mido retweeted
Hakuna mtanzania mwenye akili timeout akatamani TUNDU LISU kufungwa..Nataka kuamini.HAKUNA
mido retweeted
Watu wa bolt leo . Ukiwasha VPN tu unashangaa unamfuata abiria Nairobi kumbe yupo bonyokwa😅
mido retweeted
Lissu was charged with treason (and treason alone), but has now been found guilty of incitement.
How does this make sense legally?
mido retweeted
Kutoka Singida mpaka kusoma Iliboru kisha Sheria UDSM na baadaye akaenda UK kwa masomo ya juu. Akawa mbunge kwa miaka 10 aliyekosoa bila Uwoga hata akapigwa risasi nyingi na kwa Muujiza wa Mungu akapona. M/kiti wa chadema Tundu Lissu amehukumiwa miaka 4 jela kwa kosa la uchochezi
mido retweeted
Kashitakiwa kwa uhaini ila kahukumiwa kwa kosa la uchochezi.
Jaji kawa DPP na jaji huyo huyo kawa mpelelezi na pia kawa wakili
Kwanini hii kesi lissu hakupewa haki ya kuwasilisha utetezi wake?
mido retweeted
Marazote Mungu yupo upande wako Wewe si Muhaini wewe sio gaid lissu is back mtaani tena freee lissu ✌️
mido retweeted
Ikitokea Lissu akaachiwa huru ntabeba Abiria bure Wiki nzima haijalishi unaelekea wapi?
mido retweeted
Kitambo sana hatujashusha handle kukuza akaunti zetu, Wagonga Ulimbo tuinuane.
Shusha handle hakikisha unafollowback tukuze akaunti zetu ase🙌🏾


























