Pinned Tweet
UKISHINDWA KUDHIBITI MWILI WAKO, HAUTAWEZA KUDHIBITI HISIA ZA WENGINE.
Hii ndiyo siri kubwa niliyojifunza baada ya kuanguka mara nyingi kwenye mawasiliano, Biashara, na hata kwenye mauzo.
Kila kitu kilibadilika nilipojua jinsi ya kutumia BODY LANGUAGE kwa ufanisi.
(Thread)๐งต
1
216
Paschal Simba retweeted
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA,
Wekeza hapa:
1. High income skills
2. Mentorship na coaching
3. Vitabu na taarifa nyeti
4. Connections na uzoefu.
Hisa za 1M hazitakufikisha popote.
Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
Paschal Simba retweeted
Yohana 15:13
Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
#PENDOLAMUNGU
Paschal Simba retweeted
#CodezaUnabii
Niliona NGUVU IMESHUKA KUTOKA MBINGUNI ikawaingia wale kondoo walio kuwa waoga, wenye hofu ya kifo, waliokuwa wakiwindwa na wawidanji kila mahali wakati wa giza. Ghafla wakawa watu wenye nguvu kupita kawaida.
Mwenye masikio na asikie.
Paschal Simba retweeted
Dr. Rev. Vernon Fernandes to Samia Suluhu: Nakuomba uilete taifa pamoja na kuiponya mioyo ya watu waliojeruhiwa baada ya uchaguzi
Dikteta ni Kiongozi anayependa Raia wake
Na kiongozi wa kidemokrasia ni kiongozi Anayejali maslahi Ya Walimwengu
Unapenda kiongozi Gani?
Nawasubili ๐
32
Paschal Simba retweeted
Ombi ambalo lilinichukua muda mrefu kujibiwa ni hitaji la hela kwa Mungu. I needed to know how God works in money things, it took almost 4 years to finally understand it. [Saivi angalau nina ka-experince kadogo].
Paschal Simba retweeted
2025 nilitegemea kusikia kwenye campaigns wanaongelea
-Decentralization
-Tax reforms & wealth distribution
-Universal internet
-Electric vehicles
-STEM & digital literacy
-Renewable energy
-Smart agric
-Global alliances nk
Majamaa wanaimba taarabu na kuzungumzia matundu ya vyoo
Paschal Simba retweeted
Huhitaji kuwa guru.
Huhitaji kuwa perfect.
Unahitaji kuwa kwenye motion.
Kufanya kile kinaleta thamani yako mezani.
Paschal Simba retweeted
Taja mambo matatu makuu ambayo mwanaume anatakiwa kuyaepuka ili afanikishe ndoto zake za kuwa tajiri.
Paschal Simba retweeted
Kuna baraka zingine haziji bila kupitia mahali pagumu ukikwepa hutaipata, Yusufu ndugu zake walimuuza alipofika kwa Farao mkewe akamtengenezea msala akanda jela na kule jela Mungu alikua pamoja na hakukwacha Yusufu mpaka alipokuwa waziri mkuu wa Misri na ndiye aliye anzisha kodi Dunia na kuitawala Dunia wakati huo.
Yohana 3:19
[19]Na hii ndiyo hukumu; ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, na watu wakapenda giza kuliko nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.
Upendo wa Mungu ni mkubwa sana
2
61










