Janeth Joel Rithe (@JaneRithe) header
Janeth Joel Rithe (@JaneRithe) profile picture

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2018
Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)
Ukianza kuona ccm wanakusifia jua kumekucha
1
5
13
337
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 4, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakuwa Main Fm kuanzia saa 2:00-3:00 asubuhi kujadili kuhusu ziara yake ya Mkoani Kigoma na mikoa mingine saba iliyoanza jana Novemba 3, 2026. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
2
139
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo 4/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kahama Mjini. Muda 9:00 Alasiri #Ukweli #Haki #Uwajibikaji #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
4
6
211
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy amehutubia mkutano wa hadhara Kata Kasimbu Jimbo la Kigoma Mjini. Katika hotuba yake Ndugu KC amesikitishwa na kupanda kwa gharama za maisha na kukithiri kwa umaskini licha ya uwepo wa rasimali lukuki za nchini.
9
10
204
Janeth Joel Rithe retweeted
VIDEO: "Makamu mwenyekiti hapa amezungumza suala la Nchimbi, yaani Makamu wa Rais eti anaweza akapotezwa tu, tukaambiwa tu amejiuzulu. Utaratibu haukufuatwa, Katiba haikufuatwa, kila kitu hakikufuatwa, mwana CCM mwenzao walikuwa naye kwenye sanduku la kupiga kura, Nchimbi alifukuzwa alipobadilisha tu maneno, alipokataa mambo ya hovyo akafukuzwa." amesema Mpina. Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo, ameeleza hayo Novemba 1, 2026 alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika na wananchi wa jimbo hilo, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Chama chake cha ACT Wazalendo Kanda ya Ziwa.
2
29
136
7,584
Janeth Joel Rithe retweeted
"Samia alisema ndani ya siku 100 atatekeleza mambo mengi ila leo Siku 370 toka aapishwe kimabavu na kuingia ikulu hakuna hata moja lililotekelezwa." Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Luhaga Mpina #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
2
19
28
274
Janeth Joel Rithe retweeted
"IGP Wambura ujiuzulu iwapo hujui waliofanya mauaji ya watu Oktoba 29." Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo @MchinjitaIR 👉🏿Leo Ndugu Mchinjita na Ndugu Mpina watakuwa kata za Butundwe na Katoro Mjini Mkoani Geita. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
8
15
239
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo , Ndg @SemuDorothy amewasili uwanja wa ndege wa Kigoma na kapokelewa na viongozi wa kitaifa. Saa 9:00 Alasiri KC atafanya mkutano wa hadhara katika Kata Kasimbu uwanja Mwembemmoja. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
7
9
354
Hivi viungo vya baiolojia havina jina la kuvisitiri jamani @godbless_lema hahahahaha
1
3
51
Replying to @DaimuManafi
Huyu ni kijana?
1
1
968
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara, Ndugu @MchinjitaIR amehutubia mkutano wa hadhara Katoro Mjini, Geita. Ndugu Mchinjita amemtaka Watanzania waichukie CCM kwani ndio chanzo cha kukithiri umaskini na hali ngumu ya maisha. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
4
9
221
Janeth Joel Rithe retweeted
Katoro Asanteni kwa upendo mkubwa kwa chama chenu ACT Wazalendo @ACTwazalendo Tutarudi tena 🙏🔥
4
5
163
Replying to @RahmaMwita
Nabii wa Engagement now maridhiano yamebadilika jina ili yapendeze na kukwepa usaliti yanaitwa Engagement Nabii @godbless_lema shikamoo
42
Janeth Joel Rithe retweeted
Bendera ya Zambarau 💜💜💜💜💜
1
6
10
129
Replying to @godbless_lema
Hakuna shida ni mipango ya Engagement Nabii @godbless_lema
13
Nabii Katoa jina jipya Engagement haya jamani tuandae pete na capet
65
Now maridhiano yanitwa jina jipya UCHUMBA
4
7
36
1,266
Ratiba ya ziara ya Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakayoifanya Mkoani Kigoma kuanzia Novemba 3-9, 2026. Baada ya Kigoma ziara yake itaendelea katika mikoa mingine ya Magharibi, Nyanda za Juu Kusini na Morogoro. Ratiba zake tutawapa. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
2
140