retweeted
Muslim Unity - Shaykh Muqbil ibn Hadi al-Wadi'i
2
56
117
4,142
๐‰. ๐‰. retweeted
โ€œEnyi Watu wa Kitabu! Amekwisha kujieni Mtume wetu anaye kufichulieni mengi mliyo kuwa mkiyaficha katika Kitabu, na anaye samehe mengi. Bila shaka imekujieni kutoka kwa Mwenyezi Mungu nuru na Kitabu kinacho bainisha.โ€ (5:15 Quran)
4
13
385