Raphael Paul retweeted
Replying to @rpcornely @Classickizito @ALugandu @fezoomaster @Finah_Business @MissChelsea1221 @Ambele_Young @yose_hoza @Lizzie36021 @spana_Konki @FumboJunior @INFLUENCERjr
Vinatoaga ishara ya hatari saa nyingine. Kama eneo lina kiume wa hatari
Raphael Paul retweeted
Lecture and discussions about Tanzania-Japan relations, led by Staff of the Tanzania Embassy in Japan.
August 6, 2024 at Tokyo University of Agriculture
Huyu Kitenge wa leo kanikumbusha enzi zake akiwa Radio one, Michezo leo.. anakuuliza mpaka unakasirika😃😃😃
2
137
Unforgettable memories
If sharing this would mean something positive.......
#Mihogo iheshimiwe
___________________________________________
Part of HISF 2024 magazine essays
2
85
Raphael Paul retweeted
If sharing this would mean something positive.......
#Mihogo iheshimiwe
___________________________________________
Part of HISF 2024 magazine essays
Raphael Paul retweeted
Moja ya kitu kiliwahi kumshangaza na pia kumvutia mdada kutoka Libya (muislamu, nilionana naye mahala Dec 2023) kuhusu Tanzania ni pale ambapo watu wa dini tofauti hukutana na kusherehekea (kula/kunywa pamoja) licha ya kuwa ni upande mmoja tu ndio unakuwa umetoka kwenye mfungo.
Raphael Paul retweeted
Koffi Olomide anahitimu chuo kikuu miaka ya 70 na kuajiriwa.
Baadae anagundua hatengenezi pesa za kutosha akiwa ofisini.
Hapa ndipo anaamua kukirudia kipaji chake cha muziki.
Lakini ataanzia wapi?
Jana Morogoro watu wamekufa, nyumba nyingi zimeenda na maji, watu wanalia mali zao, vitu na mifugo vimeenda, maji yamejaa ndani mpaka sahivi bado wengine wanahangaika kuyatoa, ila mpaka sasa sijaona hii habari ikipewa uzito. Au ndio kusema tumeshazoea majanga kama haya? 😓😓
1
1
72
Raphael Paul retweeted
Moja ya shoo kali aliyowahi kuipiga bwana mkubwa Werrason huko Zenith Ufaransa. – at Dodoma, Tanzania
Wajina umeshindikana inabidi tukuandalie battle na @Kaka_Chriss tunapiga wimbo useme ni wa nani😎😎😄😄🫡🫡
1
3
59
Raphael Paul retweeted
💨 Yawezekana Pc yako au laptop yako imekataa ku-connect kwenye Wifi, unayotumia
Lakini
Simu yako imekubali!,
Je utawezaje kutumia Wifi hiyo hiyo kwenye Pc pia wakati imekataa au imezingua ku-connect?
Easy sana!
Ungana na Mimi nikufundishe cha kufanya
Raphael Paul retweeted
Imani sio kuamini kwamba Mungu atatenda kile tunachotaka, ila imani ni kuamini kwamba Mungu atatutendea kile kilicho sahihi kwetu #Inn_Shaa_Allah 🙏🏽
Raphael Paul retweeted
Replying to @rpcornely @TBoundBuses
Julai 2023 : Dar - Tunduma Tshs. 45,000/=
Desemba 2023: Dar - TDM Tshs. 63,000/=
Ongezeko la Tshs. 18,000/=
Julai 2023: Dar - Iringa Tshs. 22,000/=
Desemba 2023: Dar - Iringa Tshs. 33,000/=Ongezeko la Tshs. 11,000/=
Upandaji holela wa Nauli
Tutaelewana tu! Natamani mafuta yashuke mpaka hata 2k/Ltr tuone kama watashuzha nauli
Nauli Mpya Za Mabasi Masafa Marefu(Mikoani) Kuanzia Tarehe 8/12/2023
#Arusha





























