Janeth Joel Rithe (@JaneRithe) header
Janeth Joel Rithe (@JaneRithe) profile picture

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2018
Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)Photo by Janeth Joel Rithe (@JaneRithe)
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 4, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakuwa Main Fm kuanzia saa 2:00-3:00 asubuhi kujadili kuhusu ziara yake ya Mkoani Kigoma na mikoa mingine saba iliyoanza jana Novemba 3, 2026. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
2
139
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo 4/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kahama Mjini. Muda 9:00 Alasiri #Ukweli #Haki #Uwajibikaji #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
4
6
211
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy amehutubia mkutano wa hadhara Kata Kasimbu Jimbo la Kigoma Mjini. Katika hotuba yake Ndugu KC amesikitishwa na kupanda kwa gharama za maisha na kukithiri kwa umaskini licha ya uwepo wa rasimali lukuki za nchini.
9
10
204
Janeth Joel Rithe retweeted
VIDEO: "Makamu mwenyekiti hapa amezungumza suala la Nchimbi, yaani Makamu wa Rais eti anaweza akapotezwa tu, tukaambiwa tu amejiuzulu. Utaratibu haukufuatwa, Katiba haikufuatwa, kila kitu hakikufuatwa, mwana CCM mwenzao walikuwa naye kwenye sanduku la kupiga kura, Nchimbi alifukuzwa alipobadilisha tu maneno, alipokataa mambo ya hovyo akafukuzwa." amesema Mpina. Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina ambaye kwa sasa ni Mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo, ameeleza hayo Novemba 1, 2026 alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika na wananchi wa jimbo hilo, ikiwa ni sehemu ya ziara ya Chama chake cha ACT Wazalendo Kanda ya Ziwa.
2
29
136
7,585
Janeth Joel Rithe retweeted
"Samia alisema ndani ya siku 100 atatekeleza mambo mengi ila leo Siku 370 toka aapishwe kimabavu na kuingia ikulu hakuna hata moja lililotekelezwa." Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Luhaga Mpina #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
2
19
28
274
Janeth Joel Rithe retweeted
"IGP Wambura ujiuzulu iwapo hujui waliofanya mauaji ya watu Oktoba 29." Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo @MchinjitaIR 👉🏿Leo Ndugu Mchinjita na Ndugu Mpina watakuwa kata za Butundwe na Katoro Mjini Mkoani Geita. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
8
15
239
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo , Ndg @SemuDorothy amewasili uwanja wa ndege wa Kigoma na kapokelewa na viongozi wa kitaifa. Saa 9:00 Alasiri KC atafanya mkutano wa hadhara katika Kata Kasimbu uwanja Mwembemmoja. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
7
9
354
Janeth Joel Rithe retweeted
Leo Novemba 3, 2026 Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara, Ndugu @MchinjitaIR amehutubia mkutano wa hadhara Katoro Mjini, Geita. Ndugu Mchinjita amemtaka Watanzania waichukie CCM kwani ndio chanzo cha kukithiri umaskini na hali ngumu ya maisha. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
4
9
221
Janeth Joel Rithe retweeted
Katoro Asanteni kwa upendo mkubwa kwa chama chenu ACT Wazalendo @ACTwazalendo Tutarudi tena 🙏🔥
4
5
163
Janeth Joel Rithe retweeted
Bendera ya Zambarau 💜💜💜💜💜
1
6
10
129
Janeth Joel Rithe retweeted
MWENYEKITI wa @ACTwazalendo, Ndugu @othmasoud amewataka wazee kutumia umri na uzoefu wao kurejesha heshima na maadili nchini, badala ya kuwa ‘machawa’ wanaotetea mambo yasiyo na msingi. Kulinda Hazina ya Wazee, Ukaribu wa Kweli, Utu na Heshima #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
1
9
9
294
Janeth Joel Rithe retweeted
"Vijana wa vyuo vikuu wanakimbia mijadala ya kisiasa. Mazingira sio rafiki. Wameshuhudia mhadhiri akipewa kesi ya ugaidi kisa tu mafunzo anayotoa darasani. Siasa imegeuzwa jinai. Hofu nyingi, kuliko matumaini." Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo @MchinjitaIR #AmkaPodcast
5
4
113
Janeth Joel Rithe retweeted
"Vijana wetu wanaingia uzee mapema. Wanazeeshwa na hali ngumu ya maisha. Wakianza tu maisha wanaanza mzigo wa mkopo." Mwenyekiti wa @ACTwazalendo @othmasoud #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
2
5
8
295
Janeth Joel Rithe retweeted
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MGOMO WA MADEREVA "Waziri wa Mambo ya Ndani ajiuzulu kwa kushindwa kusikiliza madereva kwa wakati." Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu @NagyKaboyoka #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
1
7
9
159
Janeth Joel Rithe retweeted
"Serikali ya Awamu ya Sita ni adui mkuu wa wamachinga." Waziri Kivuli wa TAMISEMI @MchuchuliK #TaifaLaWote #MaslahiYaWote @ACTwazalendo @ACTBarazaKivuli
9
11
116
Janeth Joel Rithe retweeted
"Wamachinga si uchafu, wala si adui wa wafanyabiashara wenye maduka. Wao ni sehemu ya uchumi wa mijini na wanapaswa kutazamwa kama wananchi wanaotafuta riziki" Waziri Kivuli wa TAMISEMI @MchuchuliK #TaifLAwote #MaslahiYaWote @ACTwazalendo @ACTBarazaKivuli
6
7
94
Janeth Joel Rithe retweeted
"CCM hawana mpango na wakulima. Tozo ya Sh 250 iliyoanzishwa na Chongolo haikubaliki. Walisema sulfur wanagawa bure, wasiwabebeshe wakulima mzigo huu wa sulfur." Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo Bara @MchinjitaIR #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
1
5
7
188
Janeth Joel Rithe retweeted
"Tunawatia moyo na kuwasisitiza Wamachinga. Huu ni wakati wa kuuangana kwa ajili ya kukabiliana na huyu adui; ambaye ni Serikali ya CCM." Waziri Kivuli wa TAMISEMI @MchuchuliK #TaifaLaWote #MaslahiYaWote #Wamachinga @ACTBarazaKivuli @ACTwazalendo
1
3
6
326