Ukiokota dem mpya na mkalala uchi hata chumba chenye mbu wengi, lazima utakua unafukuza mbu wanaomganda mwanamke na wewe unawafukuza waliokua kwako kwa kujitingishatingisha hata tako moja,, NIONGEZE SAUTI?
Mama anaupiga mwingi kuwadanganya wazungu ila wananchi tunaupiga mwingi zaidi kwa maana hatuchanji. X covid 19
Timu iliyocheza vizuri ndio iliyoshinda, hongereni sana uto ila msijifanye mmesahau kua mshatolewa kwenye michuano ya kimataifa.
1
Sokomoko Beberu retweeted
Waalimu hamtakiwi kuvaa Jinsi suruali zenu ni za Vitambaa na mvalie tumboni mkiwa mmechomekea na Kalamu nyekundu kwenye shati!😂🙌
Sokomoko Beberu retweeted
``Kila mtu anachotaka ni kujiondoa kwenye duara la umaskini.. tupeane support, tuvumiliane, tupeane connection, tuombeane na tupendane..''
@INFLUENCERjr ✊
Hanagaya yupo Marekani anawapiga sound wazungu kuhusu chanjo ila kasahau kuwaambia kua watuletee chanjo ya kupaka labda inaweza ikapakwa na wengi.
Sokomoko Beberu retweeted
Kubaki kung'ang'ania ulivyozoea ni kujidumaza,
Jizoeshe kuyapokea na kuyakubali mabadiliko.
Tatizo ni pale milo sajili bendi ya Congo na mc cheupe dawa badala ya kusajili wachezaji .@hajismanara @eze_kamwaga @wasafitv.wasafifm @millardayo @antonionugaz instagram.com/p/CTvOoBTIxq6/…
Waliposema anadaka mpaka risasi hawakumaanisha kua anadaka mipira...wangekua wanachezea mabomu wangeona ufundi wake.








