USA πΊπΈπ
TAZAMA MPAKA MWISHO UTAONA TUMEWAKILISHWA.
KIJANA MDOGO WA MIAKA 15 ALIYEPIGWA RISASI NCHINI MAREKANI HUKO NEW YORK NDUGU NA JAMAA ZAKE WAMEANDAMANA KWA HAKI HUYO KIJANA NA PIA YUPO MTANZANIA ALITUWAKILISHA HUKO KWA HAYA MAUAJI YANAYOENDELEA HUKU KWETU TAZAMA MPAKA MWISHO UTAONA NA BANGO LA TANZANIA πΉπΏππ RIP CHAMPION ππποΈ
NDUGU WANANCHI WENZANGU / WENYENCHI.
HEBU ONENI HAYA MAMTU HATA HAYAJIELEWI π€·ββοΈπ‘HATA HAYELEWEKIπ€·ββοΈπ‘
#FreeTunduLissu
Cute Maria retweeted
Replying to @CuteMaria26
Kitu kinacho udhi ni kwamba. Mitandaoni porojo ni nyingi sana ila kwa ground hamna mtu anatekeleza. Mtu kaonewa wanasheria wooote hao wa TLS wameshindwa kusimamia hili swala la rais wao wa zamani. kweli? Wanasheria wote wale? Kazi ya uwanasheria ni nini? Labda mimi sijui sana.
Cute Maria retweeted
Replying to @pimaclassic @CuteMaria26
Tuombe Mungu wafanye hivyo na vitu vikae sawa maana binafsi nishachoka maneno kibao mitandaoni ila matendo 0. Ila najua kwa ground kuna watu wanapambana sana bila makelele na wabarikiwe sana. ππΎ
Cute Maria retweeted
Replying to @CuteMaria26
Kesi na matokeo yaliyo mkuta Lissu , ndio utafahamu kwamba Tanzania hakuna humanity na life has no value .
Cute Maria retweeted
Serikali haramu ya Maccm inaongozwa na Mashetani
TANZANIA πΉπΏππ‘
PAMOJA NA MATESO YOTE HAYA MAKONDA ALIYOMPATIA LISU KTK JARIBIO LA MAUAJI YAKE BADO TU NA WEWE SAMIA NA FAMILIA YAKO HAMNA HATA CHEMBE YA HURUMA KUMTESA MTU KAMA HUYU NA KUMPA KESI ZA UONGO ILIMRADI TU MUMFUNGE ILI MUENDELEE KULA BATA. YOU PEOPLE WILL NEVER BE FORGIVEN DUNIANI NA MBINGUNI. YOU PEOPLE ARE NOT GOING TO BE FORGIVEN πΉπΏππ‘
Cute Maria retweeted
#WenyeNchiWananchi tuikomboe nchi yetu. Tunaweza. Tujipange kufanya #maandamano ya kushtukizia. Muda Wowote. Pahali Popote. Siku Yoyote. #SamiaMustGo #CCMmustGo