Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6) profile picture

UDSM Alumn, C.E.O of @diiboss_tz Tanzania Athlete,Fear of God. For business 📞|WhatsApp 0762019556 Comedian, Runner Chelsea Fun

Joined December 2021
Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)Photo by Dickson Lyimo (@DicksonLyimo6)
Kama MWAIPOPO kusema ATAWAUWA wananchi ni NIA njema Unawezaje kusema Tundu lissu anaesema Lazima tuupinge mfumo kandamizi kwa maandamano ni UHAINI??? Awamu ya SITA ina VIONGOZI WAPUMBAVU sana
9
31
2
76
1,331
Mzee @freemanmbowetz Wanyama wa porini huua/kupigana kwa sababu zinazohusiana na mahitaji ya kuishi: chakula, kujilinda, kulinda watoto au eneo. Simba anawinda kwa ajili ya chakula siyo mateso, chuki, kisasi Binadamu ni viumbe katili zaidi ya wanyama. Binadamu anaweza kumdhuru mwingine kwa sababu ya chuki, ubaguzi, tamaa, kulipiza kisasi, madaraka au kwa sababu anaona mwingine hafai kuishi Kutoka Mikocheni kwenda ilipo Mahakama Kuu ya Tanzania ni umbali usiozidi 5KM. Kutoka Mikocheni kwenda Rufiji ulipo mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ni umbali wa 260KM Unaweza kusafiri kwenda mkoa mwingine kwa zaidi ya saa tano kuhudhuria shughuli za Serikali katili ya CCM lakini huwezi kutumia dakika 10 kutoka kwako kwenda Mahakama Kuu katika kesi ya TAL? Huwezi kwenda safari ya 5KM kumuona Mwenyekiti wako wa chama, aliyerithi kiti chako katika uchaguzi HURU na HAKI lakini unaweza kwenda 260KM kuungana na watesi wa Mwenyekiti wako? Nini muhimu zaidi kwako? Ni wewe ulitueleza miradi ya maendeleo haiwezi kuwa mbadala wa haki za binadamu. Leo kuna watu wanatekwa na kupotezwa, wanashtakiwa kwa ugaidi na uhaini. Hujui? Lakini umechagua nini? Nimekusikiliza ukisema “mradi wa JNHPP usichukuliwe kisiasa kwa kuwa ni mradi unaokwenda kusaidia uchumi”. Umesahau ulitueleza nini kuhusu miradi ya MAGUFULI? Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe kwa sasa ni ‘mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA - ni kutokana na hiki kinachoitwa ‘ustaafu’ wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa Kwa maana kwamba, Freeman Mbowe yupo katika kundi sogozi la WhatsApp na mengine (kama yapo) ambayo wajumbe wa kamati kuu wanajadili kwa hisia zao tofauti masuala mbalimbali ya chama Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu CHADEMA huwezi kwenda Mahakamani katika kesi ya kiongozi wa chama, lakini unaweza kwenda katika shughuli zinazoongozwa na mwenyekiti wa CCM Freeman Mbowe umesahau, wakati ukishtakiwa kwa makosa ya uongo ya UGAIDI, Tundu Lissu alikuwa Belgium akijiuguza majera ya risasi. Aliomba kukutana na Rais alipokuwa Brussels Pamoja na mambo mengine waliyokubaliana, alisema Mwenyekiti Freeman Mbowe aachiwe ndiyo tufungue ukurasa mpya. Tundu Lissu alitujulisha mwenyewe hayo alipozungumza na umma. Tundu Lissu akiwa na siku 500 gerezani. Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe hujawahi kukanyaga Mahakamani kuanzia Kisutu hadi Mahakama Kuu hata kwa bahati mbaya. Saa 24 baada ya Mahakama Kuu kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya UHAINI ya uongo na uzandiki, Freeman Mbowe unaibuka katika shughuli za Serikali ukiwa na MAWAZIRI. Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA umekataa kabisa kuhudhuria shughuli zozote za CHADEMA lakini unaweza kuhudhuria shughuli unazoalikwa na WATAWALA KATILI wa CCM. Unahudhuria shughuli za Serikali umeongozana na mawaziri wa Serikali katili ya CCM wakati ambao wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa mamia wamekamatwa na kushtakiwa kwa UGAIDI? Mzee Freeman Mbowe umesahau haraka. Kuna watu walifungwa gerezani, wengine sasa ni walemavu, wengine sasa ni marehemu kwa sababu ya kupigania jina lako ukiwa kiongozi wa chama chetu. Umesahau, wakati unakamatwa na Serikali katili ya CCM, 2021, wanachama wa CHADEMA walikwenda kuonyesha ‘solidarity’ na wewe pale KISUTU. Walikamatwa, wakashtakiwa, wakafungwa Najutia zile siku nilisimama nawe, kukutetea na kunadi jina lako kwa nia njema kabisa nikifikiri unapambania uhuru, haki na mabadiliko ya kweli. Haikuwa hivyo. Ulitudanganya tukishindwa. Nasema kwa kuwa kwa hiari yangu, niliamua kusimama nawe, kukunadi katika mazingira ambayo ilionekana ni kama kuuza kitimoto Mecca. Lakini sikutarajia tukishindwa, tuisaliti CHADEMA Wengine sasa tumeelewa kwa kuchelewa sana. Hii chuki haiwezi kuwa ya kushindwa uchaguzi. Lazima kuna mafekeche mengine. Kuna kingine kimeujaza chuki moyo wako. Je, kuna mrija, umekatwa? Najutia kumpa mtoto wangu jina lako, Freeman.
394
634
68
2,275
275,027
Dickson Lyimo retweeted
Wanaoathirika zaidi ni wapita njia ambao sio wenyeji wa mji huu bbc.in/4prKbm4
1
22
2,518
Watanzania wote kwa pamoja tuwalinde hawa viongozi kwa wivu mkubwa sana hawa madhulumati Wana nia mbaya na nchi yetu wanahonga pesa sana ili kuwachafua viongozi wetu @HecheJohn usitishike na maneno ya vikaragosi na wachumia tumbo watanzania tupo na wew
7
31
127
2,748
Dickson Lyimo retweeted
CHADEMA imehitimisha salama vikao vyake vya Kamati Kuu vilivyofanyika mjini Kigoma. Maazimio yaliyopitishwa katika vikao hivyo yatatangazwa rasmi na viongozi wakuu wa chama kwa wakati utakaotolewa. Kwa sasa, msimamo na kipaumbele chetu ni mambo mawili tu: Uhuru wa Mwenyekiti Tundu Lissu na Katiba Mpya. Hii ndiyo dira yetu, ndiyo ajenda yetu kuu, na ndiyo mwelekeo tunaopaswa kuusimamia kwa umoja na uthabiti. Tusiache ajenda hizi zipotezwe na mijadala pembeni; tubaki kwenye mstari huu hadi malengo yetu yatimie. #KatibaMpyaFreeTunduLissu
53
305
5
1,444
40,660
Dickson Lyimo retweeted
Happy 24th Birthday to me 🎂 🎉
272
260
59
1,304
46,664
Dickson Lyimo retweeted
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Deogratius Mahinyila ametoa msimamo wa BAVICHA juu ya waliohama chama hiko na sasa kuanza kurejea.
33
160
3,573
Msikilize Msemaji wa Gen Z Taifa, Mkt Bavicha Taifa, Wakili Msomi Deo Mahinyila✌🏽💪🏽 #KatibaMpya #FreeTunduLissu
2
31
1
99
1,505
Dickson Lyimo retweeted
Masoud Kipanya Kaongea Ukweli Ambao WanaCCM Wengi Hawauelewi
14
170
5
680
14,496
Dickson Lyimo retweeted
Madenge awekwe ktk kundi la wasenge maalum wa nchi hii. Alitumika kijinga sana. Na hatutasahau!!
82
419
10
2,304
61,214
Dickson Lyimo retweeted
Benki ya NBC inatoa pongezi kwa Gerald Geay kwa kuibuka Mshindi wa Kwanza pamoja na Emmanuel Dinday ambaye ameibuka Mshindi wa Tatu kwenye Mbio Ndefu za Daegu (Daegu Marathon) 2026 zilizofanyika nchini Korea ya Kusini.
2
5
168
Hii Ndio ilikua Nembo ya Kardinali Pengo Kaulimbiu ya Kardinali Pengo ilikua inasema “Ecce ego domine” yaani “Niko hapa, Bwana” Ujumbe huu unapatikana ISAYA 6:8
2
21
159
3,286
Dickson Lyimo retweeted
Ujumbe kwa Watanzania wote ambao wanafungaa Kwaresima na Ramadhan juu ya Kusaidia watu na kuita camera na vyombo vya habari ni huu hapa
3
22
2,389
Dickson Lyimo retweeted
NIPENI DILI WAKUBWA… Dm Me Kwa Order. Let’s Go 💪🏿
9
24
169
7,037
Serikali imesema utekelezaji wa Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP) 2025 umeleta maboresho makubwa katika ubora wa maisha ya Watanzania, hali inayoonekana kupitia kuongezeka kwa wastani wa umri wa kuishi na kuboreshwa kwa huduma za afya. Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo Jumatatu, Februari 2, 2026, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema wastani wa umri wa kuishi kwa Mtanzania umeongezeka kutoka miaka 51 mwaka 2000 hadi kufikia miaka 68.3 mwaka 2022.
2
6
821
Dickson Lyimo retweeted
2
33
1
115
5,457
Dickson Lyimo retweeted
"Fikiria Mzee Edwin Mtei angekuwa Gavana wa BOT sahivi asingefunguliwa kesi ya uhaini au ugaidi?" Mhe. @HecheJohn
5
88
2
549
12,988
FEAR ALLAH MTUMISHI.
Kama taifa tunapaswa pia kutafakari ni kwann majirani wanatushabikia sana kwa sasa kuliko wakati wowote? Kwann majirani zetu wapo tayari kutupa msaada wowote ili kuhakikisha kimewaka? Kwann majirani wameibeba vita yetu ya kupambania HAKI kama yao? WANATUPENDA SANA?
24
18
3
226
11,157
Dickson Lyimo retweeted
Nisaidie kuretweet watoto waende shule bila kuloana Nirudishe store pajama za Christmas nitoe rainboots na raincoats au vyote vitauzika ? A reminder kwamba rainboots zipo kwa 37 elf na raincoats kwa 20 elf … Pajamas za wakubwa 40,000 na za watoto 30,000 0782388366
2
38
44
3,652
Dickson Lyimo retweeted
Mwanachama mwenzetu Lucy Shayo amekamatwa na Polisi Mkoani Mororogo tangu jana akiwa njian kuja Dar kwenye kesi ya Mhe. Lissu mpaka sasa anashikiliwa kituo cha Polisi Central Moro. Sababu za kukamatwa kwake bado hazijajulikana Naomba tusaidiane kupaza sauti #FreeLucyShayo
20
1
82
1,697