๐. ๐. retweeted
Allah Mtukufu anasema:
ููููููู ููุงุดูุฑูุจูู ููููุฑููู ุนูููููุง
โBasi zile hizo tende mbivu na unywe maji na ujifurahishe [tuliza macho yako] kwa huyo mtoto mwenye kuzaliwa.โ
[Surah Maryam: 19:26]
๐. ๐. retweeted
1. Kukosekana kwa adabu za kukhitilafiana katika masuala ya tanzu za kifiqhi
2. Uchaguzi mbovu wa kauli na namna ya kujibu hoja za watu
3. Kutofuata adabu za kufanya mijadala na nasaha
4. Kuwavika waislamu aya zilizoteremka makhsusi kwa ajili ya makafiri
5. Watu kuwa na msimamo ya kwamba kunapokuwa na ikhtilafu lazima iwe ni kati ya haqq na baatwil
๐. ๐. retweeted
The White Days Of Rajab
ุงูููู
ุจูุบูุง ุฑู
ุถุงู
O Allah, Allow Us To Reach Ramadan!
๐. ๐. retweeted
#Muislam
Tambua manhaj salafi ndio njia ya sawa ni vileutachukia au utapenda.
Daa'wa salafiyya ndio daa'wa sahihi.
Ni daa'wa inapiga vita uzushi wa aina yoyote ile na inasimamia misingi ile ya usilam aliokujana nao mtume ๏ทบ.
๐. ๐. retweeted
#Muislam tupo ndani ya mwezi wa Rajab
Wezi huu hauna funga maalumu wa ibada maalumu.
Funga za sunnah nizilezile na ibada ni zilezile kama za miezi mingine.
Funga juu ya kisa na siku ya Israa na Miiraj ni uzushi.
Muislam jirpushe na uzushi na wazushi.
๐. ๐. retweeted
#Muislam
Tupo ndani ya mwezi Rajab ni miongoni mwa miezi mitukufu usiidhulumu nafsi yako ndani ya mwezi huu.
Lakini pia hakuna ibada wala funga maalumu epuka wazushi na uzushi wao.
๐. ๐. retweeted
Sahihi Bukhari:2064
Amesimulia Jabir:
Msafara ulifika (Madina) tukiwa tunaswali swala ya Jumaa pamoja na Mtume ๏ทบ. Watu walitoka nje kuelekea kwenye msafara huo, isipokuwa watu kumi na wawiliโฆKisha ikashuka Aya hii:(62:11)
๐. ๐. retweeted
โEnyi Watu wa Kitabu! Amekwisha kujieni Mtume wetu anaye kufichulieni mengi mliyo kuwa mkiyaficha katika Kitabu, na anaye samehe mengi. Bila shaka imekujieni kutoka kwa Mwenyezi Mungu nuru na Kitabu kinacho bainisha.โ
(5:15 Quran)
๐. ๐. retweeted
Alisema Mtume ๏ทบ:
*Siku ya ijumaa ni masaa kumi na mawili, (mna ndani yake jisaa/lisaa) hapatikanipo ndani yake mja muislam anamuomba Allah chochote, ila Allah atampa (alichokiomba), basi itafuteni katika saa ya mwisho baada ya al asr*
๐Sahih Abi Daud 1048
๐. ๐. retweeted
Sahihi Bukhari:1492
Imepokewa na Ibn Abbas:
Mtume ๏ทบ alimuona kondoo aliyekufa ambaye ametolewa sadaka kwa kijakazi aliyeachwa huru na Maimuna mke wa Mtume ๏ทบ. Mtume ๏ทบ akasema: Kwa nini hupati faida ya ngozi yake? Wakasema, Imekufa. Akajibu: Kula tu (nyama yake) ni haramu.
๐. ๐. retweeted
Skia we jamaa, hakuna mtu ana chuki kwa kumuona muislam anafata Quran na Sunnah unless ni mwehu. Shida inakuja pale nyie na kundi lenu kujiona mnaujua Uislam sana kuliko wengine tena mnakuwa na dharau na maneno yasiyofaa. Hapo ndio tunapotofautiana, sisi wengine hatuna makundi
๐. ๐. retweeted
SHEIKH QAASIM MAFUTA ALLAH AMUHIFADHI
KUNA WATU NI MAADUI WA USALAFI LEO WAO N MASALAF KINDAKINDAKI
ALHAMDULILLLAAH
๐. ๐. retweeted
Nenda play store kaandike Qaidatunuraniyya uidowload Kisha hiyo application ITABAKIA kwenye simu YAKO so ukipata MTU WA kukufunza itakusaidia sana KUSOMA na ukibonyeza HERUFI inasomwa kwa ufasaha sana Kisha wewe utakuwa unaisikiliza na kufuatisha hata kama uko peke yako unasoma
๐. ๐. retweeted
Miongoni mwa ndugu zetu ambao huwa wana kauli nzuri humu X ni kaka yangu @husseinabui (Allah akuhifadhi). Huyu ni mfano wa kuigwa.
๐. ๐. retweeted
ุบุฏุงู ููู
ุงูุฎู
ูุณุ ูู ูู ููุงูู ุงูุตุงุฆู
ูู
ุฅู ูู
ุชุณุชุทุน ูุฐูุฑ ุจู ุบูุฑู
Kesho ni Alhamisi. Jitahidi uwe miongoni mwa wale watakaofunga. Kama huwezi, basi wakumbushe wenzako.
๐. ๐. retweeted
Replying to @JerryJamali
ni Tajwiyd
Asili yake ilitakiwa n ูุง ุชุฃู
ููุง
Imefanyika Ishmaam
Nuun moja ikapewa sukun kwahyo automatically ikatokea Idghaam
Kwa BAHATI MBAYA wasomaji wengi humu mwetu wakisoma wanaikosea japo haibadilishi maana




















