Paschal Simba retweeted
Kama huingizi zaidi ya 1M kila mwezi achana na HISA,
Wekeza hapa:
1. High income skills
2. Mentorship na coaching
3. Vitabu na taarifa nyeti
4. Connections na uzoefu.
Hisa za 1M hazitakufikisha popote.
Ongeza KIPATO, njo wekeza ukiwa na misuli.
Paschal Simba retweeted
Yohana 15:13
Hakuna aliye na upendo mwingi kuliko huu, wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
#PENDOLAMUNGU
Paschal Simba retweeted
#CodezaUnabii
Niliona NGUVU IMESHUKA KUTOKA MBINGUNI ikawaingia wale kondoo walio kuwa waoga, wenye hofu ya kifo, waliokuwa wakiwindwa na wawidanji kila mahali wakati wa giza. Ghafla wakawa watu wenye nguvu kupita kawaida.
Mwenye masikio na asikie.
Paschal Simba retweeted
Dr. Rev. Vernon Fernandes to Samia Suluhu: Nakuomba uilete taifa pamoja na kuiponya mioyo ya watu waliojeruhiwa baada ya uchaguzi
Paschal Simba retweeted
Ombi ambalo lilinichukua muda mrefu kujibiwa ni hitaji la hela kwa Mungu. I needed to know how God works in money things, it took almost 4 years to finally understand it. [Saivi angalau nina ka-experince kadogo].
Paschal Simba retweeted
2025 nilitegemea kusikia kwenye campaigns wanaongelea
-Decentralization
-Tax reforms & wealth distribution
-Universal internet
-Electric vehicles
-STEM & digital literacy
-Renewable energy
-Smart agric
-Global alliances nk
Majamaa wanaimba taarabu na kuzungumzia matundu ya vyoo
Paschal Simba retweeted
Huhitaji kuwa guru.
Huhitaji kuwa perfect.
Unahitaji kuwa kwenye motion.
Kufanya kile kinaleta thamani yako mezani.
Paschal Simba retweeted
Taja mambo matatu makuu ambayo mwanaume anatakiwa kuyaepuka ili afanikishe ndoto zake za kuwa tajiri.
Paschal Simba retweeted
Kuna baraka zingine haziji bila kupitia mahali pagumu ukikwepa hutaipata, Yusufu ndugu zake walimuuza alipofika kwa Farao mkewe akamtengenezea msala akanda jela na kule jela Mungu alikua pamoja na hakukwacha Yusufu mpaka alipokuwa waziri mkuu wa Misri na ndiye aliye anzisha kodi Dunia na kuitawala Dunia wakati huo.
Paschal Simba retweeted
Replying to @PaschalSimba9
Kuhani hii tai nyekundu ni ubabe mbele ya shemeji au ๐
Paschal Simba retweeted
Replying to @PaschalSimba9
Keep the covenant moving,
Happy Anniversary Paschal
Paschal Simba retweeted
Replying to @PaschalSimba9
hongera sana mtumishi wa Mungu paschal ๐Mungu azidi kuwatunza awape miaka mingi zaidi ya kuwa pamoja na iliyotwaliwa na uwepo wa Mungu๐
Paschal Simba retweeted
Replying to @PaschalSimba9
Same na mimi. Nilikuwa nataka kuishi maisha yangu tu. Ila obstacles nilizoanza ku meet nazo kazini ndiyo nikafahamu ahaaa kumbe boss kanuna nahitaji mahali pangu ๐
Paschal Simba retweeted
Usicheze Kabisa na ATTENTIONโฆ
Attention ni PESA
Watu wanatumia Mamilion ya Pesa Kupata Attention
Makampuni yanatumia BILLIONS kwenye Matangazo ili Kupata Attention
Kwahiyo:
Attention ikikutembelea Mtandaoni Hakikisha Unaipigia PESA Kabla Haijakuacha













