BAD SINCE 965 retweeted
Replying to @enterbadboy @Sativa255
Mijambazi iko Ikulu, jitahidi kujilinda 🤝😭💔
BAD SINCE 965 retweeted
Hatupaswi kuruhusu safari ya mapambano yako iishie katika njia hii kaka, Mungu akupiganie na kukulinda kaka upatikane ukiwa salama.
#FreeTwahaMwaipaya
BAD SINCE 965 retweeted
NITAHANGAIKA KWA WAGANGA WE MSENGE SAMIA UFE...KUMA WEWE, hii nchi sio ya ukoo wenu kuma la bibi yako
BAD SINCE 965 retweeted
TUKIELEKEA SIKU YA MAUMIVU YA KIHISTORIA KWENYE NCHI YETU……..
HAWA NI WATANZANIA WENZETU, LAZMA TUWAPIGANIE DAMU ZAO ZIPATE HAKI…
RT @Sativa255: Tusambaze huu ujumbe kwa REPPST ZA KUTOSHA labda wakenya watatuelewa.
#FreeTwahaMwaipaya
BAD SINCE 965 retweeted
Asante sana @EPPGroup
Tundu Lissu anastahili hii Sakharov Prize 🙏🏽
#FreeTunduLissu
REPOST 200.
BAD SINCE 965 retweeted
I hope tumejifunza kitu leo kwenye hii issue ya Miss Grand.
Mmefanyishwa kampeni, Mwisho wa siku kampeni inatumika kumsafisha muuaji wa Watanganyika…….
Tunapowaambia hawa watu wanatumika na wauaji kuwatoa kwenye focus muwe mnaelewa……..
Msikubali kutumika kama condom
BAD SINCE 965 retweeted
Ilifika mahali kifo kilionekana kuwa suluhisho la maumivu niliyopitia. “Baba, mikononi mwako naiweka roho yangu.” Mungu pekee ndiye aliyetuweka hai—Yeye ni Ebenezer. Asanteni kwa dua na sala zenu, na shukrani za pekee kwa boda boda waliotuokoa Pande, Bagamoyo.
BAD SINCE 965 retweeted
KUELEKEA HUKUMU YA TUNDU LISSU: ASKOFU MWANAMAPINDUZI ALIKUWA MBELE YA MUDA‼️
Mwaka 2025, baada ya Tundu Lissu kushinda nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, aliandaa tafrija ya shukrani nyumbani kwao Mahambe, Ikungi, Mkoani Singida. Hafla hiyo ilihudhuriwa na viongozi wa chama, wanachama, viongozi wa dini na wananchi.
Katika hafla hiyo, Askofu Mwanamapinduzi, Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Itilima na rafiki wa karibu wa Mhe. Tundu Lissu, aliongoza maelfu ya watu kumuombea na kumtia nguvu kwa ajili ya majukumu yaliyokuwa mbele yake.
Kilichotamkwa na Askofu Mwanamapinduzi wakati huo leo kinaonekana kuwa na uzito wa pekee, kutokana na mazingira ambayo Mhe. Lissu anakabiliana nayo.
Biblia inasema katika Mathayo 27:19 kwamba mke wa Pilato, akiwa na hofu juu ya hukumu iliyokuwa mbele yake, alimtumia ujumbe:
“Usiwe na neno na mtu huyu mwenye haki; kwa sababu nimeteswa mengi leo katika ndoto kwa ajili yake.”
Ujumbe huu unatukumbusha kwamba kabla ya hukumu, kuna nafasi ya kutafakari, kusikiliza na kutenda kwa hekima.
Tunapoelekea tarehe 6 Oktoba 2026, ambayo imepangwa kuwa siku ya hukumu katika shauri linalomhusu Tundu Lissu, tunamuombea na kumtumainia Mungu kwa ajili ya haki, hekima na utulivu.
Mungu amsimamie Tundu Lissu katika kipindi hiki.
Mungu awasimamie wote wanaopitia nyakati ngumu kwa ajili ya haki na kutetea wengine.
Watumishi wa Mungu wa kweli (wasio machawa) wana mchango mkubwa sana katika maisha ya watu, hasa nyakati ambazo nguvu zinahitajika zaidi.
Je, wewe unaye Mtumishi wa Mungu wa kweli ambaye anaweza kusimama pamoja nawe wakati wa shida, akakutia nguvu na kukusaidia kusimama imara?
Tafakari. Chukua hatua.
Mungu awabariki Watumishi wa Mungu wa kweli wote, popote pale walipo. Tunatambua mchango wenu. 🙏🙏
#FreeTunduLissu #hakihuinuaTaifa




















