Raphael Paul (@rpcornely) header
Raphael Paul (@rpcornely) profile picture

Mathayo 7:12

Morogoro, Tanzania
Joined April 2018
Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)Photo by Raphael Paul (@rpcornely)
Lecture and discussions about Tanzania-Japan relations, led by Staff of the Tanzania Embassy in Japan. August 6, 2024 at Tokyo University of Agriculture
1
1
153
If sharing this would mean something positive....... #Mihogo iheshimiwe ___________________________________________ Part of HISF 2024 magazine essays
1
1
1
1
168
Unakaa na jirani hamjawahi kuonana miaka miwili unasikiaga minong'ono tu. Loneliness ni kubwa . Tofauti kubwa ya masaa kuliwazwa na familia, ndugu na jamaa (Tz) nalo ni tatizo. Post yako🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Kwani Diaspora hampatagi wapenzi huko jamani mbona kama mko lonely sana 😂😂
2
3
9
919
Moja ya kitu kiliwahi kumshangaza na pia kumvutia mdada kutoka Libya (muislamu, nilionana naye mahala Dec 2023) kuhusu Tanzania ni pale ambapo watu wa dini tofauti hukutana na kusherehekea (kula/kunywa pamoja) licha ya kuwa ni upande mmoja tu ndio unakuwa umetoka kwenye mfungo.
1
1
1
89
Koffi Olomide anahitimu chuo kikuu miaka ya 70 na kuajiriwa. Baadae anagundua hatengenezi pesa za kutosha akiwa ofisini. Hapa ndipo anaamua kukirudia kipaji chake cha muziki. Lakini ataanzia wapi?
67
238
4
2,368
265,994
THE MONEY GAME...💵 Soma huu uzi kama una miaka 18-30. Uzi 🧵👇
168
442
36
2,145
284,337
Moja ya shoo kali aliyowahi kuipiga bwana mkubwa Werrason huko Zenith Ufaransa. – at Dodoma, Tanzania
7
3
1
19
1,198
💨 Yawezekana Pc yako au laptop yako imekataa ku-connect kwenye Wifi, unayotumia Lakini Simu yako imekubali!, Je utawezaje kutumia Wifi hiyo hiyo kwenye Pc pia wakati imekataa au imezingua ku-connect? Easy sana! Ungana na Mimi nikufundishe cha kufanya
11
73
179
40,398
Imani sio kuamini kwamba Mungu atatenda kile tunachotaka, ila imani ni kuamini kwamba Mungu atatutendea kile kilicho sahihi kwetu #Inn_Shaa_Allah 🙏🏽
4
9
37
1,236
Julai 2023 : Dar - Tunduma Tshs. 45,000/= Desemba 2023: Dar - TDM Tshs. 63,000/= Ongezeko la Tshs. 18,000/= Julai 2023: Dar - Iringa Tshs. 22,000/= Desemba 2023: Dar - Iringa Tshs. 33,000/=Ongezeko la Tshs. 11,000/= Upandaji holela wa Nauli
1
1
1
38
...“Mbona abiria akichelewa mnamwacha hamumsubiri?,...” Kumbe ndege inaweza kumsubiri abiria aliyechelewa?. Kwenye kughairisha safari, kubadili ratba na huduma kweli maboresho muhimu (kwa mujibu wa wadau wengi)
Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameitaka Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) kutafuta sululu ya kudumu ya tatizo la kuahirisha safari ambalo linawakera sana Wateja pamoja na kuwaacha Wateja wanaochelewa na kugoma kuwasubiri. Kihenzile @DavidKihenzile amesema Watanzania wanakerwa sana na tabia ya kuahirisha safari huku kukiwa hakuna mbadala wa ndege ya kuwasafirisha ambapo amelaumu pia tabia ya baadhi ya Wahudumu wa ATCL kutumia lugha zizisofaa wanapotoa huduma na kusema ni lazima ifike mwisho. kihenzile ameyasema hayo alipotembelea kitengo cha Huduma kwa Wateja Makao Makuu ya ATCL Jijini Dar es salaam “Mbona abiria akichelewa mnamwacha hamumsubiri?, mbona mkiahirisha safari hamufikirii abiria?, lazima haya yafike mwisho” Kihenzile amesema kadhia hiyo inamkera Rais Dkt. Samia na Viongozi wakuu wote akiwemo Makamu wa Rais Dkt. Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Dotto Biteko “Ni maelekezo ya Viongozi wakuu, na Waziri wetu Prof Mbarawa ameendelea kusikitishwa sana na kero hii hivyo ninawataka mje na mkakati wa muda mfupi na mrefu wa kumaliza kabisa” Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL Lasdaus Matindi amemuhakikishia Kihenzile jinsi walivyojipanga kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili kwa sasa na hivyo kuzidi kuboresha huduma zao. #MillardAyoUPDATES
1
1
45
MWANAMKE WA NDOTO YA KILA MWANAUME🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
86
116
23
1,065
81,561
𝗕𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗺𝗼𝘂𝘀𝗲 𝗮𝘂 𝗸𝗲𝘆𝗯𝗼𝗮𝗿𝗱 Hivi unajua Unaweza kubadili simu kuwa mouse ??😀 Inawezekana ulikua unatumia mouse yako ghafla imekufa au betri zimeisha unahitaji kumalizia kitu ulichokuwa unafanya utafanyaje ?? Uzi ni wako repost ✅
10
96
1
169
28,599
Utasikia wakisema: "Usimdharau usiyemjua" Hii humaanisha, ukishamjua, mpimie kiasi flani cha heshima, kulingana na alivyo baada ya kumjua. Nami nasema: Mheshimu yoyote yule, iwe unamjua au humjui. Jambo hili huleta haki, usawa na upendo miongoni mwetu.✍🏼
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Paul Makonda amewaomba Watumishi wa Serikali Nchi nzima pamoja na Watanzania wengine kwa ujumla kwamba haijalishi Mtu yupo kwenye ofisi gani ajitahidi kuwathamini Watu kwa utu wao na sio kuwadharau wengine na kuchagua wa kuwaheshimu kisa cheo au pesa ambapo amesema Binadamu wote ni sawa. Makonda amesema hayo wakati akiongea na Wananchi wa Mwanza akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda ya Ziwa “Tuwatendee Watu mazuri, kila unayekutana nae hakikisha unamthamini sio kwasabbu anakupa pesa bali kwasababu ameumbwa kwa mfano wa Mungu, unayemtendea mabaya ipo siku utamkuta ameketi pazuri kama leo unavyomuona Makonda ameketi pazuri” “Nakaaga naangalia Watu wakikuona haupo Madarakani wanasema hali yake mbaya, hali haiwezi kuwa mbaya kama una Mungu, na kwa kasumba hiyo kama sasa hivi unashangaa Mtu anatuma meseji ‘Simu zangu huzipokei, hao wanaokutafuta sasa hivi ni wa kipindi hiki’ unajiuliza mmh mbona wewe mwenyewe ulikuwa haunitafuti!?, “Mimi sipendi Mtu anayemuheshimu Mtu kwasababu ya cheo au pesa, unaweza kwenda ofisi fulani unajieleza ni haki yako hakuna anayekusikiliza lakini Kiongozi akipiga simu nataka fulani mumsikilize aah utaambiwa samahani njoo njoo unapewa na kiti na chai, niwaombe Watumishi Nchi nzima haijalishi upo kwenye ofisi gani mthamini Mtu kwa utu wake, Binadamu wote ni sawa” “Mimi na Baba yangu yule pale kuna kipindi Baba alikuwa Kondakta anakata tiketi, Mimi nabeba magunia ya Watu napandisha juu ya bus, bus lenyewe lilikuwa linaitwa Mungu hana choyo stendi pale Nyakato unayemdharau leo huwezi jua kesho maisha yake yapoje” #MillardAyoUPDATES
1
1
45
Nafurahi kuona kijana akitumia ujuzi wake kutoka SUA kufanya yaliyo mema katika uhifadhi wa misitu na mazingira kwa ujumla🙏🏼 Kwa Eucalyptus, zipo aina za milingoti "Eucalyptus species" 'zisizokunywa' maji mengi sana, mbali na 'species' zilizozoeleka zenye kuhitaj maji mengi.
Mdau asisitiza kampeni za uoteshaji miti asilia kutumika kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
1
1
32
Baada ya kutumika katika mihadhara kadhaa miaka zaidi ya mitatu mtandaoni, hatimaye maisha yaliyozoeleka yapata kuendelea.
1
1
1
97
After several conference meetings online for more than three years, eventually normal life continues. Held today, the 13th Conference meeting of the Kanto Forest Society, Yamanashi Pref. #gasification, #biochar, #forest_biomass, #J_credit
Baada ya kutumika katika mihadhara kadhaa miaka zaidi ya mitatu mtandaoni, hatimaye maisha yaliyozoeleka yapata kuendelea.
1
1
1
48
...“Kuna tofauti kubwa kati ya tuliokuja Mjini kwa kuungaunga na wale tuliowakuta Mjini, tuliokuja kwa kuungaunga tumepigana vita mapori mengi sana, ndio maana hata ukiulizwa hivi Makonda ni nani hata Baba yake humjui kwasababu tumepiga vita vingi sana,...." MWISHO WA KUNUKUU🙌🙌
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda amesema sio utaratibu kwa Wastaafu kila siku kuongeaongea huku akiwashauri Wastaafu wakishapumzika watulie na walee Familia zao na kwamba kama watahitajika kwa ajili ya kazi wataitwa. Akiongea Jijini Dodoma leo Makonda amesema “Kuna tofauti kubwa kati ya tuliokuja Mjini kwa kuungaunga na wale tuliowakuta Mjini, tuliokuja kwa kuungaunga tumepigana vita mapori mengi sana, ndio maana hata ukiulizwa hivi Makonda ni nani hata Baba yake humjui kwasababu tumepiga vita vingi sana, niwaombe tu mliopo ndani ya CCM na nje ya CCM huyu Dkt. Samia ndiye Rais wetu ameletwa na Mungu kwa mapenzi yake Mungu tumpe nafasi ya kufanya kazi” “Sikuweza kusema kipindi cha miaka yote ile kwasababu sikuwa na nafasi yoyote na Mimi utaratibu wangu ukipewa nafasi unapewa kazi uliyopewa ukimaliza unapumzika, huwezi kupewa kazi umemaliza umepumzika wewe ni Mstaafu lakini kila siku upo kwenye microphone, huo sio utaratibu” “Ukishaitwa Mstaafu tulia lea Familia yako wakikuona wa maana watakuita kama walivyomuita Makonda, huwezi kuwa Mstaafu halafu kutwaa, aah, aah, na Wastaafu Nchi hii wanaheshimika sana na Mimi nimejifunza kutoka kwao, nakumbuka Marehemu Mzee Mkapa alipostaafu siku moja nimeenda nyumbani kwake nikamuuliza Mzee vipi mbona uko kimya sana akasema unataka nifanye nini?, nikamwambia Mzee unajua akasema hapana Mimi nimemaliza wajibu wangu” “Kwahiyo tumuache Rais Samia afanye kazi , tusilipelipe Watu mitandaoni wamtukane, kama una pesa kuna Bodaboda wanahitaji pikipiki, Mamantilie wanahitaji mitaji, Wavuvi wanataka boti, kama unawapenda wape hao badala ya kuwapa Watu hela wamtukane Rais wetu na ndio maana waliposikia Makonda ameteuliwa wamepiga kelele nyingi kwasababu wanajua nawajua na hofu yao ni kuwajua, walitamani waendelee kukaa kwenye maficho wasijulikane lakini Mungu ni mwema ninawafahamu” #MillardAyoUPDATES
1
1
41