MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6) header
MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6) profile picture
Mbeya, Tanzania
Joined July 2015
Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)Photo by MasterPlan🇹🇿 (@master_plan6)
Challenge Accepted piga Picha Kifaa Cha Kazini Kwako.
25
88
41
213
41,370
Nguvu ya kuendelea kulala unaitoa wapi wakati kwenu hawali mpaka waku Bipu.🤔
6
16
18
263
Yesu Hakuwa Na Mke Shetani Hana Mke Mwanetu Nini Kinakufanya Ufanye Kitu Ambacho Hata Shetani Kakikwepa!? 😎🤔
3
6
19
572
Hela yote hiyo unataka uanzishe ujenzi nyumbani kwenu.
nimejaribu kumuomba elfu 50 mpenzi wangu..amekata simu😂
2
3
4
182
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Kuna mkeka wa million kadhaa zimetick 15 bado 15 naweza kuamka tajiri kesho betting ni nzuri jamani
1
4
6
102
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Kabla ya kulala usisahau kusali, watu wanaroga Balaa.🫵🏾😎
1
5
17
287
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Sisi binadamu tunatisha sana tukiji achaniza imagine Usikate kucha Usinyoe nywele Kichwani, kwapani, Sehemu Za Siri Nywele za mwilini, Usioge, Oya sisi ninwanyama kweli ila kinachofanya tuwe binadamu ni hofu ya Mungu tu.
2
9
10
254
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Weka handle, usilegeze
46
21
69
757
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Wakina Mdude nyangali ndio tumesha wasahau hivyo.💔💔
5
8
41
704
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Dalili nyingine ya umaskini kwa mwanaume ni kushindwa kurudi nyimbani kwake mapema akiogopa kuombwa hela nyingine na alikua ametoa hela ya matumizi.
5
17
25
462
MasterPlan🇹🇿 retweeted
UkiGuziwa unaguza back and engage every post ni kujengana
94
35
106
1,368
zile video alizopost Mange toka asubuhi kila nikijaribu kusahau lakini hazitoki kichwani sijui kama ntapata usingizi.
3
6
15
297
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Ile video ya kale katoto cheupe (tattoo) mmeiona wakuu 😋 qmmke yule mtoto ana matako malaini kishenzi alafu laini mbili 🙌😃
15
17
178
22,885
Leo nilivaa wig na nilipendeza tuu, si ikafika mda nikalivua😂😂😂mi nae ubaddie sitauweza nikasuke zangu wooii😩😩😩
5
6
28
744
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Nimepitia comments za watu wanao post kuomboleza ndugu zetu waliouawa na wengine kudhulika na matukio ya October 29, 2025 Naona baadhi ya watu wanafurahia vifo na maumivu ya wengine kwa sababu tu wako mrengo tofauti niseme tu Mungu yupo Uhai au mateso ya mwanadamu mwenzako hayapaswi kuwa shangwe kisa tofauti za kisiasa. Leo ni sisi kesho inaweza kuwa wewe au wajukuu zako Tuwe na mioyo ya nyama na tutangulize ubinadamu kwanza, hakuna kitu cha thamani zaidi ya uhai duniani
14
44
1
137
3,328
Kuna dada nilimbeba kwenye pikipiki kaniambia“hakuna mwanamke atakuvumilia ukiwa huna hela ila ata kuektia tu kwa muda akisubiri basi la hela limchukue” Nimerudi geto bado nawaza hii kauli.🤔
13
21
1
40
796
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Weka handle jomba
99
41
139
1,476
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Kitu gani Ex wako aliwahi kukupa mpaka leo unacho.
7
9
17
573
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Hizo memes mnapost leo hazitufurahishi mazee, fanyeni mzitunze mpost hata kesho, tutacheka. Tuko na majonzi ya kuwakumbuka ndg zetu leo.
2
13
25
354
Kitu gani Ex wako aliwahi kukupa mpaka leo unacho.
7
9
17
573
MasterPlan🇹🇿 retweeted
Nikose kufollow back kwani mimi ni celebrity? Ni guza niguze.
48
53
1
112
1,219