SaragossaFitnessCentre (@SaragossaC) header
SaragossaFitnessCentre (@SaragossaC) profile picture

Fitness and Health Matters #Jithamini #Jipende #JaliAfyaYako #AfyaYakoMtajiWako Mob:0713-656949 or 0774-293379

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2021
SaragossaFitnessCentre retweeted
Watu wa uzunguni kwetu kule kusiko na joto 😍😍😍 jambo letu hili – at Dar es Salaam, Tanzania
#SaragossaFitnessCenter ni kituo cha mazoezi kilichopo Mbweni, DSM. Wakazi wa Ununio, Boko, Bunju, Mabwepande na Mbweni wanakaribishwa kutembelea kituo kwa ajili ya kupata taarifa zaidi.
1
22
SaragossaFitnessCentre retweeted
UKWAJU: Unajua juisi ya ukwaju ni kinywaji kizuri kwa kinga ya mwili. Pia husaidia kupunguza uzito na hatari ya magonjwa ya kisukari, moyo, kansa na kukosa choo. Pia huimarisha mfumo wa neva, huzalisha seli za ubongo na kupunguza michirizi kwenye ngozi. #tubongelishe
SaragossaFitnessCentre retweeted
Mazoezi ni muhimu sana kwa afya yako
1
2
1
SaragossaFitnessCentre retweeted
Unywaji wa pombe huufanya mwili upoteze kiasi kikubwa cha folate ambayo hushirikiana na Vitamin C pamoja na Vitamin B12 katika kutengeneza protini mpya,kuzitumia pamoja na kuzivunja vunja. Spinach ni mboga nzuri kwa wanywaji wa pombe, huwa na folate nyingi kufidia upotevu huo!
1
6
24