Topking James Wenger (@Mwikola16) header
Topking James Wenger (@Mwikola16) profile picture

ARSENAL BARCELONA

Joined September 2024
Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)Photo by Topking James Wenger (@Mwikola16)
1.Tupac 2.Ngwair 3.MwanaFA 4.Dizasta 5.Moni Centro zone
Name your Top 5 rappers of ALL time.
1
513
Topking James Wenger retweeted
KUTOKA KATIKATI YA KUTA ZA MAGEREZA UKONGA, ANAANDIKA TUNDU ATIPHAS LISU: Mwaka 1988 mto Vaal huko Free State ulifurika na kujaza bwawa kubwa la kuzalisha umeme la Vaal Dam. Bwawa likazidiwa maji na kutapika. Sehemu kubwa ya maji yakaenda kuathiri mashamba ya makaburu huko Free State na Gauteng. Nyumba za wakulima wa kizungu zikabomoka, na vifo 11 vikaripotiwa. Wakati huo kulikuwa na mapambano makali ya watu weusi kudai uhuru kutoka kwa makaburu. Baada ya makaburu kupata majanga hayo ya mafuriko, maelfu ya watu weusi walishangilia mitaani na wengine wakifanya sherehe kama ishara ya kushukuru "miungu" yao kwa kuwalipia kisasi. Rais Pieter Willem Botha, mmoja wa Marais katili mno wa Kikaburu, akalaani kitendo cha Waafrika kushangilia vifo vya makaburu. Huyu ni yule aliyewahi kusema Waafrika hawana akili za kujitawala, wanapaswa kutawaliwa milele. Baada ya mafuriko hayo P.W Botha akasema serikali yake haitawavumilia walioshangilia vifo vya makaburu kwa sababu huo si ubinadamu. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ANC, Walter Sisulu, akamjibu P.W Botha kwa maneno ambayo yanaishi hadi leo. Sisulu alisema: "Kama makaburu hawaumizwi na vifo vya watu weusi, wasitegemee kwamba weusi wataumizwa na vifo vyao. Weusi wameuawa kinyama na makaburu, na wengine hawakupewa hata heshima ya kuzikwa; walifukiwa kwenye makaburi ya halaiki kama wanyama. Leo, makaburu wakifa wanataka weusi waomboleze? Huku ni kujipa haki kubwa kuliko hata malaika. Hamuwezi kuua watu weusi, muwafukie kama mizoga, halafu mkifa nyie mnataka watu haohao wasikitike. Binadamu ni yule yule, awe mwenye ngozi nyeusi au nyeupe. Kama wewe kaburu unaumizwa na kifo cha kaburu mwenzako; unapaswa kuumizwa na kifo cha mtu mweusi pia. Kuwa mweupe au kuwa na madaraka hakukufanyi kuwa binadamu kuliko wengine. Utu wetu haupo kwenye rangi za ngozi zetu wala vyeo vyetu.”
46
402
6
1,415
36,781
Topking James Wenger retweeted
Replying to @ze_mandevu
Wabongo wengi ni wapumbavu, hizo team na wanamziki walishikiria msimamo wao kutozungumzia wala kujihusisha na kilichotokea October 29 lakini kuna wendawazimu ni km hawawezi kuishi bila hiyo miziki na hiyo team za kkoo
1
44
2,069
Topking James Wenger retweeted
Replying to @ze_mandevu
Me Bado nashikilia shilingi mpaka wafu wa Oktoba 29 watakapo pata haki Yao hakuna Cha Simba Wala yanga na hakuna Cha muziki wa bongo Bora nisikulize lingala tu
3
1
36
1,982
Topking James Wenger retweeted
One day Nikishamaliza kuset mipango yangu nitarudi kwetu kwenda kuoa binti ambaye 1.Hana ex-boyfriends 2.Hatumii kilevi chochote either pombe,sigara or shisha. 3.Hana marafiki wa kiume (BFF) 4.Hana mchoro wowote kwenye mwili wake (No tattoo) 5.Hana mtoto wala hajawai kuchoropoa mimba. 6.Hajaathiriwa na utandawazi wa mitandao (tiktok na Instagram) 7.Haja athiriwa na vipodozi vya wazungu (skin care). 8.Atakua na usichana wake (bikra) na mimi ndio nitakua mwanaume wake wa kwanza. Huyo ndio atakua mke wangu mimi.🙏🏿
42
39
4
139
8,546
Topking James Wenger retweeted
October 29 mwaka jana mdogo wangu Joseph alipigwa Risasi ya kichwa akafariki ili hawa watu waendelee kuongoza Nchi yaani MUNGU yupo atalipa yote ni swala la muda tu.
33
111
3
758
21,508
Topking James Wenger retweeted
Millennials ni kizazi cha watu waliozaliwa takribani kati ya mwaka 1981 hadi 1996. Pia hujulikana kama Generation Y. Millennials ni kizazi kilichokua katikati ya dunia ya zamani (bila internet sana) na dunia ya kisasa (teknolojia nyingi). Sifa kuu za Millennials 🌐 Walikua wakati wa mabadiliko makubwa ya teknolojia (internet, simu janja) 📱 Wanatumia sana mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook 🎓 Wengi wana elimu nzuri lakini wanakumbana na changamoto za ajira 💼 Wanathamini “work life balance” kuliko kazi kupita kiasi 🌍 Wanajali masuala ya kijamii kama mazingira na usawa Mfano wa miaka yao kwa sasa (2026) Umri wao ni kati ya takribani 30 hadi 45 years Je unawajua embu wataje baadhi.
2
5
1
15
1,778
Topking James Wenger retweeted
Kwa yeyote anaesoma ujumbe huu, naomba nikukumbushe Safari yako hapa duniani inathamani kubwa sana Mambo yako yanaweza kuwa magumu leo, ila mwisho wake unaweza kukushangaza Kila kilichopotea kinaweza kupatikana, na chochote kilichovunjika kinaweza kujengwa upya STAY STRONG 💪🏾
2
10
31
577
Topking James Wenger retweeted
Jiko ni duka bora la dawa kuliko maduka ya dawa. Hakuna dawa bora kuliko chakula chako na mimea. Mifano ya dawa zenye nguvu: -Tangawizi -Kitunguu saumu -Manjano (Turmeric) -Karafuu -Mdalasini -Chumvi ya asili -Mafuta ya nazi -Rosemary -Limao -Asali -Brocoli na kale -Maji
1
18
1
68
1,761
Ndugu zangu Mimi Nalala ila nawakumbusha kuwa;- Mungu atakupatia Watu wameambiwa kila kitu kuhusu wewe lakini bado hawatakuacha. Hivyo;— Usihangaike sana kujitetea kwa kila Mtu. Watu waliokusudiwa kwako watakuelewa, hata Dunia ikisema vingine. Mungu Wetu Sote 🤲
6
18
40
624
Topking James Wenger retweeted
Ndipo niliposema, Bora hekima kuliko nguvu; walakini hekima ya maskini hudharauliwa, wala maneno yake hayasikilizwi. -Mhubiri 9:16
12
48
814
Topking James Wenger retweeted
Mwanaume ni Kujaribu. Usife kama Mende.
2
11
1
44
2,833
Topking James Wenger retweeted
Mimi NAJIULIZA kama Wachina wanatoka China, Wajerukani wanatoka Ujeruma wanatafuta Visa, passport n.k kuja kuwekeza Pwani, sijui kibahaa n.k. Hivi wewe uliye Dar, au kigoma au dodoma unaonaje Njombe, Ruvuma, mrorogoro ni mbali kwenda kuwekeza kwenye kilimo. Inafikirisha sana.
20
18
6
242
9,309
Ushindi wa Maisha si kukosa Matatizo, ni kua na uwezo wa kuyashinda bla kupoteza mwelekeo wako Usilie,Muombe Mungu akupe nguvu ya kustahimili na kuyashinda mambo magumu,Maana yapo na yatakuwepo Kubali kua Changamoto ni sehem ya Maisha Jifunze kua Imara Zaid kla unapokutana nazo
16
34
69
995
Topking James Wenger retweeted
Usipigane vita ya maneno kama vitendo vyako vina sauti📌
4
10
59
1,235
Topking James Wenger retweeted
Wala mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume. 1 Wakorintho 11:9
3
9
41
916
Topking James Wenger retweeted
Mtu aliyeamua kuoga maji ya baridi kwa hiyari yake mwenyewe kamwe hawezi kuhisi hiyo baridi📌 ~Wazee wa Sumbawanga✍️ Hii nayo Sijawaelewa wazee🙌
16
30
91
2,791
Kiburi Kinauwa Uwezo Uvivu Unaua Malengo Hasira Inauwa Heshima Wivu Unaua Amani Hofu Inaua Ndoto
16
87
4
326
7,174