Teoludo-47 (@Teoludo47) header
Teoludo-47 (@Teoludo47) profile picture

I WILL BE RICH ONE DAY 🎧 MUSIC IS MY THERAPY & @MANCHESTER UNITED ❤️⚽ FOREVER , CONTENT CREATOR I think, not what people want to hear.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2021
Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)Photo by Teoludo-47 (@Teoludo47)
Wanaume hawazaliwi; wanatengenezwa. Unahitaji kupitia maumivu, magumu, nidhamu ili kuwa mwanaume. Nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa kuna jasho lake, machozi yake, maumivu yake, kushindwa kwake, na zaidi ya yote Kwa hiyo, kama unapitia nyakati ngumu sasa, endelea kusonga mbele
11
42
90
17,738
Teoludo-47 retweeted
UNAKUTA manzi -Hana allege ya vyakula -Ni shabiki mkubwa wa mieleka na boxing -Anapata siti kwenye daladala za mbezi kwenda mbagala -Anamjua mbeumo wa man utd na kamfollow kabisa kwenye mitandao ya kijamii -Hana app za usafirishaji kama vile bolt safari etc -Hajawahi kwenda location au kutolewa out na msela wake na hajawahi kujali hilo -Mtandao wake mkubwa wa kijamii ni facebook Bro huyo oa tu hata ukishindwa kuilinda familia yako kwa ufanisi atakusaidi Nb: huyo manzi kwa picha hapo ni mzulu na atakuepo UHURU kumshudia LIBASE
4
5
223
Teoludo-47 retweeted
Million moja ya mazishi inapatikana haraka kuliko Laki 3 ya matibabu🙌
1
1
4
115
𝐁𝐑𝐎 𝐓𝐎 𝐁𝐑𝐎 Dunia imebeba amani,tabasamu na furaha lakini sio kwaajili ya mwanaume. Mwanaume utaadhibiwa kwa kubaka,kuikosoa serikali hata mapenzi muda mwingine. Ni ngumu kumkuta mwanamke akikaa chini na kuwaza kesho yake itakuwaje bila chozi la mwanaume. Bro Amka.
1
2
2
56
Teoludo-47 retweeted
Oya. Kisa cha msela Jamal Musiala kimenifungua macho. Ndio, usijisahau unapoketi kwenye meza inayokulisha. Wanaokupigia makofi leo ndio watakaofungua mlango wa kutokea pindi mchango wako utakapokoma. Tabasamu la bosi ni kama kivuli, wanangu. Hukufuata ukiwa juani, lakini hupotea giza likiingia. Katika dhoruba hii, thamani ya undugu wa kweli imeonekana. Wakati wengine wakijali hadhi ya taasisi, Olise na Joshua Kimmich wamechagua utu, wamesimama na msela kwenye matope. Maisha hayana dhamana, wanangu. Jana alikuwa mfalme wa soka, leo minong'ono inasema safari yake inakaribia ukingoni. Tumia pumzi yako ya leo kutimiza ndoto zako, maana kesho ni ukurasa uliofungwa. Mwanaume amerudi tena wodini. 💔 Leo kuna taarifa zinatoka atakuwa nje mpaka mwakani 2027 kutokana na majeraha ya Muscles Injury Setbacks. Wao ukisema ni misuli, mtaani kunanong'onwa kwamba alianguka tena. Kweli, kesho ni giza nene. 🙌🏼
2
3
172
Teoludo-47 retweeted
F1 kwa laki mbili na 50 unapata Sato fresh ,ndoo ya Lita 20 F2 kwa laki na 50 unapata Sato fresh ,ndoo ya Lita kumi 📍Mwanza 🚚Mikoa yote natuma ,kwa bus na ndege 📞0756195726 Karibuni sana wakuu🤸
9
70
2
78
1,197
Teoludo-47 retweeted
Watoto wangu wote nitawapima DNA haijalishi mama yao nitakua ninamuamini kiasi gani.
10
16
1
42
774
Nafikiri IPhone Ndo Simu Bora… Nikosoe😃🫵.
20
33
3
95
3,231
Teoludo-47 retweeted
Combination play, pasi za mwisho, touches, kulazimisha CB kucheza upande, vitu mguuni, aisee nakadharika.. Teka nalihusudu sana hili, Minziro inabidi amshawishi viana huyu fundi atue Etihad
6
20
49
659
Weekend ni hivyo wakuu kuniona njee labda jumatatu😋😎
53
37
2
236
12,975
Moja ya subira mbovu ni kusubiri mpenzi aliyekuacha abadili mawazo yake.💔 Good morning my family 🖤
2
8
11
355
Teoludo-47 retweeted
Up and greatfull 💪 Good morning X family 👋
17
28
32
396
Teoludo-47 retweeted
Tuendelee Kumshkuru Mwenyezi Mungu Kwa Kutupa Kiali Kingine Cha Kuiona Siku Nyingine Ya Leo.
2
7
17
521
Teoludo-47 retweeted
Pambana👂....✍️
7
36
1
129
2,545
Kuamka salama ni kwa Neema tu hivyo hupaswi kujivuna bali kumshukru Mungu 🙏🫂 Good morning my X’s Family 🤝
11
18
27
327
Teoludo-47 retweeted
Mwaka unakarabia kuisha nikiangalia Archievements zangu through out the year nagundua nilikuwa na struggle tu kwaajili ya Pesa ya kodi, Nauli ya kazini, kula na kuvaa. Kusave kibunda sijawahi kutoboa maake pesa haitoshei 😂
4
15
47
632
Teoludo-47 retweeted
Mfanye mapenzi ndipo muoane au muoane kwanza ndipo mfanye mapenzi.. Wewe unaamini nini apa??
7
14
59
1,844
Teoludo-47 retweeted
Good morning
10
18
26
397
Teoludo-47 retweeted
Huenda usifikirie ndoto zako kila siku, lakini kuna sehemu ndani yako ambayo inaendelea kufanya kazi ili kuzifikia. Hata siku ambazo hauoni maendeleo, haimaanishi kwamba safari imesimama.
4
16
28
376
Sikia kaka, Fanya CHOCHOTE unachoweza katika uwezo wako wa kutafuta pesa na kufanikiwa; ila usifanye vitu hivi -Usishikishwe ukuta bro -Usiue mtu -Usiende jela kizembe -Usiwe chanzo Cha kupoteza mkate wa mwezio ZINGATIA bro!!
1
4
7
296
Nimejifunza mengi kupitia hii Ngoma Ndio maana unapotaka kuchagua mke, kuna sifa muhimu zaidi kuliko uzuri au mvuto wa mwili. Chagua mwanamke anayelewa kuwa changamoto ni sehemu ya maisha. Mwenye subra ya kubaki hat ukipitia nyakati zako ngumu. Pia Muoe mwanamke anayekuamini.
2
3
5
124