Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala) profile picture

Entrepreneur and Political analyst, ICT, Software Engineer. College of City and Guild, UK, Former IPP and Vodacom I.T.D Sayona drinks ltd, King lion ltd. DBA

Tanzania
Joined May 2015
Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)Photo by Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ (@DNdagala)
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
๐ŸŽฅ Why are #ICC witnesses protected? โš–๏ธThe trial of Rodrigo Roa #Duterte is scheduled to open on 30 November 2026. Learn moreโžก๏ธ icc-cpi.pulse.ly/bwigwiylsk
40
53
3
136
12,564
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Replying to @abdulnondo2
@abdulnondo2 busy kukosoa @ChademaTZ2 huku kuna mtu makini ndani ya @ACTwazalendo
2
21
3
77
2,105
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
UKWELI,HAKI,UWAJIBIKAJI!!
3
35
131
2,346
2) Jambo muhimu ni kutueleza Mkurugenzi wa NIDA na Timu yake wametumia TSH ngapi ktk safari hii, kwa style Mh Rais @SuluhuSamia 2030 mtaua Watanzania wengi zaidi maana hii fedha yote ingefanya maendeleo ya jamii sasa inatumika hotelini Dubai. Upigaji Upigaji tu.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) nchini Tanzania ni James Wilbert Kaji na timu yake wako Dubai. Kwa Diaspora yeyote wa Dubai ambaye hana kitambulisho cha Taifa ni nafasi yake ya kufanya hivyo kesho Jumapili na Jumatatu kwenye Hotel ya Raddison, Dubai.
25
Kwamba serikali ya Mh Rais @SuluhuSamia imeona tatizo la Diaspora ni NIDA hapo Dubai, Mkimaliza kufuja fedha za umma uko Dubai, 2030 Watanzania Wana shida ya maji na Afya mkawauwe tena fedha za umma mnatumia Dubai, Then @mshambuliaji na @Salym mkalipwe tena kusifia tume y Chande
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) nchini Tanzania ni James Wilbert Kaji na timu yake wako Dubai. Kwa Diaspora yeyote wa Dubai ambaye hana kitambulisho cha Taifa ni nafasi yake ya kufanya hivyo kesho Jumapili na Jumatatu kwenye Hotel ya Raddison, Dubai.
30
7) Eti thamani ya Dola trilion 3. Na unadhani Watanzania Wana shida ya Takwimu Kwamba awawezi ku google wakaona. Shida ya Tanzania sio Takwimu ni ufisadi ktk PPP, Hao wenye hiyo Takwimu china na Ulaya hawana shida ya ufisadi ktk PPP kwao. Unaweza kula kimya klk kuongea upuuzi Mh
Nimeona maoni ya rafiki yangu Ndugu Mpina akipinga na kukosoa Sera ya PPP kuwa ni kuuza Nchi. Naomba nimsaidie tu kwamba dhana ya Ubia/ PPP imeahidiwa na vyama vyote vikuu nchini katika ilani zao kwa maana ya CCM, CHADEMA&ACT kama njia sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa. Sera na Sheria za PPP hazihamishi umiliki wa mali ya Umma. Kwa mujibu wa sera na sheria, Mradi wa PPP ni mali ya Umma kabla, wakati na hata baada. Nchi zote kubwa Ulaya , Asia na America zinafanya PPP katika sekta mbalimbali ikiwemo bandari, barabara, reli na hata huduma. China chini ya chama cha kisoshalisti inamiradi ya PPP yenye thamani zaidi ya dola trilion3 au sawa na uchumi wa Afrika. Tutaendelea kutoa elimu.
30
7) Kwamba Mh Kafulila unaamini Watanzania awajaona Road Reserve wakipewa matajiri kujenga vituo vya mafuta. Maeneo Bora sana kwao wajasiliamali kufanya biashara kwa muda, Na Kwamba utaenda kuwapa elimu ya kuelewa umuhimu wa matajiri kupendelewa na wao kupuuzwa. Acha upuuzi Mh.
Nimeona maoni ya rafiki yangu Ndugu Mpina akipinga na kukosoa Sera ya PPP kuwa ni kuuza Nchi. Naomba nimsaidie tu kwamba dhana ya Ubia/ PPP imeahidiwa na vyama vyote vikuu nchini katika ilani zao kwa maana ya CCM, CHADEMA&ACT kama njia sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa. Sera na Sheria za PPP hazihamishi umiliki wa mali ya Umma. Kwa mujibu wa sera na sheria, Mradi wa PPP ni mali ya Umma kabla, wakati na hata baada. Nchi zote kubwa Ulaya , Asia na America zinafanya PPP katika sekta mbalimbali ikiwemo bandari, barabara, reli na hata huduma. China chini ya chama cha kisoshalisti inamiradi ya PPP yenye thamani zaidi ya dola trilion3 au sawa na uchumi wa Afrika. Tutaendelea kutoa elimu.
23
6) Kuna muda ni Bora kukaa kimya kuliko kuwa kama Mh @KenaniKihongos1 au @Nnauye_Nape Eti Mh @HecheJohn ananufaika na Mh Lissu kuwa ndani. Sasa ninyi si mnamwachia Lissu ili Heche asinufaike. Ndiyo wewe sasa eti elimu unaona Watanzania wajinga. Ni vile hawana silaha sio wajinga.
Nimeona maoni ya rafiki yangu Ndugu Mpina akipinga na kukosoa Sera ya PPP kuwa ni kuuza Nchi. Naomba nimsaidie tu kwamba dhana ya Ubia/ PPP imeahidiwa na vyama vyote vikuu nchini katika ilani zao kwa maana ya CCM, CHADEMA&ACT kama njia sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa. Sera na Sheria za PPP hazihamishi umiliki wa mali ya Umma. Kwa mujibu wa sera na sheria, Mradi wa PPP ni mali ya Umma kabla, wakati na hata baada. Nchi zote kubwa Ulaya , Asia na America zinafanya PPP katika sekta mbalimbali ikiwemo bandari, barabara, reli na hata huduma. China chini ya chama cha kisoshalisti inamiradi ya PPP yenye thamani zaidi ya dola trilion3 au sawa na uchumi wa Afrika. Tutaendelea kutoa elimu.
13
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Ni miaka 13 sasa naishi Los Angeles, aisee sijawahi kushuhudia earthquake ya kutisha kama hii ya leo. Na bado inaendelea. Nashukuru Mungu haijanikutia kwenye lile jengo refu la ghorofa 19 nililokuwa naishi kabla maana nahisi ningechanganyikiqa zaidi. Mtuombee watu wa LA leo maana haiishi bado inaendelea. Eh Mungu niokoe na hii earthquake ili niendelee kupambana mpaka Tanzania iwe huru from wakolosi weusi.
๐Ÿšจ EARTHQUAKE AT LAX! A 5.2 magnitude earthquake hit the Los Angeles area, and our 24/7 live cameras at LAX captured the shaking as it happened! Watch the moment it was captured live on the Airline Videos Live cameras on November 28th, 2026!
35
46
424
24,248
5) Utaelewa kutoa elimu kwa serikali kuacha PPP ya kifisadi? Au utaelewa kutoa elimu kwa Watanzania ambao Awana tatizo Wala shida na mfumo wa PPP na wanaelewa na wote wanatamani PPP ya win win situation kila Kona ya Nchi. Au wewe kwa uelewa wako unahisi Watanzania Awana akili?
Nimeona maoni ya rafiki yangu Ndugu Mpina akipinga na kukosoa Sera ya PPP kuwa ni kuuza Nchi. Naomba nimsaidie tu kwamba dhana ya Ubia/ PPP imeahidiwa na vyama vyote vikuu nchini katika ilani zao kwa maana ya CCM, CHADEMA&ACT kama njia sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa. Sera na Sheria za PPP hazihamishi umiliki wa mali ya Umma. Kwa mujibu wa sera na sheria, Mradi wa PPP ni mali ya Umma kabla, wakati na hata baada. Nchi zote kubwa Ulaya , Asia na America zinafanya PPP katika sekta mbalimbali ikiwemo bandari, barabara, reli na hata huduma. China chini ya chama cha kisoshalisti inamiradi ya PPP yenye thamani zaidi ya dola trilion3 au sawa na uchumi wa Afrika. Tutaendelea kutoa elimu.
19
4) Mfano hapo ungekuja na data za wamewekeza TSH ngapi ground. Na sasa wamekusanya ngapi, na Tanzania katk hiyo ngapi tumepata hiki. Lkn unakuja na maelezo ya China na Ulaya wenye win win situation, na Tanzania wenye PPP za kifisadi, ni dharau kwa Watanzania.
Nimeona maoni ya rafiki yangu Ndugu Mpina akipinga na kukosoa Sera ya PPP kuwa ni kuuza Nchi. Naomba nimsaidie tu kwamba dhana ya Ubia/ PPP imeahidiwa na vyama vyote vikuu nchini katika ilani zao kwa maana ya CCM, CHADEMA&ACT kama njia sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa. Sera na Sheria za PPP hazihamishi umiliki wa mali ya Umma. Kwa mujibu wa sera na sheria, Mradi wa PPP ni mali ya Umma kabla, wakati na hata baada. Nchi zote kubwa Ulaya , Asia na America zinafanya PPP katika sekta mbalimbali ikiwemo bandari, barabara, reli na hata huduma. China chini ya chama cha kisoshalisti inamiradi ya PPP yenye thamani zaidi ya dola trilion3 au sawa na uchumi wa Afrika. Tutaendelea kutoa elimu.
19
3) Kaangalie PPP ktk shirika la nyumba NHC na wahindi na Waarabu, them fanya hesabu kiuchumi na Nchi tunanufaika au tunapigika? Jikite kwenye hoja ya Mikataba ya kifisadi juu ya PPP, Kuamini Kwamba Watanzania niwajinga awajui faida za PPP, zenye win win situation ni ujinga
Nimeona maoni ya rafiki yangu Ndugu Mpina akipinga na kukosoa Sera ya PPP kuwa ni kuuza Nchi. Naomba nimsaidie tu kwamba dhana ya Ubia/ PPP imeahidiwa na vyama vyote vikuu nchini katika ilani zao kwa maana ya CCM, CHADEMA&ACT kama njia sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa. Sera na Sheria za PPP hazihamishi umiliki wa mali ya Umma. Kwa mujibu wa sera na sheria, Mradi wa PPP ni mali ya Umma kabla, wakati na hata baada. Nchi zote kubwa Ulaya , Asia na America zinafanya PPP katika sekta mbalimbali ikiwemo bandari, barabara, reli na hata huduma. China chini ya chama cha kisoshalisti inamiradi ya PPP yenye thamani zaidi ya dola trilion3 au sawa na uchumi wa Afrika. Tutaendelea kutoa elimu.
7
2) Umetaja china na Ulaya, wanafanya PPP wenye Mikataba ya kifisadi kama Tanzania? China Wana Mikataba ya PPP ya yenye vingerere vya bila ukomo, au miaka 30? Na miaka 30 ambayo Taifa linanyonywa zaidi ya manufaa. Jibu hoja ndugu David, usijifiche ktk mfumo wa PPP, sio tatizo.
Nimeona maoni ya rafiki yangu Ndugu Mpina akipinga na kukosoa Sera ya PPP kuwa ni kuuza Nchi. Naomba nimsaidie tu kwamba dhana ya Ubia/ PPP imeahidiwa na vyama vyote vikuu nchini katika ilani zao kwa maana ya CCM, CHADEMA&ACT kama njia sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa. Sera na Sheria za PPP hazihamishi umiliki wa mali ya Umma. Kwa mujibu wa sera na sheria, Mradi wa PPP ni mali ya Umma kabla, wakati na hata baada. Nchi zote kubwa Ulaya , Asia na America zinafanya PPP katika sekta mbalimbali ikiwemo bandari, barabara, reli na hata huduma. China chini ya chama cha kisoshalisti inamiradi ya PPP yenye thamani zaidi ya dola trilion3 au sawa na uchumi wa Afrika. Tutaendelea kutoa elimu.
9
Shida sio PPP akuna mtanzania mwenye shida na hii. Issue ni PPP ya namna Gani? Mfano DPWorld na TPA mkataba wa hovyo mwanzo kipengere cha bila ukomo, baada ya kerere miaka 30. Ni ubia wenye mkataba wa hovyo sana. Tujibu hoja za msingi juu ufisadi wetu kwenye Mikataba ya PPP?
Nimeona maoni ya rafiki yangu Ndugu Mpina akipinga na kukosoa Sera ya PPP kuwa ni kuuza Nchi. Naomba nimsaidie tu kwamba dhana ya Ubia/ PPP imeahidiwa na vyama vyote vikuu nchini katika ilani zao kwa maana ya CCM, CHADEMA&ACT kama njia sahihi ya kujenga uchumi wa kisasa. Sera na Sheria za PPP hazihamishi umiliki wa mali ya Umma. Kwa mujibu wa sera na sheria, Mradi wa PPP ni mali ya Umma kabla, wakati na hata baada. Nchi zote kubwa Ulaya , Asia na America zinafanya PPP katika sekta mbalimbali ikiwemo bandari, barabara, reli na hata huduma. China chini ya chama cha kisoshalisti inamiradi ya PPP yenye thamani zaidi ya dola trilion3 au sawa na uchumi wa Afrika. Tutaendelea kutoa elimu.
12
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
.... juu pamoto... chini pamoto... sisiemu is being cooked ๐Ÿณ like pilau โ€ผ๏ธ.. ni spana mpaka kieleweke โ€ผ๏ธ
1
12
1
30
1,007
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Mpina muda wowote anafukuzwa Act kwasababu anakiuka makubaliano ya kina Dalali Zitto na Serikali haramu ya Maccm
.... juu pamoto... chini pamoto... sisiemu is being cooked ๐Ÿณ like pilau โ€ผ๏ธ.. ni spana mpaka kieleweke โ€ผ๏ธ
7
1
42
615
Huyu akasome political science tena. Yuko miaka 20 nyuma ya new generation. Kama ni kweli basi Utawala wa Mh Rais @SuluhuSamia wamwachie Mh Lissu ili Mh @HecheJohn akose fursa hiyo. Hii ndugu @KenaniKihongos1 ni zero brain politics.
KIHONGOSI: HECHE ANATAKA KUMSALITI LISSU, KUTWAA UENYEKITI CHADEMA
22
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Join us outside the @IntlCrimCourt in The Hague on Friday, 11 December 2026, at 11:00 local time for a peaceful demonstration. Together, we call for an investigation into Tanzaniaโ€™s October 2025 violence, an end to abductions, and the release of Tundu Lissu. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
6
75
1
198
3,272
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Sasa si mumuachie ili asinufaike ๐Ÿ˜‚
VIDEO: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amedai kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche anaitaka nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho kwa nguvu zote. Akizungumza leo, Novemba 28, 2026, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Makambako, mkoani Njombe, Kihongosi amesema kuwa kuna mpango ndani ya CHADEMA wa kumuondoa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu ili nafasi hiyo ichukuliwe na John Heche. Kihongosi amedai kuwa mpango huo unalenga kumuweka Heche katika nafasi ya uenyekiti, huku akimtaka kiongozi huyo kujitokeza hadharani na kukanusha madai hayo iwapo si ya kweli. Aidha, Kihongosi amesema kuwa Tundu Lissu amekuwa akihitaji kufanyika kwa mazungumzo ya maridhiano, lakini John Heche amekuwa akipinga suala hilo. Amehoji iwapo Heche ana maslahi fulani anayoyapata kutokana na kutokuwepo kwa maridhiano, ndiyo maana amekuwa akikataa mchakato huo. Amesisitiza kuwa kwa sasa ajenda iliyopo ndani ya CHADEMA ni kumuondoa Tundu Lissu katika nafasi ya uenyekiti na kumuweka John Heche, akidai kuwa tayari vikao vya kutekeleza mpango huo vimeanza.
1
2
11
633
Digital Psychology ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ retweeted
Former Tanzanian diplomat and government critic Humphrey Polepole was abducted from his home in Dar es Salaam on 6 October 2025. He has not been seen since. Humphrey, a man who believes in the importance of truth, appears to have been silenced for criticizing the president and ruling party. Join the #Write4Rights campaign and demand freedom for Humphrey: join.amnesty.org/page/200089โ€ฆ #W4R26 #FreeHumphreyPolepole โ€“ at Zimbabwe
6
48
1
83
2,022