Ntibha Jackson🎙️ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 40/41/42/43/44/45
✅Bei 90,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
NARUDIA TENA, NO MEDIA TOUR, NO PAID PROMO, NO PAID POST'S FROM INFLUENCERS. BUT WE OUT HERE MAKING MOVES!. NAJUA WASHIKA DAU HAWAPENDI.
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Ni mstari gani unaoukubali kwenye nyimbo ya Chedda? kama umeshaipa sikio. Kama bado nenda kaskilize sasa inapatikana all streaming platforms we andika CHEDDA - MEJORWEY.
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
📌📌📌📌📌📌📌
Usioe au kuolewa na mtu mwenye chuki.
Usioe au kuolewa na mpumbavu.
Usioe au kuolewa na mwongo Sugu.
Usioe au kuolewa na mtu mvivu.
Usioe au kuolewa na mtu mkatili au mnyanyasaji.
Choose wisely 👊👊
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Good morning familia..
Mfululizo wa matatizo kwako usikukatishe tamaa kwa wakati ulio nao itafika mda yataisha tu kila jambo huwa na wakati wake..
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Anaitwa SALOME MUSA ni mdogo wangu amepotea jumapili ya tare 22 akiwa nyumbani kwake muda wa watu kwenda kusali,ni mkazi wa Kijiji cha Meshugi kata ya MKALAMA wilayani GAIRO Mkoa wa MOROGORO.
Popote ukimuona tahadhari waliana nasi kwa namba 0744289072
au mfikishe kituo polisi.
This quoted post is unavailable.
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
iPhone 13
Tsh 750,000
Free original accessories 📌
wa.me/255747151944
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Kuna mtu mpaka leo anaamini akiondoka mchezaji flani au kocha basi united itafanikiwa 😀😀😀
Usipojichunguza na kukubali mapungufu yako watu sahihi watakuja kwenye maisha yako na wataondoka kwa sababu ya tabia zako ambazo unakataa kukubali kuwa ni mapungufu yako na kero kwa wengine. Utaishia kulalamika na kulaumu watu bure tu.
Badilika wewe sio jiwe

































