Janeth Joel Rithe (@JaneRithe) header
Janeth Joel Rithe (@JaneRithe) profile picture

National Chairperson of the Women's Wing @ACTwazalendo

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2018
Ukianza kuona ccm wanakusifia jua kumekucha
1
5
13
341
Ratiba ya ziara ya Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakayoifanya Mkoani Kigoma kuanzia Novemba 3-9, 2026. Baada ya Kigoma ziara yake itaendelea katika mikoa mingine ya Magharibi, Nyanda za Juu Kusini na Morogoro. Ratiba zake tutawapa. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
2
140
Huku ni KUENDELEA kuwatisha na kuwakatisha tamaa wanawake hasa wanawake vijana kuingia kwenye siasa Kuteka kutesa na kuuwa hii inanikumbusha Dafroza Kila siku ni vile sisi wengine tuko tayari kufa @SuluhuSamia huu ni uoga na ushamba wa uongozi
7
13
1
53
1,582
Heri ya siku ya kuzaliwa Kiongozi wa Chama mstaafu @214056942202886 . Tunakutakia kila la kheri unapo timiza miaka 50 hapa Duniani. Tunakufurahia Tuna kusherekea Tunakupenda Tunakuombea. Furahia siku yako Kiongozi. Happiest birthday.
1
2
6
170
Makamu wa Raisi anaweza kuwa Abdul sio mbaya sasa tufanyeje @SuluhuSamia
98
Heri ya kuzaliwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Senior Ismail Jussa . Mungu akupe afya njema na umri mrefu wenye mafanikio katika kila jambo. Vijana tunajivunia kwa malezi yako na upendo wako kwetu ,wewe kwetu Vijana ni darasa. Mungu akubariki siku zote .
88
Replying to @DorothyGwajima1
@DorothyGwajima1 huyu ni kijana aiyepigwa na mabaunsa na huko bagamoyo na sasa Hali yake mbaya amepelekwa muhimbili kutoka bagamoyo, muhimbili wanasema damu imevilia kwenye ubongo anahitaji msaada wa haraka na familia yake haina uwezo,wanalala nje mpk sasa
4
2
2
2
3,776