Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala) profile picture

Entrepreneur and Political analyst, ICT, Software Engineer. College of City and Guild, UK, Former IPP and Vodacom I.T.D Sayona drinks ltd, King lion ltd. DBA

Tanzania
Joined May 2015
Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)Photo by Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 (@DNdagala)
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
🎥 Why are #ICC witnesses protected? ⚖️The trial of Rodrigo Roa #Duterte is scheduled to open on 30 November 2026. Learn more➡️ icc-cpi.pulse.ly/bwigwiylsk
40
53
4
136
12,610
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Replying to @abdulnondo2
@abdulnondo2 busy kukosoa @ChademaTZ2 huku kuna mtu makini ndani ya @ACTwazalendo
2
21
3
77
2,114
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
UKWELI,HAKI,UWAJIBIKAJI!!
3
35
131
2,348
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Ni miaka 13 sasa naishi Los Angeles, aisee sijawahi kushuhudia earthquake ya kutisha kama hii ya leo. Na bado inaendelea. Nashukuru Mungu haijanikutia kwenye lile jengo refu la ghorofa 19 nililokuwa naishi kabla maana nahisi ningechanganyikiqa zaidi. Mtuombee watu wa LA leo maana haiishi bado inaendelea. Eh Mungu niokoe na hii earthquake ili niendelee kupambana mpaka Tanzania iwe huru from wakolosi weusi.
🚨 EARTHQUAKE AT LAX! A 5.2 magnitude earthquake hit the Los Angeles area, and our 24/7 live cameras at LAX captured the shaking as it happened! Watch the moment it was captured live on the Airline Videos Live cameras on November 28th, 2026!
35
46
429
24,746
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
.... juu pamoto... chini pamoto... sisiemu is being cooked 🍳 like pilau ‼️.. ni spana mpaka kieleweke ‼️
1
12
1
30
1,016
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Mpina muda wowote anafukuzwa Act kwasababu anakiuka makubaliano ya kina Dalali Zitto na Serikali haramu ya Maccm
.... juu pamoto... chini pamoto... sisiemu is being cooked 🍳 like pilau ‼️.. ni spana mpaka kieleweke ‼️
7
1
42
619
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Join us outside the @IntlCrimCourt in The Hague on Friday, 11 December 2026, at 11:00 local time for a peaceful demonstration. Together, we call for an investigation into Tanzania’s October 2025 violence, an end to abductions, and the release of Tundu Lissu. 🇹🇿 #TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
6
75
1
198
3,273
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Sasa si mumuachie ili asinufaike 😂
VIDEO: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi amedai kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche anaitaka nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho kwa nguvu zote. Akizungumza leo, Novemba 28, 2026, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Makambako, mkoani Njombe, Kihongosi amesema kuwa kuna mpango ndani ya CHADEMA wa kumuondoa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu ili nafasi hiyo ichukuliwe na John Heche. Kihongosi amedai kuwa mpango huo unalenga kumuweka Heche katika nafasi ya uenyekiti, huku akimtaka kiongozi huyo kujitokeza hadharani na kukanusha madai hayo iwapo si ya kweli. Aidha, Kihongosi amesema kuwa Tundu Lissu amekuwa akihitaji kufanyika kwa mazungumzo ya maridhiano, lakini John Heche amekuwa akipinga suala hilo. Amehoji iwapo Heche ana maslahi fulani anayoyapata kutokana na kutokuwepo kwa maridhiano, ndiyo maana amekuwa akikataa mchakato huo. Amesisitiza kuwa kwa sasa ajenda iliyopo ndani ya CHADEMA ni kumuondoa Tundu Lissu katika nafasi ya uenyekiti na kumuweka John Heche, akidai kuwa tayari vikao vya kutekeleza mpango huo vimeanza.
1
2
11
642
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Former Tanzanian diplomat and government critic Humphrey Polepole was abducted from his home in Dar es Salaam on 6 October 2025. He has not been seen since. Humphrey, a man who believes in the importance of truth, appears to have been silenced for criticizing the president and ruling party. Join the #Write4Rights campaign and demand freedom for Humphrey: join.amnesty.org/page/200089… #W4R26 #FreeHumphreyPolepole – at Zimbabwe
6
49
1
84
2,054
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Former Tanzanian diplomat and government critic Humphrey Polepole was abducted from his home in Dar es Salaam on 6 October 2025. He has not been seen since. Humphrey, a man who believes in the importance of truth, appears to have been silenced for criticizing the president and ruling party. Join the #Write4Rights campaign and demand freedom for Humphrey: amn.st/6010ByI0oM #W4R26 #FreeHumphreyPolepole
21
119
2
281
11,169
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Peleka moto @Mwabuk2Boniface 💪🏾💪🏾
3
48
1
197
3,545
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Bila uwajibikaji #Mo29 ni uzembe
1
29
99
2,946
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Hii kesi ya kupinga kufungiwa kwa X, tulifungua toka February 2026, Tumekimbiza mwizi kimyakimya kwa takribani miezi 9 haikuwa rahisi. Tumepata uamuzi kwa jasho na damu, Tuko tayari kufuatilia utekelezaji, lakini pia tuko tayari kupambana na rufaa kama ikija. Spana ziendelee🏛️
12
61
4
243
4,272
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Sasa Wanapinga kana kwamba TANROAD inatoka KINSHASA ama MAPUTO, Taasisi ipo ndani ya nchi hii mnapinga nini ? Haya ni MAIGIZO, BOMOA Leo..... Kesho Samia atawaambia waacheni wapiga kura. Michezo
VIDEO: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Alexander Mkumbo ameeleza kuwa serikali inapinga na itarekebisha ubomoaji wa vibanda vya wajasiliamali wadogo katika eneo la Kimara Korogwe. Akiijibu swali la mwananchi Simoni Mdorwa kutoka eneo hilo katika Semina ya Vijana na Wajasiliamali ya SIFA Youth Talk iliyofanyika katika ukumbi wa Nkurumah Hall, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Prof. Mkumbo amesema suala hilo si la kukubalika na serikali imelichukua. Simoni Mdorwa amelalamikia changamoto za wajasiriamali wadogowadogo kubomolewa vibanda, kuchukuliwa pesa na nafasi kuchukuliwa na viongozi wadogo, kisha ubomoaji kuendelea. Prof. Mkumbo amekiri kuwa tukio hilo limetokea hivi karibuni na kuwa linagusa watu wengi. Amesisitiza kuwa kazi ya kuweka mazingira bora lazima ifanyike, lakini utu wa watu lazima uheshimiwe, kwani kubomoa biashara ambayo mtu amejipanga na kujipatia kipato kunaharibu utu wake. Ameongeza kuwa maagizo ya Rais ni kuwa wajasiriamali wawe kwenye maeneo rasmi yaliyotengwa, ikiwemo 'tunnels' na maeneo ya hifadhi ya barabara, na kwamba baadhi walikuwa wamepewa vibali kutokana na hali yao. Waziri huyo ameahidi kuwa serikali itafanya kazi kurekebisha suala hilo haraka iwezekanavyo, ili wajasiriamali waendelee kujipatia kipato kwa amani na kutegemeza uchumi, badala ya kuondolewa na kuishia kuomba msaada.
1
1
2
7
675
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Huwa nikisoma ibara ya 8(1) (a)-(d) ya Katiba yetu; Nikiangalia na yanayoendelea najaa gesi balaa!!!
2
20
1
53
1,868
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
TUTASHINDA……….
28
127
4
801
14,360
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Ukishakuwa kwenye utawala huu wa kishenzi wa Samia na ccm unaweza fanya lolote la hovyo. Imagine mtoto huyu aliuwawa 29/10 kwa madai ya kuwa aliandamana. Imagine 💔
Hivi Askari wa Maliasili wanakuaga na Akili timamu kweli?? Au kukaa na Wanyama na wao wanakua na Akili zinafanana na Wanyama?? Unawezaje kumpiga Risasi mtoto wa Miaka 13 na kumuua kisa umemkuta anachoma MKAA??
12
32
672
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Naona Mwigulu anazungumzia suala la kuchukua fedha za Taliban na Iraq Mwaka jana Samia alikopa Iraq sasa amefika kwa Taliban huko afghanistan 🇦🇫
22
57
4
436
22,333
Digital Psychology 🇹🇿🇮🇱 retweeted
Thank you @amnesty @AmnestyEARO and all chapters for pushing for Humphrey Polepole and shining light on his #EnforcedDisappearance Oneni aibu nyie mafedhuli! Mnachafua nchi alafu mnasema tunaqachafua! Mafwele na Chalamila mnajua Polepole alipo! #FreePolepole Tutawadai wapendwa wetu bila kuchoka! Na MTAWAJIBIKA!
5
80
2
268
8,729