Paroko (@Father_Mayer) header
Paroko (@Father_Mayer) profile picture

Ex-student at @UdsmOfficial 2020-2023. Art of stupid. professionals 》》Stupid fighter◇Photographer◇ C.E.O of myself◇Self parishioner◇driver ◇M🌴◇

Iringa, Tanzania
Joined February 2022
Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)Photo by Paroko (@Father_Mayer)
Paroko retweeted
Kwani Songea ya nani sahv? Kila mtu amejipa "The pride of Songea". Mwenye nayo anawazoom tu!😂
1
1
49
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 500 Mhe. Lissu amemaliza kuteta jambo na Mawakili wake, Mawakili wanarudi kwenye nafasi zao. Mhe. Lissu anasema Waheshimiwa majaji nashukuru kwa nafasi, naomba mnisikilize kwa umakini na muandike kwa umakini. Leo ni siku ya 577 nikiwa gerezani kwa kuitwa Mhaini, kosa ambalo kwa katiba ya nchi yetu ndio kosa kubwa kuliko yote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndio kosa pekee lililotamkwa katika katiba, kosa ambalo kwa mujibu wa kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu, adhabu yake inaweza kuwa kifo baada ya siku 577 za hilo wingu jeusi la adhabu ya kifo kuning’ing’inia juu ya kichwa changu, mmeniita mchochezi kosa ambalo halijapangiwa adhabu. Mmeniita mchochezi na Wakili wa Serikali Mkuu anahangaika kutafuta adhabu yake ni nini???? Maana yake ni nini waheshimiwa majaji? Kosa nililoshtakiwa nalo halikuwa kosa na nyie wenyewe mmesema halikuwa kosa, kwahiyo nilikaa siku 577 Gereza la Ukonga bila kosa lolote. Waheshimiwa majaji kauli yenu kwamba halikuwa kosa mmekubaliana na msimamo wangu na ushahidi wangu. Kuna kitu kimoja hamjakisema na nitakisema for the record na ushahidi wangu umethibitisha kwamba hii ilikuwa ni kesi ya kisiasa tuu, kugeuza Mahakama ya jinai kuwa uwanja wa mapambano ya kisiasa. Kwa hukumu yenu ya leo mmethibitisha hilo, ni Political persecution, hivyo inabidi visababu vitengenezwa vya kumfunga huyu mpinzani wao wa kisiasa na visababu vyenyewe ni kosa la uchochezi ambalo nyie Majaji mmelitengeneza, sikushtakiwa kwa uchochezi, nilishtakiwa nje ya uhaini. Nilishtakiwa kwa kusambaza taarifa za uongo, mmetafuta kosa ambalo halikuwepo, with all due respect mmefanya hivi kwasababu ya maelekezo ya kisiasa, hana kosa ila asiachiwe hivi hivi ataonekana ameshinda, Serikali itaaibika, anayetupa Ujaji ataaibika, ndivyo mlivyofanya leo. Ninajua mnahukumu, ninajua, I feel it in my heart kwa bahati mbaya sana mmefanya kile ambacho Mahakama kuu ya Kenya ilikifanya mwaka 1954 kwenye kesi ya Jomo Kenyatta. Mahakama Kuu ya Kenya ilimpata na hatia Mzee Kenyatta ingawa historia ilikuwa inajua kuwa hamna kosa lolote, ndicho ambacho mmefanya leo Waheshimiwa majaji. Historia haijawa na wema sana kwa Majaji ambao wamegeuza Mahakama zao kuwa mahali pakuadhibia wasiokuwa na hatia ili kuwaridhisha walioko madarakani kwasababu mnaadhibu mtu ambaye mnajua hana hatia na Dunia inajua hana hatia. Waheshimiwa Majaji Wasiokuwa na hatia kama mimi huwa hawaombi msamaha, unaomba msamaha kama una hatia au kama umekosa. Huombi msamaha unapokuwa huna hatia, nataka niwe very clear kuwa haya nitakayoyasema yasichukuliwe kuwa naomba msamaha, I am completely innocent lakin kwa vile Wakili mkuu wa Serikali amezungumza naomba nimjibu, Kwanza kabisa, amesema kwenye kifungu cha 35 ambacho amekiombea adhabu kali amesema adhabu ya juu ni kifungo cha miaka 5 au faini au vyote viwili. Sheria inapotoa adhabu ya aina hiyo faini au kifungo, Mahakama inatakiwa ifanye nini? katika kesi ya Salum Shaban vs R (1985) TLR 71 ambapo Mahakama hii ilisema pale ambapo Bunge limetoa option ya faini au kifungo, Mahakama lazima itoe kwanza adhabu ya faini kwanza. Kwahiyo mnapotafakari adhabu kali iliyoombwa na Wakili Mkuu wa Serikali msije mkasahau msimamo huu wa kisheria ikiwemo kesi ya Alice Nyawira Ndungu vs R Criminal Appeal No 40 of 2022, Elias Ndikumana vs R Criminal Appeal No 39 of 2022 na mashauri mengine mengi ambayo nina uhakika mnayafaham. Kuna maneno yamezungumzwa hapa na Wakili Mkuu wa Serikali, amejigeuza kuwa shahidi, amesema kwamba haya makosa ya uchochezi yamekuwa ni makosa mengi sana kwa mujibu wa taarifa za polisi, na kwa mujibu wa hotuba ya Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman. Part 501 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
83
654
14
1,767
97,822
Picha za Simu😎
1
2
1
5
345
Kwaio Game nzima Liverpool hana Shot on Target😳🚮
8
7
1
35
1,125
Paroko retweeted
Utani wa wanazi mwishowe umempa Zuchu mchongo. Picha linajieleza ZUCHU NI HOWO.
1
1
38
Paroko retweeted
Mwamba anakabia juu sana, sahv anatoa chuma 4 kwa siku. MBINGA/SONGEA-DOM Halafu zote VIP mpyaa!!🙌🙌
1
1
40
Katika miaka ya 1920, askari wa polisi waliokuwa wakifanya doria kwenye fukwe mbalimbali nchini Marekani walikuwa wakibeba Tape measure ili kupima kama mavazi ya kuogelea ya wanawake yalikuwa mafupi zaidi ya inchi sita juu ya goti. Mtu aliyekiuka sheria za maadili za eneo husika angeweza kutozwa faini ya dola 10 hadi 50 au hata kukamatwa. Baada ya bikini kuanzishwa mwaka 1946, nchi kama Hispania na baadhi ya maeneo ya Italia zilipiga marufuku kabisa vazi hilo. Polisi walikuwa wakitoa faini kuanzia lira 500 hadi 10,000 nchini Italia au peseta 250 hadi 1,000 nchini Hispania, na wakati mwingine waliwaondoa wanawake ufukweni kwa madai ya “kuonyesha sehemu ya tumbo.” Kadiri utalii wa fukwe ulivyozidi kuwa maarufu katika miaka ya 1960, marufuku hizo zilianza kuondolewa hatua kwa hatua.
1
3
29
4,620
Back to usaranage Usipoteze nauli kwenda stend kukata tiketi unachotakiwa kufanya ni kukata tiketi kupitia app superfeoexpress.co.tz Haya sasa Bofya,Kata,Twenzetu Mbeya,Chunya,Mtwara,Mwanza, Moshi&Dar @SUPERFEOEXPRESS @SouthernBuses @TBoundBuses @Adventure_36 @BusesDaily
3
3
6
273
Hii Imekaaje Wakuu, Jamaa wanaturudisha Mahali pazuri.
6
12
1
235
16,560
Njombe to Masihi Transfer Uvuvi Megawatts
3
56
2,488
KAITE BWANA ERC 😂😂🔥🔥🇬🇶
12
8
2
175
3,898
1+ to the man I have become.🎂🍰🫶🏿
128
65
21
299
18,708
Kuna kamsemo kao wanasema eti udogo wa mungu hauwezi kuuharibu ila gari yako ndo itakufa,wewe pakia ujuavyo utajua mwenyewe.😂😂🙌
1
1
2
48
Humjui mzee nyagawa yy na sweet x luwinzo ndio ndugu newforce ni wakala tyuu
1
1
2
58
Nisaidie kuityuni akili yangu iweze kukubali kuwa mapenzi hayana umri kama vijana wasema "Age is just a numbers" maana mmmmmh @Adventure_36 @Amantegeza @ambujohn @BakizaHamiss @Father_Mayer @IgnasMgidange @Hammy_Ole
2
2
4
127
Paroko retweeted
Kumbe Salamu Zao ana chuma Mpya na ni D14 kabisa, ameachana na zile Tata 📍 Madaba Tandahimba~Jiji la matapeli Hakuna kulala @SamataJr_12 @SouthernBuses @TBoundBuses
2
3
7
459
Huku mnapajua?
18
10
4
110
9,626