
𝙋𝙧𝙤𝙪𝙙𝙡𝙮 𝙁𝙖𝙩𝙝𝙚𝙧&𝙝𝙪𝙨𝙗𝙖𝙣𝙙 °𝘼𝙗𝙞𝙜𝙖𝙞𝙡 °𝘼𝙙𝙧𝙞𝙚𝙡 #𝑰𝒇𝒐𝒍𝒍𝒐𝒘𝑴𝒚𝑶𝒘𝒏𝑹𝒖𝒍𝒆𝒔 #𝐈𝐒𝐀𝐈𝐀𝐇°𝟓𝟓:𝟖~𝟗
Arusha, Tanzania
Joined April 2016
- Tweets15.5K
- Following742
- Followers724
- Likes91.6K
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Kama una uelewa wa kwamba MUNGU humletea RIZIKI kila binadamu kwa wakati wake, basi huwezi kumwonea WIVU na KUMCHUKIA mtu yoyote kwa mafanikio yake.
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Usiharakishe mchakato wa maisha. Kilicho chako kitakufikia kwa wakati wake. Endelea kujituma, amini, na mwachie Mungu sehemu inayobaki.🙏
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Maisha hayakupi watu sahihi mara mbili ni kama yalivyo maisha yenyewe hauishi mara mbili
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Huwezi kupata siku zote, huwezi kufanikisha yote, huwezi kupata vyote… lakini unaweza kufanya kwa juhudi zako zote na hilo ndio jambo la msingi
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Tunaishi Dunia na watu ambao wametuzidi kila kitu lakini Bado wanatuchukia..Usiache Kusalii.!!🙏🏽






