Pinned Tweet
Kumbe Biashara Ya Spare Za Pikipiki Inafaida Kubwa Namna Hii, Mtaji Wa 1Milion Unatoboa Vizuri Tuuuh TAMISEMI Nawapa Miaka 2 Hamtoniona Tena Bakini Na Maposho Yene Ya Semina.
The Gammar retweeted
Bro to bro;
Ukipata mwanamke aliyekuvumilia kwenye shida mpaka ukajipata,muache akasaidie wengine.
The Gammar retweeted
Kitu kingine ambacho siwezi na sitokiweza kamwe katika maisha yangu yote ni kugombana na mwanaume mwenzangu kwa sababu ya mwanamke
Binafsi tangu nitambue wanawake ni viumbe dhaifu imenitosha sana
The Gammar retweeted
Ukiangalia kitaalamu Seleman Matola sio tatizo pale darajani mawazo na mbinu anazo shida ni vitendea kazi wachezaji wengi ni wa kawaida sana..
Wanangu wa Chelsea tuendelee kumpa muda huyu ni bonge moja la kocha.
The Gammar retweeted
Ivi Ilishawahi Kukutokea Upo Na Mpenzi Wako Ila Hauna Fulaha Unahofu Muda Wote Shida Huwa Ni Nini 🤔
The Gammar retweeted
Big up kwa kila mwanaume anayepambana kujenga maisha yake mwenyewe.
Bila ndugu matajiri, bila kubebwa.
Bila pesa za mzee.
Hata akipitia hasara na kudharauliwa.
Utafika mbali sana maishani 👊👊
The Gammar retweeted
Weka matumaini yako kwa mungu na sio kwa binadamu, binadamu anabadilika muda wowote
The Gammar retweeted
Baada ya majukumu ya wiki nzima jana ijumaa nikajisemea niende zangu mahali hata nikachangamshe kichwa nisikae ndani peke yangu
Nikaingia zangu MASAI nilivyofika nikahisi kama ubao tumboni ulikua wa maana sana
Ikabidi niagize diko bwana
diko lenyewe lilikua ugali na vimboga mboga vilivyochanganywa
Kipindi hicho mfukoni nilikua kama na 12k sikua na hofu sana istoshe nimeagiza chakula cha bei ya chini zaidi baran afrika
Baada ya kupiga fresh nikamuulza mhudumu shilingi ngapi napaswa kulipa mana nilikua nataka nitembee zangu
Mhudumu ananiambia 25k, kwanza nikashtuka
Yaani ugali na tumbogamboga tusikoeleweka 25k?
Sema nikakaza kulinda brand asije akahisi hio hela sina na sikua nayo kwel mana nilikua na 12k mfukon
Nikamzugisha kwakua NMB haijakaa sawa ngoja nihamishe ela kutoka account fulan ivi yeye aniandalie tu lipa namba
Mwana nikaingia tsap nikamcheki mwanangu chap chap akaelewa akani bless 30k nikalipia japo roho iliniuma sana
Kuanzia leo hii kama kijana ninayejitafuta mgahawa wowote ambao hauna JAGI MEZANI siagizi chakula😁
The Gammar retweeted
Desturi ni ile ile kuamka na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na afya njema maishani mwetu:
GOOD MORNING👏
The Gammar retweeted
Not every financial breakthrough is a blessing.
Satan can give people richness too only with a price to pay.
To God,you just have to dedicate your life to Him and work hard,you will live happily ever after.
Good morning fam.
The Gammar retweeted
Tunashukuru si kwa sababu tumepata kila tunachotaka, bali kwa sababu Mungu ametupa mengi tunayohitaji
Good morning wasakatonge wenzangu
The Gammar retweeted
Good morning Maisha hayana deni la kukupa unachotaka ndiyo maana unatakiwa kufanya kazi kwa bidii kuwa na subira na kumtegemea Mungu Usikate tamaa siku yako nayo itafika
The Gammar retweeted
Good morning Maisha hayana deni la kukupa kila unachotamani Ndiyo maana unatakiwa kufanya kazi kuwa na subira kujifunza na kumtegemea Mungu. Usikate tamaa kwa sababu tu mambo hayajaenda kwa wakati ulioutarajia
























