O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny) header
O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny) profile picture
Gaza
Joined October 2022
Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)Photo by O'REILLY 🩵🤍 (@megaxtar_johnny)
BEST MIDFIELDER IN THE WORLD 🔥📌
7
19
2
63
6,038
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
1.Instagram 👉🏿Wambeya 2.Facebook 👉🏿Washamba 3.Tik tok 👉🏿Wajinga 4 .Tweeter 👉🏿................??
57
38
5
128
7,036
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Kuma la mama zenu wote mliofanya hii siku iwe ngumu kwetu. Kumanina zenu🚮
1
11
39
530
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Taarifa za mauwaji Arusha zilienea mida hii. Tayari mauwaji yalisharipotiwa Dar, Tunduma, Mwanza & Mbeya. Hospitali zilielemewa kuhusu dola ikiuwa mamia kwa mamia ili kulinda utawala dhalimu. Hatutasahau ushenzi huu wa tar 29.10💔
7
131
3
612
5,714
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Pumzikeni Kwa Amani Wapambanaji🥺
4
150
439
2,763
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Too many young blood claimed for one to remain in power. RIP Maria. 29.10💔😭
4
90
1
312
3,382
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Unasikiliza ngoma gani muda huu Nasty C x Rowlene - SMA 🎭🎶
4
10
1
25
490
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Tarehe 29 October 2025 Imetuondolea watu muhimu sana kwenye maisha yetu. Takukumbuka daima rafiki yangu Deo.😭Hutawasahau ndugu zetu milele. Damu za watanganyika Elfu 10 Damu zao hazitapotea bule. Huwezi kunyosha mikono huku utekaji unaendelea. Msingi imara wa Amani ni Haki.
2
52
1
171
1,493
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Leo na scroll huku twita na matukio yote haya kila nikiangalia kichwa kinaishia kuniuma tu. Kiukweli inaumiza sana💔 Ile video ya wale jmwa banda umiza duh 😭😭😭 Kuna watu sio binadamu aisee 💔💔💔
1
10
11
169
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Hatutasahau✊🏾💔 29/10/2025
4
64
113
1,396
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Ukiachana na ROSAREE na ROSE NDAUKA,ebu taja msanii wako sasa alìepost kumbukizi ya leo OCT29!!!? Hawa wa bongofleva miaka 30,tuwasusie tu!!!💔🇹🇿
9
34
163
3,728
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
29 OCT 2025. Gone, but never forgotten. 🕯️🕊️💔
1
27
83
713
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Dada mmoja alipoteza Baba mtoto wake October 29 alikuwa wakala, siku nimekutana nae na yeye alikuwa anasajili line(kama mwezi wa nane mwaka huu) katika story story ndio akaniambia namna alivyompoteza mzazi mwenzie.
4
27
268
8,296
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Maombelezo ya Mo 29 katika kanisa moja takatifu la mitume
10
79
2
373
6,704
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Kwa wasio elewa siku hii leo ilikuwa kwa ajiri ya nini ni kwamba ! 💔🕊️ 29 OKTOBA — TAREHE ISIYOFUTIKA MOYONI MWETU Leo tunawakumbuka wote waliopoteza maisha yao tarehe 29 Oktoba mwaka jana, Nyuma yao wameacha familia zenye maumivu, wazazi wenye machozi, watoto wenye kumbu
2
8
18
374
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
29/10 30l10 💔🙌
1
9
17
522
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Endelea kupumzika kwa Amani masta Pale sports Extra bado pengo lako halijazibwa. Rip MASTA TINDWA #OCT29 💔🥲
4
44
270
2,147
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
29,Oct. ya Tanganyika ilikua ni zaidi ya September,11 ya Marekani.💔💔
2
35
100
1,522
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Naamini atatokea mwenyewe akili mmoja hii siku tutaiweka kwenye kalenda iwe kumbukumbu ya vizazi na vizazi Hii kitu haieliki bhn 😭💔💔🕊🕊
2
11
26
327
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Kamwe hatutasahau.
8
60
1
228
3,041
O'REILLY 🩵🤍 retweeted
Pole kwa ndugu na jamaa walio wapoteza October 29 😭💔
2
70
216
2,715