Moja Moja (@mojaimwe) header
Moja Moja (@mojaimwe) profile picture
Mariehamn, Finland
Joined April 2025
Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)Photo by Moja Moja (@mojaimwe)
Hii video niliitunza sana ili kuaprove huu usaliti dhidi ya mahinyila na nyie tizameni hii mtagundua tulikuwa tushaanza kuuzwa.....huwezi muacha mwenzako vitani ukae pembeni but lema sawa man kwa usalti
52
125
12
809
74,895
You sucha useless ,selfish motherfucker.I feel sorry for you parents, wife and kids
Njia rahisi ya kutoka kwenye mkwamo huu wa matukio ya Oktoba 29 ni maridhiano pekee. Kama tutachagua njia ya ukweli, haki na uwajibikaji, kama baadhi yenu mnavyopendekeza, wengi wanaweza kujikuta gerezani. Hii ni kwa sababu wanaopendekeza njia hiyo wanatazama matokeo ya tukio pekee na watu waliohusika moja kwa moja, bila kuzingatia pia wale waliochochea mazingira yaliyosababisha matukio hayo. Binafsi, nilifurahi sana kuona kwamba Rais Samia mwenyewe anaunga mkono maridhiano, ambayo kwa mtazamo wangu ndiyo njia nzuri ya kutatua changamoto hii. Hata hivyo, tukishindwa kutumia fursa ya maridhiano na badala yake tukashinikiza njia ya ukweli, haki na uwajibikaji kwa namna ya makabiliano, tunaweza kujikuta katika hali ambayo dola itachukua hatua kali dhidi ya waliohusika na kuchochea matukio hayo kama China ilivyofanya mwaka 1989 kwenye tukio kama letu la Tiananmen Square Massacre. Tunaweza kujifunza kutokana na kilichotokea China wakati wa Tiananmen Square Massacre mwaka 1989, ambapo serikali ilichukua hatua kali dhidi ya wanaharakati na watu waliohusishwa na maandamano hayo. Pamoja na kuendelea kuboresha uchumi, kujenga upya imani ya wananchi na kurejesha mahusiano ya kimataifa, tukio hilo liliacha historia ya watu wengi kufungwa. Ndiyo maana binafsi naona maridhiano ni bora kuliko kuingia katika mwelekeo ambao unaweza kusababisha watu wengi, hasa wanasiasa na wanaharakati, kufungwa au kuwekwa kizuizini kutokana na kauli, matendo au machapisho yao ya kuhamasisha maandamano hayo. Ni muhimu pia kuelewa kwamba dola ina mbinu nyingi za kuhakikisha maisha yanaendelea. Inaweza kuweka mkazo katika kudhibiti mfumuko wa bei, kupunguza ukosefu wa ajira, kupambana na rushwa na kujenga uchumi imara ili kurejesha imani ya wananchi na kuendeleza shughuli za kijamii na kiuchumi. Katika mazingira hayo, wanasiasa au wanaharakati wanaofungwa au kuwekwa kizuizini kutoka na tukio hilo wanaweza kusahaulika kadiri muda unavyopita, huku maisha ya kawaida yakiendelea. Kwa hiyo, fursa ya maridhiano ni muhimu sana na haipaswi kupotezwa. Tukio la Oktoba 29 ni tukio la Tanzania, ni suala la dola letu, ni kosa letu wote lakini zaidi ya yote ni suala letu kama taifa. Hivyo, ni muhimu tulitafutie suluhisho kama nchi, kwa sababu tukiacha dola pekee ichukue jukumu la kulitatua, kuna uwezekano mkubwa watu wengi wakaumia. Tunahitaji suluhisho litakaloliunganisha taifa, si suluhisho litakaloongeza majeraha na migawanyiko. Sasa Kama nyie wakubwa mnafikiria hivi ni hatari mzee wangu. Ni kama hamna nia ya kutafuta suluhu ila mnataka kushindana na dola vita ambayo hamuwezi kushinda halafu sisi vijana ndiyo waathirika namba moja. Sio kila wakati vita muda mwingine muwe sehemu ya kuweka mambo sawa. Au nyie nchi mmeshamaliza tayari kwa umri wenu.? Hamjali kuhusu sisi vijana kwasababu hamna cha kupoteza.?
22
Hawa ndo Polisi ambao Lema anasema tunatakiwa tuwapende au kuna wengine..?
76
232
8
1,414
91,186
Huu ndio msimamo wa CHADEMA tunaoufahamu na kuuunga mkono kwa nguvu zote. Ni msimamo kama ule wa NO REFORMS NO ELECTION ambao baadae wale “wanasiasa malaya malaya” walianza kuuyumbisha na kutuambia “mkuu hakumaanisha hivyo.” Kama kuna chochote kimebadilika mtuambie. Vinginevyo tutaendelea kuutumia kama benchmark. Viva💪💪💪💪!
3
121
2
503
12,941
Kati ya moja ya vitu alivyoongea Lema leo ambavyo vimemuanika ni hii sentensi pia. Imagine anasema “ watu wanakufa” na sio wanauawa. Pili ananilaumu mimi kwa October 29 na hamlaumu alietoa order wananchi wauliwe na waliotelekeza order. Hamlaumu kimama na polisi. Instead anasema wananchi wanapende polisi…..
135
160
13
1,147
86,219
Wishful thinking, so fucking desperate for this? Mnatuambia ambacho mnakitaka toka kwa @TunduALissu bila kusema.
Sauti ya Tundu Lissu imevuja,kumbe bwana ni kweli alilipwa pesa kutoka nje za kuhamasisha Vurugu😳 aisee kama tuna viongozi wa Upinzani wa aina hii ni hatari sana Serikali inabidi kuongeza umakini.
5
310
Moja Moja retweeted
Kuna vijana walikamatwa wakavuliwa nguo wakaamuriwa walale kwenye moto.. kwamba wazime moto kwa kutumia migongo yao! Unatesa watu kiasi hiki sababu ya madaraka kweli? We shall never forget 29/10 💔
1
109
3
497
10,130
Huyu mlamba matako ya mtawala siku tulipokuwa pale Mahakama ya Kisutu ndipo nilipojifunza kuwa si kila anayesimama upande wako ni mwenzako wa kweli. Nakumbuka kabla ya dada yangu @HildaNewton21 kutekwa yeye ndiye Alikuwa akiwasiliana naye mara kwa mara. Repost
3
23
2
65
15,243
Replying to @SuluhuSamia
@SuluhuSamia's criminality must be exposed across the globe. Not only is she killing, torturing, and trumping up false charges against her own citizens, she is also engaged in drug and arms trafficking with Mexican cartels. 📢@HouseofCommons @ICIJorg @OCCRP
Tundu Lissu was charged with (politically motivated) Treason after calling for electoral reform. The sentence for Treason in Tanzania is nothing else other than DEATH. The world is waiting for November 06 Thanks Hon Pam Cox for raising this matter in the House Of Commons
1
9
9
150
Ilibidi AMWAGE DAMU za watoto zetu OCTOBER 29 ili ajitanagaze kuwa Rais IMELAANIWA serikali anayoingoza huyu mwanamke
1
29
1
52
912
Utahira wenu umezidi viwango! Dunia nzima inajua mliuwa watu, lakini hata kuonyesha kuguswa na kusikitishwa na uovu huo mmeshindwa, leo mmeshupaza shingo mkiendelea na shughuli zenu kama kawaida hamjali maumivu ya watu. Mtamtawala nani kwa uwezo mdogo wa umeme vichwani 💔😭🚮🚮
9
38
159
2,065
Hali imeshakuwa mbaya huko , Huyu katili anasema aombewe yeye na Samia tu, wengine wote ni wachawi Amesema bunge limejaa mapepo na Wachawi, pale kwa Bunge lao Dodoma ndipo wanarogana Halafu CCM watakuja wamevimba wanajifanya wako pamoja, hawana umoja wowote hawa wanawindana kuuana na sisi tushikilie hapo hapo Wanagombania kuitafuna nchi, kibibi kiko na hali mbaya kinakohoa mpaka kuongea taabu Kila mara kinapojari kujifanya kikao Vizuri kikohozi kinachapa, hicho sio kikohozi cha kawaida shikilieni maombi
Rais wa Angola anaondoka na siri kubwa sana , kwa kuangalia tu mkewe alivyokaa hapo namna alivyompuuza Samia na vikohozi vyake Ilifikia hatua wakataka nong’ong’onezana Mungu amemkataa Samia, kinachofanyika sasa anapigwa indicator , Kikohozi kimeanza toka mwanzo wa mwaka, kitakolea sana ni damu za watu na madude wanayomfukiza Tukomae na maombi pia mapambano tunakwenda kushinda
16
32
3
169
43,480
Damu za watu zinamfata kila alipo
“Samahani sauti iligoma” Vile watu wengine walikodoa macho hapo wanasema kimoyomoyo “please God! Iwe leo!” Yaani damu za watu zinanena!!
29
Yaani hawa nao walia andamana? Tuki waambia hizi tume anazo unda muuaji @SuluhuSamia ni usenge mtu mtuelewe.
Hivi ndivyo waliuwa watu waliobaki majumbani. Hiyo video ya kwanza vijana wanachungulia kwenye tundu la geti kuangalia mtu amefariki akiwa ndani ya geti lake…..
1
31
Im so proud na hili kanisa, sisi wengine tutasubiri sana .
MILLARD endelea kuneemeka na hela za hawa WAUAJI ila ujue pindi wakiondoka - which they will - there will be consequences.
9
MILLARD endelea kuneemeka na hela za hawa WAUAJI ila ujue pindi wakiondoka - which they will - there will be consequences.
8
120
1
864
35,841
So @SuluhuSamia @ikulumawasliano @ccm_tanzania mnahangaika kumbembeleza mhaini kweli? You have said the quiet part so loud . Mbona mna lazima maridhiano kiasi hichi wakati mlikaza matako kabla ya kuuwa #october29?
Naingia kulala naomba niwaache na hii clip….. 1. Zingatia “Huyo mtu wa kati aliekuwa anafanya huo uratibu ”. Yani dalali. Kelele zote alizopiga kwa Zitto, na yeye kaishia kufanya kile kile. 2. Zingatia alipewa nauli na gharama za huko Dar, Sasa connect dots na issue ya sea cliff. I think mpaka sasa nchi nzima inajua huyo “Mtu wa kati” ni Godbless Lema. Kuna siku hii familia itamtaja kwa jina….. Nna swali, Chadema kama chama walitoa ahadi na msimamo kwa wananchi kuwa hawatopiga magoti kwa wauwaji, sasa imebainika kuwa mmoja wao anafanya kazi na wauwaji na alijaribu kuishawishi familia ya Lissu ikapige magoti kwa wauwaji, hatua gani zitachukuliwa??? Pia wananchi inabidi wampige marufuku Lema kutaja jina la Lissu kuanzia Leo. Anatumia mateso ya Lissu kuhalalisha usaliti wake. Lissu kasema hadharani, hataki huruma anataka haki, Lema why anafosi kufanya kitu Lissu amekikataa? Yeye ndio anampenda sana Lissu kuliko sisi?? Wasaliti waache kumtumia Lissu kwenye ushetani wao. Moja ya somo tulilopata kwenye hili sakata, dada yenu siwezi kuongea vitu sensitive au kuongea jambo la kumchafua mtu bila kuwa na uhakika wa 100%. Imagine inteview zote zilizofanywa ili nionekane muongo kwa wananchi na Lema aonekane sio msaliti ila leo Mungu kawaonyesha Watanzania dada yao waliemwamini miaka yote hajabadilika.
1
3
193
Naingia kulala naomba niwaache na hii clip….. 1. Zingatia “Huyo mtu wa kati aliekuwa anafanya huo uratibu ”. Yani dalali. Kelele zote alizopiga kwa Zitto, na yeye kaishia kufanya kile kile. 2. Zingatia alipewa nauli na gharama za huko Dar, Sasa connect dots na issue ya sea cliff. I think mpaka sasa nchi nzima inajua huyo “Mtu wa kati” ni Godbless Lema. Kuna siku hii familia itamtaja kwa jina….. Nna swali, Chadema kama chama walitoa ahadi na msimamo kwa wananchi kuwa hawatopiga magoti kwa wauwaji, sasa imebainika kuwa mmoja wao anafanya kazi na wauwaji na alijaribu kuishawishi familia ya Lissu ikapige magoti kwa wauwaji, hatua gani zitachukuliwa??? Pia wananchi inabidi wampige marufuku Lema kutaja jina la Lissu kuanzia Leo. Anatumia mateso ya Lissu kuhalalisha usaliti wake. Lissu kasema hadharani, hataki huruma anataka haki, Lema why anafosi kufanya kitu Lissu amekikataa? Yeye ndio anampenda sana Lissu kuliko sisi?? Wasaliti waache kumtumia Lissu kwenye ushetani wao. Moja ya somo tulilopata kwenye hili sakata, dada yenu siwezi kuongea vitu sensitive au kuongea jambo la kumchafua mtu bila kuwa na uhakika wa 100%. Imagine inteview zote zilizofanywa ili nionekane muongo kwa wananchi na Lema aonekane sio msaliti ila leo Mungu kawaonyesha Watanzania dada yao waliemwamini miaka yote hajabadilika.
74
295
11
1,819
197,010
Soma comments wewe Dr Matako s9 you can get a proof how stupid you are.
Kuna watu wanahisi nalibeza Kanisa Katoliki HAPANA mimi nina shida na FR Kitima, mzee analiingiza Kanisa kwenye siasa imagine Kashawishi Maaskofu wafanye ibada Alhamis ilhali sio siku ya Ibada, ibada maalum huwa zinafanyika Jumamosi na Siku za sikukuu kwenye Jumuiya na Parokia.
9