COSMASI MBABA retweeted
Kuna wale wanawake wanatoboa kipini puani,kwenye ulimi, kwenye kitovu na masikio wanatoboa juu na chini huwa nawaogopa sana.
COSMASI MBABA retweeted
Leo siendi popoteeeee kmmk siku nzimaaaaaaaa!!!!
Ni gameeeee after gameeeeee!!!! 💀😂
Yeye ni mhaini, swali Je wangemnyonga kweli....? Jibu ni hapana wameogopa macho ya watu.
So, tumuachie huru jibu hapana angetunyea sana.
Kwahiyo tufanyeje? Ni lazima abaki ndani kwa namna yeyote ile.
COSMASI MBABA retweeted
Replying to @assengajrr
kwaio kanisa likijenga hospital wachawi wakiumwa awatibiwi
COSMASI MBABA retweeted
Sio kwa ubaya ila nimefuatilia wadau wenye wapenzi wanawaomba pesa kubwa kubwa na wanawake wanaowapenda wanapambana sana maishani na mitikasi yao inaenda vzuri tu.
Huenda comfort zone ya kutoombwa pesa ingewalemaza.
NB:Utafiti usio rasmi📍📌
COSMASI MBABA retweeted
Unajijua ni mke wa mtu unaombwa namba unatoa alafu unasema nisijari niwe na amani, amani ipi kuna muda wanawake mnapenda kututafutia matatizo wenyewe.
COSMASI MBABA retweeted
Sema Bongo ukiwa huna mke au watoto, watu wanakuona kama huna majukumu hasa maofisini hawajui kuna kikundi cha watu kinachokuvuta shati huko nyuma bila wewe mambo yao hayaendi.
COSMASI MBABA retweeted
Kuna mwanangu mmoja, simuaminigi stori zake maana ni muongo muongo.
Anasema.. siku moja walikuwa wamepakizana kwenye baiskeli ipo kasi vibaya mno halafu ni kwenye mseleleko.
Ile baiki ikakata breki, ilienda kasi mno walienda wakapata ajali moja mbaya sana.
Ila mshikaji 👇🏿
COSMASI MBABA retweeted
X wajuaji wa mambo mnataka kusemaje hapa, kwa miaka hiyo 55 mzee wetu akula nyeto kweli ? 😂😂🙌


























