Dan Chibo (DC) (@danchibodc) header
Dan Chibo (DC) (@danchibodc) profile picture

Father | Husband | Catholic | Media Personnel | 📖 1 Yohana 2:6

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2009
Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)Photo by Dan Chibo (DC) (@danchibodc)
Siri ni 𝐌𝐚𝐨𝐦𝐛𝐢. Sababu ni 𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮. Mpango ni 𝐔𝐭𝐢𝐢. Matokeo ni 𝐍𝐞𝐞𝐦𝐚.
6
69
227
4,058
Maria, Kimbilio la Wenye Dhambi, waombee wale walionaswa katika dhambi na walio mbali na neema ya Mungu. Wapatie zawadi ya toba na ujasiri wa kurudi kwenye Sakramenti ya Upatanisho. Asiwepo mtu anayekata tamaa juu ya rehema za Mungu au kuchelewesha safari ya kurudi kwake. Amina!
3
7
54
Ni bora kusimamia kanuni zako, kuwa imara katika imani yako na kudumisha heshima yako hata pale watu wengine wanapopingana nawe, kuliko kujishusha na kuwaruhusu wengine wakutumie vibaya kwa sababu tu unataka kukubaliwa. #ElimikaWikiendi
1
7
114
Jifunze kukuhusu wewe mwenyewe na usiache kujiendeleza. Gundua tunu zako za msingi, nguvu na udhaifu wako. Tambua tabia unazopaswa kuboresha na kuziacha. Ni wewe dhidi ya wewe. Usijiruhusu kuwa kikwazo mwenyewe. Unapojijua, mambo mengine yote huanza kukaa sawa. #ElimikaWikiendi
3
94
Hauko peke yako. Mungu yupo nawe.🙏🏽✝️
1
3
86
Asubuhi mpya ni ukumbusho mzuri kwamba Mungu bado anaandika hadithi yetu. Amini majira yake, pokea neema yake na uweke moyo wako ukiwa umeganzika kwake. Hii ndiyo siku, ambayo Bwana ameifanya!
2
16
158
Dan Chibo (DC) retweeted
Isaiah 41:13 NLT “For I hold you by your right hand— I, the Lord your God. And I say to you, ‘Don’t be afraid. I am here to help you.”
5
4
40
690
Hauko peke yako; Kabidhi mizigo yote kwake. Si lazima uibebe peke yako. Mungu yupo pamoja nawe. Anakupenda!
6
73
Chochote kisichopatikana ndani ya Yesu Kristo hakitapatikana ndani yako: kitaang’olewa kwa jina la Yesu. Kila kitu kilicho ndani ya Yesu Kristo kitapatikana ndani yako kwa ajili ya utukufu wa sifa zake.
4
14
288
Siku ya 325 kati ya 365 Hutajutia kamwe kuishi maisha yako pamoja na Yesu. Haijalishi maisha yataleta nini, hakuna fursa ya pekee zaidi kuliko kutembea pamoja naye. Yeye ana thamani kuliko chochote na kumchagua yeye hakutakuwa kosa kamwe.
1
12
221
Dan Chibo (DC) retweeted
Baba Mungu, tuundishe kusubiri bila kukata tamaa, kuamini bila kuona, na kushukuru hata kabla ya kupokea🙏
1
5
34
985
Kama unangoja jibu toka kwa Mungu, usikate tamaa. Huenda wakati wake usiendane na wakati wako, lakini uaminifu wake haushindwi kamwe. Endelea kusali, endelea kuamini na kutimiza sehemu yako. Kuchelewa hakumaanishi kwamba Mungu amekusahau. Kusubiri kwako kuhitimishwe kwa ushuhuda!
1
14
260
Imeandikwa, "Niite, nami nitakujibu, nami nitakuonyesha mambo makuu na magumu usiyoyajua." Kwa jina la Yesu, Mungu akufunulie mipango yake kwa ajili ya maisha yako pale unapotafuta uso wake. Utaishi maisha marefu, yenye afya njema na utajiri, huku ukidhihirisha utukufu wa Kristo!
5
24
444
Maria, Mama wa Wazee, uandamane na wale wanaoendelea kuzeeka. Wape amani mioyoni mwao, nguvu katika udhaifu wao na uhakika kwamba maisha yao bado ni ya thamani na yenye maana. Wazungukwe na upendo, heshima na utunzaji wenye huruma. Amina!
2
5
1
17
346
Baba wa Mbinguni, Asante kwa kutufikisha kwenye kilele cha wiki hii. Tunakuomba, kila jitihada na ilete mafanikio, kila mzigo upishe nafasi kwa amani na kila fursa mpya ionyeshe wema wako. Basi na tumalize wiki tukiwa na shukrani, ushindi na utulivu, kupitia kwa Kristo. Amina!
2
18
276
Baba wa Mbinguni, Ni siku nyingine, na ni sababu nyingine ya sisi kukusifu. Asante kwa zawadi ya uhai, ulinzi wako katika kipindi chote cha usiku na neema ya kuona siku nyingine. Asante kwa rehema zako, msamaha, upendo na nguvu zinazotutegemeza.
1
2
17
400
Endelea kuongoza hatua zetu, kuumba upya mioyo yetu, kuturekebisha na kutusaidia kuwa zaidi kama Yesu. Tunakuomba, weka mioyo yetu katika upatano na mapenzi yako na akili zetu zielekezwe kwako. Uaminifu wako haushindwi, upendo wako haukauki na uwepo wako ndio uhakika wetu mkuu.
1
2
52
Utukufu wote ni wako, kama Zaburi 57:10 inavyotukumbusha, upendo wako unafika Mbinguni na uaminifu wako unafika mawinguni. Tunashukuru, Bwana. Kwa jina la Yesu, Amina!
1
2
23
Dan Chibo (DC) retweeted
Hongera sana mkuu kwa kupata certificate kutoka COSTECH.
1
1
2
20
Dan Chibo (DC) retweeted
Hongera sana
1
1
1
17
Tulilala usiku kucha, Yeye alitulinda na akatuamsha tena, Yeye ni Mungu!
2
19
314