ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr) header
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr) profile picture

𝙋𝙧𝙤𝙪𝙙𝙡𝙮 𝙁𝙖𝙩𝙝𝙚𝙧&𝙝𝙪𝙨𝙗𝙖𝙣𝙙 °𝘼𝙗𝙞𝙜𝙖𝙞𝙡 °𝘼𝙙𝙧𝙞𝙚𝙡 #𝑰𝒇𝒐𝒍𝒍𝒐𝒘𝑴𝒚𝑶𝒘𝒏𝑹𝒖𝒍𝒆𝒔 #𝐈𝐒𝐀𝐈𝐀𝐇°𝟓𝟓:𝟖~𝟗

Arusha, Tanzania
Joined April 2016
Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)Photo by ᴍᴀʟɪᴍᴀ° (@Malima88Jr)
Kama una uelewa wa kwamba MUNGU humletea RIZIKI kila binadamu kwa wakati wake, basi huwezi kumwonea WIVU na KUMCHUKIA mtu yoyote kwa mafanikio yake.
11
48
1
369
9,636
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Una ruhusa ya kuanza upya mara nyingi kadiri itakavyohitajika.🙏
14
44
2
222
9,566
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Wanaume tunatafuta sana pesa kwaajili ya watu ambao hawana huruma na pesa zetu.
5
16
4
64
1,874
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Usikimbilie maisha ya wengine, yako pia yana wakati wake wa kung'aa.🙏
8
39
1
263
8,123
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Usiharakishe mchakato wa maisha. Kilicho chako kitakufikia kwa wakati wake. Endelea kujituma, amini, na mwachie Mungu sehemu inayobaki.🙏
8
40
219
6,338
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Maisha hayakupi watu sahihi mara mbili ni kama yalivyo maisha yenyewe hauishi mara mbili
1
1
6
436
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Huwezi kupata siku zote, huwezi kufanikisha yote, huwezi kupata vyote… lakini unaweza kufanya kwa juhudi zako zote na hilo ndio jambo la msingi
2
59
289
7,823
Tunaishi Dunia na watu ambao wametuzidi kila kitu lakini Bado wanatuchukia..Usiache Kusalii.!!🙏🏽
15
31
2
245
8,417
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
"Kusamehe sio UNYONGE bali ni maamuzi ya USHUJAA yanayoikomboa nafsi kutoka kwenye mateka ya HASIRA na CHUKI "✍️✍️. Good Morning Champions ✌️.
27
45
1
78
1,063
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Haki huchelewa, lakini haipotei, wakati mwingine unaweza kuona uovu ukishinda, mwenye haki akinyamaza na ukweli ukifichwa. Lakini muda una namna ya kufichua kila kitu. 🙏💜
10
48
1
192
3,606
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Ukifanikiwa, usidhani wenzako hawapambani. Kila mtu ana safari yake, majukumu yake na muda wake wa kung’aa. Heshimu hustle za watu, kila mmoja anapambana kwa namna yake. 🚶‍♀️💜
14
48
3
343
8,649
Vijana Wengi Wanapitia Vipindi Vigumu Vya Msongo Wa Mawazo Na Mahangaiko Ya Nafsi Kwa Siri, Na Chanzo Si Mapenzi. Bali Wanatamani Kupata Ushindi Katika Maisha Waweze Kujinasua Katika Mnyororo Wa Umaskini. Mwenyezi MUNGU Akufanyie Wepesi Na Kuponya Kila Jeraha Lililo Ndani Yako
8
21
49
1,493
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Being too nice haijawahi kulipa mtu
48
183
25
1,087
31,300
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Kwanini unapenda kupima ukubwa na ubora wa maisha yako kupitia maisha ya watu wengine??
9
21
1
208
5,334
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Kuna wakati Mungu hakupi watu anakupa Malaika kupitia watu aisee, Mungu azidi kutukutanisha na watu sahihi 🙏💜
8
65
1
368
6,370
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Tazama, mimi ni Bwana wa wote wenye mwili, Je! Kuna neno gumu lolote nisiloliweza? (Yer 32:27)
1
25
1
157
2,532
Kile unachoona ni “cha kawaida” kwako, kwa mwingine ni ndoto. Shukuru kila siku. Sali Zaidi 🙏🏽
23
244
3
1,267
20,160
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Kuiiba ngoma ya kijiji sio tabu, kupata mahali pa kuipigia na kucheza kwa amani ndicho kipengele.
11
43
1,926
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Usikae juu sana kiasi cha kuwadharau wengine. Mungu anaweza kubadilisha maandishi wakati wowote.
1
9
87
1,444
ᴍᴀʟɪᴍᴀ° retweeted
Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni Mda Huo Kashanyongwa Haki Yake Anaiona Vipi...? I la Ndugu zenu Wahenga Waongo mnoo... 😂😂
2
8
81
1,202